Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Yawezekana wakati mkuuwa wilaya alikuwa anamdharau sana makamu wa rais sa anamnyosha ajifunze kuheshimu watu na kuishi fea,mnakumbuka na makonda alivyokuwa anaogopwa na wakuu wa mikoa na wilaya unadhani nguvu ile ilikuja kiboya tu?
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hao watuhumiwa wawili kwenye makosa waliyokuwa wanatuhumiwa nayo.. Mmoja ni kesi ya kisiasa mwingine ni jinai na shahidi ni Jamhuri
 
Wewe huoni kama dhana ya siasa za kibabe na ubaguzi zimepitwa na wakati?
Hilo analolifanya Mh. Rais linawachanganya wale wenye siasa zakizamani

Time will tell, huko mbele chuki kubwa itakuja dhidi ya Samia, kuna watu wata feel used kwa sababu ni ukweli kwamba wanatumika ili kumfikisha salama safari yake ya uraisi na kuficha maovu yote na big corruption inayoendelea nchini na haina uhusiano wowote ule na Siasa za kibabe au kizamani, ni swala la muda tu.
 
Kwanini mnakubali kutumika??
 
Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema

Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa

Barikiwa sana!
LEMA: Askofu Gwajima alimpigia simu Lissu na akakiri kupokea taarifa kuhusu kuchukua tahadhari ya kutokwenda Dodoma, na alipopuuza alipigwa risasi.

LISSU: Hakuna mtu yeyote aliyenitaarifu kuchukua tahadhari kuhusu TISHIO la Mimi kushambuliwa,

Je, kutofautiana kauli Kwa viongozi wawili wa CDM, wanataka JAMII ielewe nini?

Ipandishe thread hii, Mzee mgaya tupate majibu.
 
Ngoja niifanyie utafiti
 
Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema

Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa

Barikiwa sana!

Bwashee kwani Stroke hajui hilo? Sabaya ni Jambazi wa kutumia silaha na pia ni Mbakaji ,Kesi kama hizo hazina dhamana wala msamaha.
 
Wale wanao jiita mawakili wasomi wamejificha vichochoroni, hii nchi bado ina stock kubwa sana ya watu wajinga.
 
Wanafki nyie ,magerezani wamejaa watu kibao wasio wanasiasa Na wala kesi zao hamuombi zifutwe.
Mnakazana Na kesi za watu ambao nyie mna manufaa nao kwa namna moja au nyingine.Wanyonge hawana mtetezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…