Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Kesi zote za jinai zinafikishwa mahakamani na serikali na wanaweza kuzitoa huko wakati wowote ikiwa wataona hawana nia ya kuendelea na kesi hizo,sasa sijui kakosea wapi! Labda mkitaka kipengele cha DPP kutoa kesi mahakamani kiondolewe.
 
Ukiwa Raisi unakuwa kiumbe kingine believe me ,tuna katiba insyohitaji maboresho makubwa,
 
Hujui Rais wa Tz nguvu yake unaongea ugoro wewe
Hata Magu aliwahi tamka mchana kweupe huku jua linawaka kwamba Muhimili iko mitatu ila mmoja umejichimbia ardhini kwa kuwa ni daikotiledoni na mingine ni monokotiledoni.Tunawaambia tudai katiba mpya wengine hawataki
 
itakuwa kafiba ya chadema

tupe icho kifungu tujisomee na sisi
Kila mtu anayekoment kisichowafurahisha ni Chadema.

Halafu sio kazi yangu kukutafutia vifungu zuzu wewe.

Rais wa Tanzania ndiye kiongozi mkuu wa mihimili yote mitatu (3) ya nchi.......huo ndio ukweli, hutaki acha.
 
Kwahiyo ndio maana chadema wanatengeneza urafiki na Rais Samia ili wapate haki zao kutoka kwa watawala? Hawapiganii tena haki bali wanatumia urafiki wao na watawala?

Hiyo utajua ww.
 
Mwacheni Mama afanye kazi yake acheni nongwa chadema na mbwembwe za "nishikeni ntamuua nishikeni ntamua" sasa umeachiwa fanya mikutano oohoo boda boda sijui laana leteni sera acheni masikhara jamani mmeyataka wenyewe ooo hakuna uhuru kiko wapi sasa.
 
Kila mtu anayekoment kisichowafurahisha ni Chadema.

Halafu sio kazi yangu kukutafutia vifungu zuzu wewe.

Rais wa Tanzania ndiye kiongozi mkuu wa mihimili yote mitatu (3) ya nchi.......huo ndio ukweli, hutaki acha.
unaropoka tu unaulizwa vifungu unabaki mwaga uharo

unasema vifungu husema hivi unaombwa kuviweka hapa unaanza kuhara tu

weka kifungu hapa tukuone ujuvi wako tofauti na hapo umeme wa kichwani kwako ni mdg sana
 
Yaani nilishangaa kwa kweli,ila ndo katiba yetu. Rais yupo juu ya kila kitu.
Na hivyo ndivyo ilivyo !! Tukijakumpata Mwamba mwingine mambo yatakuwa poa mara hii maana I believe atakuwa so smart !!
 
Sabaya ataozea jela kwa ushenzi aliofanya akiamini kuwa yule mporipori aliyempa huo udc angeishi milele. Wacha wamfokoe kwanza hadi wamtoe bawasiri kisha ale nyundo za kutosha hadi aozee jela

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sabaya ataozea jela kwa vile ni jambazi sugu,ngoja kwanza wamfokoe hadi wamtoe bawasiri ndiyo apigiwe nyundo za kutosha

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sabaya ni Jambazi, siyo Mwanasiasa
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hao watuhumiwa wawili kwenye makosa waliyokuwa wanatuhumiwa nayo.. Mmoja ni kesi ya kisiasa mwingine ni jinai na shahidi ni Jamhuri
Ni vibao tu vimegeuka. Mambo ya nyakati. Nyakati zikibadilika, kibao kitageuka, Sabaya ataachiwa, Lema ataonekana mwehu tu na pengine akapata kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…