Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Kesi zote za jinai zinafikishwa mahakamani na serikali na wanaweza kuzitoa huko wakati wowote ikiwa wataona hawana nia ya kuendelea na kesi hizo,sasa sijui kakosea wapi! Labda mkitaka kipengele cha DPP kutoa kesi mahakamani kiondolewe.
 
Ukiwa Raisi unakuwa kiumbe kingine believe me ,tuna katiba insyohitaji maboresho makubwa,
 
Hujui Rais wa Tz nguvu yake unaongea ugoro wewe
Hata Magu aliwahi tamka mchana kweupe huku jua linawaka kwamba Muhimili iko mitatu ila mmoja umejichimbia ardhini kwa kuwa ni daikotiledoni na mingine ni monokotiledoni.Tunawaambia tudai katiba mpya wengine hawataki
 
itakuwa kafiba ya chadema

tupe icho kifungu tujisomee na sisi
Kila mtu anayekoment kisichowafurahisha ni Chadema.

Halafu sio kazi yangu kukutafutia vifungu zuzu wewe.

Rais wa Tanzania ndiye kiongozi mkuu wa mihimili yote mitatu (3) ya nchi.......huo ndio ukweli, hutaki acha.
 
Kwahiyo ndio maana chadema wanatengeneza urafiki na Rais Samia ili wapate haki zao kutoka kwa watawala? Hawapiganii tena haki bali wanatumia urafiki wao na watawala?

Hiyo utajua ww.
 
Mwacheni Mama afanye kazi yake acheni nongwa chadema na mbwembwe za "nishikeni ntamuua nishikeni ntamua" sasa umeachiwa fanya mikutano oohoo boda boda sijui laana leteni sera acheni masikhara jamani mmeyataka wenyewe ooo hakuna uhuru kiko wapi sasa.
 
Kila mtu anayekoment kisichowafurahisha ni Chadema.

Halafu sio kazi yangu kukutafutia vifungu zuzu wewe.

Rais wa Tanzania ndiye kiongozi mkuu wa mihimili yote mitatu (3) ya nchi.......huo ndio ukweli, hutaki acha.
unaropoka tu unaulizwa vifungu unabaki mwaga uharo

unasema vifungu husema hivi unaombwa kuviweka hapa unaanza kuhara tu

weka kifungu hapa tukuone ujuvi wako tofauti na hapo umeme wa kichwani kwako ni mdg sana
 
Yaani nilishangaa kwa kweli,ila ndo katiba yetu. Rais yupo juu ya kila kitu.
Na hivyo ndivyo ilivyo !! Tukijakumpata Mwamba mwingine mambo yatakuwa poa mara hii maana I believe atakuwa so smart !!
 
Kesi ya Lengai Ole Sabaya ni ya KISIASA iliyochagizwa kwa chuki za watu aliokabiliana nao katika uharifu. Kesi ya Lengao Ole Sabaya imeshinikizwa na baadhi ya wafanyabiashara huko Kilimanjaro na Arusha na ushahidi upo walikuwa wakijirekodi kwenye video wakidai mali za kuporwa au kuharibiwa wakimtaka rasi SSH awasaidie kumshitaki pamoja na kufidiwa.
Siasa ndio chanzo cha makosa ya kijinai maana ndio wahamasishaji wakubwa na wakiukwaji wa taratibu na sheria za nchi.

Sababu kuu zinaelezwa hapa chini
Without prejudice of the facts that cause crimes such as assault, grand theft auto, and some homicide cases are not considered political crimes
1. Political offenses include crimes against the state (e.g., insurrection, terrorism, sedition) and by the state (i.e., illegal or unethical acts by political figures). More common forms include bribery, ethical misconduct, election manipulations, graft, nepotism, looting, and misuse of financial resources
2. Political crimes typically arise from political disturbances and perceived unfairness from the government or state. Since a crime must be a direct attack against a state or government,

3. The Crime Triangle identifies three factors that create a criminal offense.
i. Desire of a criminal to commit a crime;
ii. Target of the criminal's desire; and
iii. the Opportunity for the crime to be committed.

4. Examples of political crimes are bribery, sedition, perjury, human rights violations, treason, espionage, theft, and whistleblowing.

5. Crime and the political process are linked on many levels. Political theory, ideology, and culture foster expectations about the substance and form of the criminal justice system. The structure of political institutions shapes the structure, and hence the substance and administration, of the criminal law

* A political crime is therefore a violation of the law or of the public peace for political advancement rather than private reasons. specifically: one directed against a particular government or political system to undermine or sabotage personal or group projected goals.
KITANZANIA Kisicho rasmi
Bila kuathiri ukweli unaosababisha uhalifu kama vile shambulio, wizi mkubwa, na baadhi ya kesi za mauaji hazichukuliwi kama uhalifu wa kisiasa isipokuwa vinginevyo zinahusishwa moja kwa moja na hatua za viongozi wa kisiasa na ushahidi mkubwa na wa haki kuthibitisha kuhusika kwa watuhumiwa na hatimaye kupatikana na hatia katika mahakama ya sheria kwa kufuata mchakato wa haki jinai.


1. Makosa ya kisiasa ni pamoja na uhalifu dhidi ya dola (kwa mfano, uasi, ugaidi, uchochezi) na kwa dola (yaani, vitendo visivyo halali au visivyo vya kimaadili vinavyofanywa na wanasiasa). Aina za kawaida ni pamoja na rushwa, utovu wa maadili, udanganyifu katika uchaguzi, rushwa, upendeleo, uporaji, na matumizi mabaya ya rasilimali fedha

2. Uhalifu wa kisiasa kwa kawaida hutokana na vurugu za kisiasa na kuonekana kutokuwa na haki kutoka kwa serikali au dola. Kwa kuwa uhalifu lazima uwe shambulio la moja kwa moja dhidi ya serikali au serikali,

3. Pembetatu ya Uhalifu inabainisha mambo matatu yanayounda kosa la jinai. i. Tamaa ya mhalifu kufanya uhalifu; ii. Mlengwa wa tamaa ya mhalifu; Na iii. Fursa ya uhalifu kufanyika.

4. Mifano ya makosa ya kisiasa ni rushwa, uchochezi, ubadhirifu, ukiukwaji wa haki za binadamu, uhaini, ujasusi, wizi na ufichuzi wa makosa ya viongozi dhidi ya rasilimali za nchi.

5. Uhalifu na mchakato wa kisiasa unahusishwa katika ngazi nyingi. Nadharia ya kisiasa, itikadi, na utamaduni hukuza matarajio juu ya kiini na aina ya mfumo wa haki ya jinai. Muundo wa taasisi za kisiasa unaunda muundo, na hivyo kiini na utawala, wa sheria ya jinai. Aina za kawaida za uhalifu wa kisiasa ni pamoja na rushwa, utovu wa maadili, udanganyifu katika uchaguzi, upendeleo, uporaji, utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya rasilimali fedha kwa maslahi binafsi

*Kwa hiyo uhalifu wa kisiasa ni ukiukwaji wa sheria au amani ya umma kwa maslahi ya kisiasa badala ya sababu binafsi. hasa: moja iliyoelekezwa dhidi ya serikali au mfumo fulani wa kisiasa ili kudhoofisha au kuhujumu malengo binafsi au kikundi yaliyokadiriwa kufikiwa.
Sabaya ataozea jela kwa ushenzi aliofanya akiamini kuwa yule mporipori aliyempa huo udc angeishi milele. Wacha wamfokoe kwanza hadi wamtoe bawasiri kisha ale nyundo za kutosha hadi aozee jela

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
Sabaya ataozea jela kwa vile ni jambazi sugu,ngoja kwanza wamfokoe hadi wamtoe bawasiri ndiyo apigiwe nyundo za kutosha

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
Sabaya ni Jambazi, siyo Mwanasiasa
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hao watuhumiwa wawili kwenye makosa waliyokuwa wanatuhumiwa nayo.. Mmoja ni kesi ya kisiasa mwingine ni jinai na shahidi ni Jamhuri
Ni vibao tu vimegeuka. Mambo ya nyakati. Nyakati zikibadilika, kibao kitageuka, Sabaya ataachiwa, Lema ataonekana mwehu tu na pengine akapata kesi.
 
Back
Top Bottom