Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Jebra, katika utawala wa magufuli aliyokuwa akiyafanya kwa wapinzani, hata ingelikuwa mimi ningelizifuta kesi hizo maana zilikuwa za kuua upinzani/kuwakomoa kama alivyojiapiza kuwa ataua upinzani.

Kumpiga Lissu risasi, inatosha kufuta kesi zote hata kama rais aliingilia mamlaka ya DPP!

katika nchi ya demokrasia, ambapo mahakama inafanya kazi as an independent body, haya ya kufuta yasingelitokea maana hakuna uonevu wa Rais kama ilivyokuwa kwa Magufuli.

ACHA AZIFUTE
 
Mbona wakati anafingiliwa Kesi hawakulalamika kuna mashetani mengine huitaji kwenda kuzimu kuyakuta yapo tu yanajiwakilisha
Hii nchi ina watu wa ajabu sana!!kwenye case za kubambikiwa za kisiasa watu wanaachiwa wakiwa ni mahabusu tena dhamana ikiwa imefungwa mala ngapi barani Afrika?hili ndio limekuwa la kwanza duniani?!!
 
Upuuzi tu kipindi watu wanabambikiwa kesi wangeandika pia!! Haya magazeti ya kufungia tu maandazi hamna chochote!!

Kama kuna anasomaga hivi vikaratasi bado inabidi ajitafakari sana IQ yake maana waandishi wake kichwani hamna kitu!!
Watu wa hovyo, yule mama Dkt. Bisimba wakati ule Lowasa ameahidi akishinda Urais atahakikisha Mashekhe wa Uamsho wanakuwa huru kwasababu ya mashtaka ya uongo ya ugaidi pamoja na kukaa ndani kwa miaka nane kama watuhumiwa alitetea kauli za mwendazake, si huyo nshala wale Dr Tulieni alie zungumza.

Kidogo huyu bwana mdogo kambole japo na yeye mapombe yanamuharibu wakati mwingine, hii Tasnia muhimu sana bahati mbaya masisiemu yameiharibu
 
Jebra, katika utawala wa magufuli aliyokuwa akiyafanya kwa wapinzani, hata ingelikuwa mimi ningelizifuta kesi hizo maana zilikuwa za kuua upinzani...

Mkuu wewe unaona Tanzania kuna upinzani kweli,watu wanapokezana na kupishana IKULU kwa manufaa yao na familia zao unasema kuna upinzani Tanzania,

Leo wanasema watamuunga mkono kila atakachokifanya Mama, sasa kuna haja gani ya kuwa na watu kama hawa tunaowaita wapinzani.

Au nyie upinzani kwenu ni kutoa lugha chafu tu kama kusema Boda boda ni kazi ya Laana,haya nambie kuiba magari na kuua watu hiyo si kazi laana kuliko boda?
 
Upuuzi tu kipindi watu wanabambikiwa kesi wangeandika pia!! Haya magazeti ya kufungia tu maandazi hamna chochote!!

Kama kuna anasomaga hivi vikaratasi bado inabidi ajitafakari sana IQ yake maana waandishi wake kichwani hamna kitu!!
Watu wahovyo, yule mama Dr bisimba wakati ule Lowasa ameahidi akishinda Urais atahakikisha Mashekhe wa Uamsho wanakuwa huru kwasababu ya mashtaka ya uongo ya ugaidi pamoja na kukaa ndani kwa miaka nane kama watuhumiwa alitetea kauli za mwendazake, si huyo nshala wale Dr Tulieni alie zungumza, kidogo huyu bwana mdogo kambole japo na yeye mapombe yanamuharibu wakati mwingine, hii Tasnia muhimu sana bahati mbaya masisiemu yamei.

Jebra, katika utawala wa magufuli aliyokuwa akiyafanya kwa wapinzani, hata ingelikuwa mimi ningelizifuta kesi hizo maana zilikuwa za kuua upinzani/kuwakomoa...
Si Magufuli tu huu ni Utamaduni wao hao toka enzi, na wao wanarithi, hivi hukuwepo zilipokuwa zikienziwa fikra za mwenyekiti?

 
unaona wivu kwani ikulu c ya watanzania wote
 
Sijasoma uzi ila
DPP huwa anateuliwa na rais?
Nauliza tu kama jibu ni ndiyo basi
Hadhi ya DPP hapo inashukaje?

Na rais kusema amemfutia mtu kesi ina maana amemtumia dpp ambaye yupo ndani ya mamlaka yake kufuta hiyo kesi

Mamlaka ya rais ndani yake kuna kijisehemu utakuta kuna dpp pale
 
Tuwekane sawa hapa... aliyepeleka malalamiko mahakamani ndiye aliyeyaondoa..
Nini mbaya hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…