Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
Tamko la rais ni tamko la serikali muwe na adabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ina watu wa ajabu sana!!kwenye case za kubambikiwa za kisiasa watu wanaachiwa wakiwa ni mahabusu tena dhamana ikiwa imefungwa mala ngapi barani Afrika?hili ndio limekuwa la kwanza duniani?!!Mbona wakati anafingiliwa Kesi hawakulalamika kuna mashetani mengine huitaji kwenda kuzimu kuyakuta yapo tu yanajiwakilisha
Watu wa hovyo, yule mama Dkt. Bisimba wakati ule Lowasa ameahidi akishinda Urais atahakikisha Mashekhe wa Uamsho wanakuwa huru kwasababu ya mashtaka ya uongo ya ugaidi pamoja na kukaa ndani kwa miaka nane kama watuhumiwa alitetea kauli za mwendazake, si huyo nshala wale Dr Tulieni alie zungumza.Upuuzi tu kipindi watu wanabambikiwa kesi wangeandika pia!! Haya magazeti ya kufungia tu maandazi hamna chochote!!
Kama kuna anasomaga hivi vikaratasi bado inabidi ajitafakari sana IQ yake maana waandishi wake kichwani hamna kitu!!
Jebra, katika utawala wa magufuli aliyokuwa akiyafanya kwa wapinzani, hata ingelikuwa mimi ningelizifuta kesi hizo maana zilikuwa za kuua upinzani...
Watu wahovyo, yule mama Dr bisimba wakati ule Lowasa ameahidi akishinda Urais atahakikisha Mashekhe wa Uamsho wanakuwa huru kwasababu ya mashtaka ya uongo ya ugaidi pamoja na kukaa ndani kwa miaka nane kama watuhumiwa alitetea kauli za mwendazake, si huyo nshala wale Dr Tulieni alie zungumza, kidogo huyu bwana mdogo kambole japo na yeye mapombe yanamuharibu wakati mwingine, hii Tasnia muhimu sana bahati mbaya masisiemu yamei.Upuuzi tu kipindi watu wanabambikiwa kesi wangeandika pia!! Haya magazeti ya kufungia tu maandazi hamna chochote!!
Kama kuna anasomaga hivi vikaratasi bado inabidi ajitafakari sana IQ yake maana waandishi wake kichwani hamna kitu!!
Si Magufuli tu huu ni Utamaduni wao hao toka enzi, na wao wanarithi, hivi hukuwepo zilipokuwa zikienziwa fikra za mwenyekiti?Jebra, katika utawala wa magufuli aliyokuwa akiyafanya kwa wapinzani, hata ingelikuwa mimi ningelizifuta kesi hizo maana zilikuwa za kuua upinzani/kuwakomoa...
Ukweli ndiyo huo.Jebra, katika utawala wa magufuli aliyokuwa akiyafanya kwa wapinzani, hata ingelikuwa mimi ningelizifuta kesi hizo maana zilikuwa za kuua upinzani...
unaona wivu kwani ikulu c ya watanzania woteMkuu wewe unaona Tanzania kuna upinzani kweli,watu wanapokezana na kupishana IKULU kwa manufaa yao na familia zao unasema kuna upinzani Tanzania,Leo wanasema watamuunga mkono kila atakachokifanya Mama,sasa kuna haja gani ya kuwa na watu kama hawa tunaowaita wapinzani,Au nyie upinzani kwenu ni kutoa lugha chafu tu kama kusema Boda boda ni kazi ya Laana,haya nambie kuiba magari na kuua watu hiyo si kazi laana kuliko boda?
Mimi nimekuuliza maoni yako naona unakwepa kulitolea maoni hilo suala.Ww ulitakaje labda?
Kuwe na Sababu za msingi za kwenda huko,ikulu sio pango la weziunaona wivu kwani ikulu c ya watanzania wote
Mh! bahati yako una jina bandia angelikushitaki 😀 😀 😀kambole japo na yeye mapombe yanamuharibu wakati mwingine
sababu za msingi unafikiri mpaka wakupigie wewe simu kwamba leo tunaenda. mwizi ni wewe unayeteseka wenzako wakitembelea ikuluKuwe na Sababu za msingi za kwenda huko,ikulu sio pango la wezi
Mh! bahati yako una jina bandia angelikushitaki 😀 😀 😀
Dah!! Jamaa kapanic Sana Hadi nmeshangaa pia ujueKosa langu nini kamanda? Kuhoji mil 898 za ruzuku?