Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Ndiyo uwezo alipewa na Katiba yetu. Kwa katiba yetu Rais ni kila kitu whether you like it or not. Ndiyo maana wenye akili wanadai katiba mpya na wale wenzangu na mimi wanadai katiba mpya haileti ugali mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…