Good.Nipo,itakuwa tunapishana tu humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good.Nipo,itakuwa tunapishana tu humu.
Soma vizuri katiba ujue madaraka ya Rais wa Tz ambaye ni kiongozi mkuu wa mihimili yote.Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Kwamba mhimili mwingine unaingilia mwingine?Soma vizuri katiba ujue madaraka ya Rais wa Tz ambaye ni kiongozi mkuu wa mihimili yote.
Kwani walikimbia?Baadala ya kumshukru Rais kwa kuwarudisha watanzania wenzetu nyumban ww unalalamika au hukutaka warudi nyumban Mkuu.
Hiyo nguvu ni kwa mjibu muongozo upi?Hujui Rais wa tz nguvu yake unaongea ugoro wewe
Si tulikubaliana kuwa huyu ni tofauti na Magu?Nguvu ya Rais wa tz hamjui nyiye mnaongea ongea tu Kumbukeni Enzi ya magu
Mmeshasahau alichowafanya Magufuli ?
Mimi sina chama .Huyo ni mwana CCM mwenzako !
Kwamba mhimili mwingine unaingilia mwingine?
Tutashika lililo sahihi. Pumba na uchafu tunawaachia nyie chawa.Sukuma gang on the beat! 2025 mtafika mkiwa hamjui mshike lipi na muache lipi
Mimi sio mpuuzi kama wewe. Tuwe na katiba rais akifita makosa ya wakosaji kama Lema anawajibishwa.Kwa hiyo sasa hivi unaitaka??
Ahaaa. Hakumaanisha kuingilia mahakama.Umechimbiwa chini zaidi [emoji16]
Jiwe 2016.
Mimi sio mpuuzi kama wewe. Tuwe na katiba rais akifita makosa ya wakosaji kama Lema anawajibishwa.
Atajuaje wakati amepata urais 'kwa kudra'Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Nguvu ya Rais wa tz hamjui nyiye mnaongea ongea tu Kumbukeni Enzi ya magu
Hata Mimi nimeshangaa katokea wapi...nilijua mpelekempeleke tiariUnapotea sana siku hizi; not healthy.
Ndiyo uwezo alipewa na Katiba yetu. Kwa katiba yetu Rais ni kila kitu whether you like it or not. Ndiyo maana wenye akili wanadai katiba mpya na wale wenzangu na mimi wanadai katiba mpya haileti ugali mezani.Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542