JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Zile tunaziita "politically motivated criminal cases",kesi za michongo!!Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542hakukuwa na kesi pale,
Tatizo la wafuasi wa mwendazake wanaumiq sana kumuona mama hafanyi siasa zile za kishamba za jiwe!!Miongoni mwa Mazuzu ya CCM yanayopaswa kupuuzwa ni pamoja na wewe, ni mashetani mlionufaika na unyama wa awamu ya 5 ndio maana mnaumia kuona haki ikitamalaki
Kwahiyo matamshi ya Samia yamegeuka kuwa ruzuku?Kosa langu nini kamanda? Kuhoji mil 898 za ruzuku?
Nolle prosequi!Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Pigia mstari...acha makasiriko dai katiba mpya mkuu . .Kwamba mhimili mwingine unaingilia mwingine?
Ni wapi kwenye katiba panaposema ‘Rais yupo juu ya kila kitu’?Yaani nilishangaa kwa kweli,ila ndo katiba yetu. Rais yupo juu ya kila kitu.
Hili jambo nami nimeliongelea hapoIbara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Kwahiyo ACT-Wazalendo wamekuwa wasemaji wa chadema? Vipi na wewe unawaamini hao wavuvi?Hahaha si uulize ACT....wametoa tamko kushangazwa na asali hii inayolambwa kwa kiwango Cha juu....tofauti na walivyokuwa wanajua msimamo wao
Nyie wanaccm tulipokuwa tunawaambia rais anaweza kuingilia mahakama na kuagiza zitoe hukumu ya aina gani mbona mlikuwa mnasema mahakama ni huru?
Alikiri kuwa zilifunguliwa kisiasa au au yeye ndio kazifuta kisiasa?Sasa kama kesi zilifunguliwa kisiasa na hazina masrahi kwa taifa kwa nini? asifute hata kama ningekuwa mimi ningezifuta.
Hizo kazi za kutesa na kuuwa hazijawahi kukosa soko, kama wakati ule Ulimboka alikutana nao hivyo hadi sasa hao jamaa wapo.Pole sana ndugu yangu labda uliajiliwa kwa ajili ya kuuwa na kutesa wanyonge kipindi kile, sasa hivi labda kaendeshe bodaboda
Sasa hivi mmesimamisha kuwaambia ccm kuwa Rais anaweza kuingilia mahakama?Nyie wanaccm tulipokuwa tunawaambia rais anaweza kuingilia mahakama na kuagiza zitoe hukumu ya aina gani mbona mlikuwa mnasema mahakama ni huru?
Tuombe Mungu rais wetu atajua mantiki ya anachokitamka kwenye midomo yake. Ni kama ameamrishwa kusema mtangulizi wake hakuwa sahihi kwa lolote lile na kwamba walioshtakiwa kwa makosa ya jinai au madai katika awamu iliyomtangulia walishtakiwa kwa maelekezo ya mtangulizi wake. Nilidhani mashtaka yangeendelea ushahidi usindetosheleza washtakiwa wangeshinda kesi tena kwa kulipwa gharama za mahakama. Leo mtu anayedaiwa mkopo unafuta kesi yake ili iweje? Kweli TZ tumefikia huku eti kufuta lecacy ya JPM? Tumelogwa tumelogwa kweli tumelogwa.Sasa si uende mahakamani? Sasa hapa unamuandikia mama yako au?
Ukiangalia matendo yanayofanyika.Ni wapi kwenye katiba panaposema ‘Rais yupo juu ya kila kitu’?
Shangaeni jamani.Tuombe Mungu rais wetu atajua mantiki ya anachokitamka kwenye midomo yake. Ni kama ameamrishwa kusema mtangulizi wake hakuwa sahihi kwa lolote lile na kwamba walioshtakiwa kwa makosa ya jinai au madai katika awamu iliyomtangulia walishtakiwa kwa maelekezo ya mtangulizi wake. Nilidhani mashtaka yangeendelea ushahidi usindetosheleza washtakiwa wangeshinda kesi tena kwa kulipwa gharama za mahakama. Leo mtu anayedaiwa mkopo unafuta kesi yake ili iweje? Kweli TZ tumefikia huku eti kufuta lecacy ya JPM? Tumelogwa tumelogwa kweli tumelogwa.
Sasa hivi ndio mmejiridhisha kuwa rais anaingilia mahakama, ila sasa hivi ameingilia kuhakikisha inatenda haki. Mara zote huko nyuma mahakama zilitumika kukomoa wapinzani.Sasa hivi mmesimamisha kuwaambia ccm kuwa Rais anaweza kuingilia mahakama?