Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542hakukuwa na kesi pale,
Zile tunaziita "politically motivated criminal cases",kesi za michongo!!
Mbowe akiitwa gaidi,leo anakaribishwa Ikulu!!!
 
Miongoni mwa Mazuzu ya CCM yanayopaswa kupuuzwa ni pamoja na wewe, ni mashetani mlionufaika na unyama wa awamu ya 5 ndio maana mnaumia kuona haki ikitamalaki
Tatizo la wafuasi wa mwendazake wanaumiq sana kumuona mama hafanyi siasa zile za kishamba za jiwe!!
 
Hahaha si uulize ACT....wametoa tamko kushangazwa na asali hii inayolambwa kwa kiwango Cha juu....tofauti na walivyokuwa wanajua msimamo wao
Kwahiyo ACT-Wazalendo wamekuwa wasemaji wa chadema? Vipi na wewe unawaamini hao wavuvi?
 
Nyie wanaccm tulipokuwa tunawaambia rais anaweza kuingilia mahakama na kuagiza zitoe hukumu ya aina gani mbona mlikuwa mnasema mahakama ni huru?

Leo ndio wanalijua hilo, yaani ukiitwa mwana CCM tafadhali sana pigana... Jamaa hawajitambui kabisa
 
Pole sana ndugu yangu labda uliajiliwa kwa ajili ya kuuwa na kutesa wanyonge kipindi kile, sasa hivi labda kaendeshe bodaboda
Hizo kazi za kutesa na kuuwa hazijawahi kukosa soko, kama wakati ule Ulimboka alikutana nao hivyo hadi sasa hao jamaa wapo.
 
Nyie wanaccm tulipokuwa tunawaambia rais anaweza kuingilia mahakama na kuagiza zitoe hukumu ya aina gani mbona mlikuwa mnasema mahakama ni huru?
Sasa hivi mmesimamisha kuwaambia ccm kuwa Rais anaweza kuingilia mahakama?
 
Sasa si uende mahakamani? Sasa hapa unamuandikia mama yako au?
Tuombe Mungu rais wetu atajua mantiki ya anachokitamka kwenye midomo yake. Ni kama ameamrishwa kusema mtangulizi wake hakuwa sahihi kwa lolote lile na kwamba walioshtakiwa kwa makosa ya jinai au madai katika awamu iliyomtangulia walishtakiwa kwa maelekezo ya mtangulizi wake. Nilidhani mashtaka yangeendelea ushahidi usindetosheleza washtakiwa wangeshinda kesi tena kwa kulipwa gharama za mahakama. Leo mtu anayedaiwa mkopo unafuta kesi yake ili iweje? Kweli TZ tumefikia huku eti kufuta lecacy ya JPM? Tumelogwa tumelogwa kweli tumelogwa.
 
Shangaeni jamani.
 
Inawezekana hata yule muuza ganda, yule Shamimu Mwasha alishatoka gerezani.Wakati alihukumiwa kifungo cha maisha.
 
Back
Top Bottom