Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Makosa gani Lema na Mbowe walifanya?
Makosa yaliyochongwa Kisiasa na Sukuma gang Rais Samia anaachaje kuyafutilia mbali?
Sukuma gang mnateseka sana awamu hii.
 
Mama ndio alimtuma Sabaya Kupita na kukata watu? 🤣🤣🤣🤣

Aliyemtuma keshaoza huko na Yuko Jehanamu amuite Sasa aje kumuokoa 🏃🏃
 
Washauri wamzuie? Kuzia ni neno ambalo sio sahihi.
 
Sasa hivi ndio mmejiridhisha kuwa rais anaingilia mahakama, ila sasa hivi ameingilia kuhakikisha inatenda haki. Mara zote huko nyuma mahakama zilitumika kukomoa wapinzani.
Acha kujibu mambo kwa hisia. Lema hakuwa na kesi Singida iliyokuwa na ushahidi upo wazi?
 
Mahakama ikishasomewa shitaj
Ka na jamhuri kesi inakuwa chini ya mamlaka ya mahakama. Ndio maana mahakama inatakiwa kuwa huru. Kama Jamhuri imesoma charge na kudai ushahidi umekamilika kwa nini zifutwe?
We jamaa ni mzima kichwani? Usikariri nenda kasome tena sheria. Mlalamikaji anaweza kuiondoa kesi mahakamani.
 
Sasa hivi ndio mmejiridhisha kuwa rais anaingilia mahakama, ila sasa hivi ameingilia kuhakikisha inatenda haki. Mara zote huko nyuma mahakama zilitumika kukomoa wapinzani.
Serikali haijawahi kuingilia Mahakama sema wewe hujui SHERIA.
 
Serikali haijawahi kuingilia Mahakama sema wewe hujui SHERIA.
Unajua maana ya uhuru wa mahakama au unatapika kama unakunya. Yaani raia wawe wanafanya kosa alafu Dpp au Japi anaamurishwa kufuta kesi?
 
Mama sijui ana nongwa gani na kijana Sabaya. Kazi aliyofanya Sabaya kwa CCM halafu anakomolewa na serikali ya CCM ni jambo la kushangaza.

Anachokitafuta samia ndani ya ccm ni kukiangamiza chama tu.

Mtu kama lema na itikadi zake za ubinafsi unajidai kumpenda ili alete nini ccm. Watu wabinafsi wenye sera ya ulafi ujambazi wana faida gani ccm. Sabaya amepambana kuimarisha chama kwa vitendo.

Ameonesha kutetea maslahi ya umma hadi kuhatarisha maisha yake. Nani anabisha kama jimbo la hai mbowe alikua analishikilia kwa vitisho na hila dhidi ya wapinzani wake.

Aligeuza kama mali yake na yeye ndio sultani. Leo hivi sabaya anateseka kwa kulipwa kisasi na hao mafisadi kwa kusaidiwa na dola.

Licha ya mahakama kumkuta hana kosa dola ya samia bado inaendelea kumshikilia kijana mfia ccm huku ikiwakumbatia wenye sera na itikadi za ubinafsi na juzi lema ameanza kuwakejeri vijana kwa ajira zao halali za bodaboda.

Urafiki na wahuni na wababaishaji hauwezi kumsaidia kwenye siasa za tanzania. CCM msingi wake ni kutetea haki usawa na maslahi ya umma na sio kuwafutia kesi wakimbizi bandia na vibaraka wa mabeberu.

Hayo ni matumizi mabaya ya madaraka kwa kiongozi anayetokana na chama cha mapinfuzi.
 
Lema aliwahi kubaka wanawake?
Kupora hela maduka ya fedha?

Kesi za kisiasa mnalinganisha na Kesi za uhalifu?...

Sabaya aongezewe kifungo....msitutanie
 
Yaani nilishangaa kwa kweli,ila ndo katiba yetu. Rais yupo juu ya kila kitu.
Basi Rais angemwambia DPP ndiyo aseme kua hana haja ya kuendelea na kesi! Tunavyojua kua Jinai haifi,kwa hiyo utawala ukibadilika Lema anawezwa kamatwa tena!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mama nadhani amaeonyesha dhaili nguvu ya wanawake ikoje,Vitabu vitakatifu vyote na huko kwenye nchi za waarabu mwanamke hawezi kupata Nafasi ya kuongoza kamwe wala Mamraka yoyote kitaifa,Ni wa nyumbani tu kupika na kupakua,Ata hapo jirani zanzbar mwanamke sokoni haendi,Tanzania imekuwa mfano hai wa hili,Tunapigo kubwa sana.
 
Sabaya nadhani alimdharau sana Bibi alivyokua anatatua migogoro ya viongozi enzi za Mama Mgwira kama RC wa Kilimanjaro. Aendelee kula insubordination kwa rosholoo hadi kieleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…