Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hakika ni huzuni sana ameweka bayana lolote lawezekana na lolote aweza fanya.Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542