Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Sabaya nadhani alimdharau sana Bibi alivyokua anatatua migogoro ya viongozi enzi za Mama Mgwira kama RC wa Kilimanjaro. Aendelee kula insubordination kwa rosholoo hadi kieleweke.
Umesema kitu na mimi nilikua nadhani. Issue ya sabaya kwa mama bila shaka ni personal. Lakini binafsi ninavyomuona mama kiuongozi huenda sabaya alikua sahihi kama walitofautiana huko nyuma kiutendaji. Mtazamo wa sabaya ni mkali kuhusu haki na usawa.
 
Sabaya aliponzwa na Magufuli, sabaya alikuwa tool for evils sasa aendelee kuishiba na legacy ya chato. He is a good guy but I think he went too far, likely he behaved so extreme kiasi kwamba aendelee hadi huko 2026
 
Sabaya aliponzwa na Magufuli, sabaya alikuwa tool for evils sasa aendelee kuishiba na legacy ya chato. He is a good guy but I think he went too far, likely he behaved so extreme kiasi kwamba aendelee hadi huko 2026
Hapo hujaeleza kitu. Kama evil ni kupiga vita wafisadi magendo ukwepaji kodi etc si ndio kazi ya kiongozi?
Mlio sympathetic au participants kwenye upigaji, magendo na mengine ya uvunjaji sheria kujipatia kipato mnashindwa kutaja makosa ya sabaya kwa sababu sio makosa. Ni Chuki tu inawaongoza.
 
Sabaya alifanya kazi gani kwa CCM??
 
LGBTQIA sijui kama itamuacha salama aendelee kuomba huenda milango ya chato ikafunguka.
 
Nikajua utasema sijui kamuachia jangili gani la unga au ujambazi au wizi ma fedha. Sasa Lema, Lema. Ukimuachia huru utapata hasara gani.

Tufikirie vingine jamani. Huyo Lema wakufungwa kweli. Shida nini, kaongea maneno ya siasa au kumkashifu JPM

Embu tuangalie jamani daah.
 
"Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.

Chanzo Taarifa: Nipashe ya Radio One leo

Leo GENTAMYCINE nimefurahi Kusikia na Kujua kuwa kumbe Rais wa Tanzania ana Mamlaka yote ya Kumfutia Kesi Mtanzania yoyote yule akijisikia kufanya hivyo.

Kazi Kweli Kweli.....!!!!!
 
" Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.

Nami GENTAMYCINE nasema kama Sabaya labda alimkosea Mtanzania yoyote au Kiongozi yoyote yule Tanzania hivyo nae sasa Anakomolewa basi Asamehewe tu ili Maisha yaendelee.

Kazi Kweli Kweli hakyanani.....!!!!!!
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇



Understanding that... Hili la Lema kimekuuma sana mzee wa legacy na mwanachama kindakindaki toka Lumumba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…