Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Acha kujibu mambo kwa hisia. Lema hakuwa na kesi Singida iliyokuwa na ushahidi upo wazi?
Kesi za wapinzani enzi za Magufuli zinafahamika zilikuwaje, na maagizo ya hukumu iweje inafahamika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujibu mambo kwa hisia. Lema hakuwa na kesi Singida iliyokuwa na ushahidi upo wazi?
Umesema kitu na mimi nilikua nadhani. Issue ya sabaya kwa mama bila shaka ni personal. Lakini binafsi ninavyomuona mama kiuongozi huenda sabaya alikua sahihi kama walitofautiana huko nyuma kiutendaji. Mtazamo wa sabaya ni mkali kuhusu haki na usawa.Sabaya nadhani alimdharau sana Bibi alivyokua anatatua migogoro ya viongozi enzi za Mama Mgwira kama RC wa Kilimanjaro. Aendelee kula insubordination kwa rosholoo hadi kieleweke.
Sabaya aliponzwa na Magufuli, sabaya alikuwa tool for evils sasa aendelee kuishiba na legacy ya chato. He is a good guy but I think he went too far, likely he behaved so extreme kiasi kwamba aendelee hadi huko 2026Umesema kitu na mimi nilikua nadhani. Issue ya sabaya kwa mama bila shaka ni personal. Lakini binafsi ninavyomuona mama kiuongozi huenda sabaya alikua sahihi kama walitofautiana huko nyuma kiutendaji. Mtazamo wa sabaya ni mkali kuhusu haki na usawa kwa wote.
Unateseka ukiwa wapi?Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Unataka ujue ili iweje?Unateseka ukiwa wapi?
Inawezekana hata yule muuza ganda, yule Shamimu Mwasha alishatoka gerezani.Wakati alihukumiwa kifungo cha maisha.
Hapo hujaeleza kitu. Kama evil ni kupiga vita wafisadi magendo ukwepaji kodi etc si ndio kazi ya kiongozi?Sabaya aliponzwa na Magufuli, sabaya alikuwa tool for evils sasa aendelee kuishiba na legacy ya chato. He is a good guy but I think he went too far, likely he behaved so extreme kiasi kwamba aendelee hadi huko 2026
Mama sijui ana nongwa gani na kijana Sabaya. Kazi aliyofanya Sabaya kwa CCM halafu anakomolewa na serikali ya CCM ni jambo la kushangaza.
Anachokitafuta samia ndani ya ccm ni kukiangamiza chama tu.
Mtu kama lema na itikadi zake za ubinafsi unajidai kumpenda ili alete nini ccm. Watu wabinafsi wenye sera ya ulafi ujambazi wana faida gani ccm. Sabaya amepambana kuimarisha chama kwa vitendo.
Ameonesha kutetea maslahi ya umma hadi kuhatarisha maisha yake. Nani anabisha kama jimbo la hai mbowe alikua analishikilia kwa vitisho na hila dhidi ya wapinzani wake.
Aligeuza kama mali yake na yeye ndio sultani. Leo hivi sabaya anateseka kwa kulipwa kisasi na hao mafisadi kwa kusaidiwa na dola.
Licha ya mahakama kumkuta hana kosa dola ya samia bado inaendelea kumshikilia kijana mfia ccm huku ikiwakumbatia wenye sera na itikadi za ubinafsi na juzi lema ameanza kuwakejeri vijana kwa ajira zao halali za bodaboda.
Urafiki na wahuni na wababaishaji hauwezi kumsaidia kwenye siasa za tanzania. CCM msingi wake ni kutetea haki usawa na maslahi ya umma na sio kuwafutia kesi wakimbizi bandia na vibaraka wa mabeberu.
Hayo ni matumizi mabaya ya madaraka kwa kiongozi anayetokana na chama cha mapinfuzi.
LGBTQIA sijui kama itamuacha salama aendelee kuomba huenda milango ya chato ikafunguka.Hapo hujaeleza kitu. Kama evil ni kupiga vita wafisadi magendo ukwepaji kodi etc si ndio kazi ya kiongozi?
Mlio sympathetic au participants kwenye upigaji, magendo na mengine ya uvunjaji sheria kujipatia kipato mnashindwa kutaja makosa ya sabaya kwa sababu dio makosa.
Ni Chuki tu inawaongoza.
Baelezee ndio ajueSabaya alifanya kazi gani kwa CCM??
LGBTQIA ni tofauti na LGBTQ au hiyo IA ni nyongeza ya tafsiri ya neno INTERNATIONAL ASSOCIATION?LGBTQIA sijui kama itamuacha salama aendelee kuomba huenda milango ya chato ikafunguka.
Kasi zote zilizohusisha upinzani mostly zilikuwa fake, kesi za uongo, elewa hivyo dhalimu mwenzangu!Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Simu imeamua kufanya faulo sijui huyo sabaya ataamua ajiunge na chama au atumikie sera yaLGBTQIA ni tofauti na LGBTQ au hiyo IA ni nyongeza ya tafsiri ya neno INTERNATIONAL ASSOCIATION?
Mlisema nyie mccmPumbavu mbwa wewe nani alisema?
Understanding that... Hili la Lema kimekuuma sana mzee wa legacy na mwanachama kindakindaki toka Lumumba!!Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇
![]()
Ultaka ruzuku wakupe wewe au mamako??Nijibu kamanda. Hii taarifa ya chadema kupokea ruzuku umeipata wapi?