Karibu ulingoni tena..ulipotea sana wewe...Mmeshasahau alichowafanya Magufuli ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu ulingoni tena..ulipotea sana wewe...Mmeshasahau alichowafanya Magufuli ?
Hahaha si uulize ACT....wametoa tamko kushangazwa na asali hii inayolambwa kwa kiwango Cha juu....tofauti na walivyokuwa wanajua msimamo waoNijibu kamanda. Hii taarifa ya chadema kupokea ruzuku umeipata wapi?
Sasa kama kesi zilifunguliwa kisiasa na hazina masrahi kwa taifa kwa nini? asifute hata kama ningekuwa mimi ningezifuta.Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Unafikiri kwa kutumia makalioSasa kama kesi zilifunguliwa kisiasa na hazina masrahi kwa taifa kwa nini? asifute hata kama ningekuwa mimi ningezifuta.
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Mpelekempeleke tena?! 😆😆Hata Mimi nimeshangaa katokea wapi...nilijua mpelekempeleke tiari
Sio kwamba anaiomba mahakama ifute kesi?Mwenye kesi kisheria anaruhusiwa kufuta kesi yake, sasa kama kesi zilifunguliwa kwa maagizo ya mwenye nazo hakuna kosa wala tatizo lolote kusema anazifuta. Siamini kama kwa mfano kuna mtu ana malalamiko binafsi dhidi ya Lema kwamba hiyo kesi itafutwa. Hiyo ni kesi kati ya mlalamikaji na mlalamikiwa, mlalamikaji muda wowote ni haki yake kufuta kesi akitaka na ni utaratibu wa kawaida.
Rais yuko wapi hapo [emoji849]Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
[emoji116]View attachment 2538542
Pole sana ndugu yangu labda uliajiliwa kwa ajili ya kuuwa na kutesa wanyonge kipindi kile, sasa hivi labda kaendeshe bodabodaShida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Upeo Kaka. No.1 ana upeo mdogo.Shida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Sio katiba ni mazoeaYaani nilishangaa kwa kweli,ila ndo katiba yetu. Rais yupo juu ya kila kitu.
Ndio maana huo ndio utaratibu wenyewe wa kisheria kwamba unaomba ili kufuta kesi. Na anayefanya hivyo ni mwenye kesi mwenyewe.Sio kwamba anaiomba mahakama ifute kesi?
Mahakama ikishasomewa sihitajiNdio maana huo ndio utaratibu wenyewe wa kisheria kwamba unaomba ili kufuta kesi. Na anayefanya hivyo ni mwenye kesi mwenyewe.
Sasa nikikwambia wewe kuwa nafuta kesi yangu juu yako kuna kosa gani? Kinachofata ni mimi kupeleka prayer yangu ili kuifuta kisheria kwenye mahakama basi.
Sukuma gang imetoka wapi tena!Sukuma gang on the beat! 2025 mtafika mkiwa hamjui mshike lipi na muache lipi
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Sukuma gang usiyechoka, wewe pambania legacy tu haya mengine yamekuzidi kimo.Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
[emoji116]View attachment 2538542
Nyie wanaccm tulipokuwa tunawaambia rais anaweza kuingilia mahakama na kuagiza zitoe hukumu ya aina gani mbona mlikuwa mnasema mahakama ni huru?Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542
Miongoni mwa Mazuzu ya CCM yanayopaswa kupuuzwa ni pamoja na wewe, ni mashetani mlionufaika na unyama wa awamu ya 5 ndio maana mnaumia kuona haki ikitamalakiShida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Twende taratibu. Kwa hiyo mama alimuundia kesi Sabaya? Mimi hapa ninakesi ya Sabaya kumpiga mdogo wangu pale Kokoriko akijaribu kumnyang'anya mchumba wake aliyezaa naye, maskini Sabaya akajua malaya kampiga dogo na kitako cha smg (video zipo).Shida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Bora hata huyu anayesema hadharani kuliko yule shetani aliyekuwa anayatoa nyuma ya pazia nani akamatwe nani apotezwe.MUNGU FUNDIIbara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇View attachment 2538542