Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Sabaya ni kesi halali za uhalifu wake, wakati Lema ni kesi za mchongo toka kwenye siasa chafu za Magufuli.
Dhamira ya Rais sio ya dhati .

Anawatumia tu Chadema kwa manufaa ya kisiasa.

Wenye makosa ndio wanapaswa musamehewa ili msamaha uhesabike.

Kwakua Lema hana kosa basi hajafanya lolote kumsamehe maana tayari hana kosa.

Anayepaswa hapa kusamehewa ni sabaya maana ndiye mkosaji.

Hakuna faida yeyote kumsamehe asiye na kosa.

Ila mtu anapata thawabu kwa kumsamehe mkosaji.

Hapa kama kawaida CHADEMA mnatumika.
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
Kesi za kubambika rahisi kuzifuta.
 
Ndio maana ukawa stroke
 
Waliofutiwa kesi ni kwa sababu zilikua za kisiasa na kisasi, za kubambikiwa. Ni tofauti na kesi za unyang'anyi na kupora.

Pia inawezekana ni matakwa ya wazungu wakopeshaji (ubireshaji wa demokrasia), sidhani kama kuna mkopeshaji anataka Sabaya afutiwe kesi.

Sabaya huenda kuwekwa ndani ni salama zaidi kwake kuliko kutolewa.

Pia Rais hapangiwi.
Niambie ni mahakama ipi imemtia hatiani sabaya kwa makosa yake.

Anafuta kesi za kubumba huku anafunga wengine kwa kesi za kubumba.

Huu tuite nini??
 
Unafananisha kesi za uchochezi (kisiasa) na kesi za unyang'anyi wa kutumia silaha?!.
Yaani mlima Kilimanjaro ni sawa na kichuguu?!.
Shule ulienda kusomea ujinga eeh
Mahakama ipi imemtia hatiani??
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.

Akili huna
 
Mkiti wenu wa ccm alisha wahi kusema kuwa ni bora mpinzani aliye nje ccm kuliko mpinzani aliye ndani ya ccm .... Sabaya ni mpinzani aliye ndani ya ccm... Kwahiyo mama anashughulika na wapinzani walioko ndani ya ccm.. amejua kuwa chadema ni wapinzani wenye uchungu na rasrimali za nchi hii kuliko hao wanaovaa tai zenye rangi ya bendera ya Taifa kumbe ni zilonga mbali na zitendwa mbali... Mama Samia shughulikia hao kupe mpk maji wayaite mmaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hata mhalifu Sabaya nae ana watetezi..?ama kweli ukishangaa ya Musa utaona ya firauni
Kama mwizi wa gari mstaafu anasamehewa hata huyo mhalifu anastahili.

Huu ni mwezi wa kwaresma.

Rais atoe zawadi kwa kumfutia kesi sabaya atapata thawabu.

Else itakua hadaa tu kama nyingine tulizozoea kusikia na kuona.
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
Ameanza kulewa madaraka mapema. Wahuni kama lema anaona wako sahihi. Mtu anaropoka ovyo. Kiitikadi na ccm ni mota na maji. Jitu libinafsi eti mama anamfutia kesi. Sijui hata anajua kesi zinahusu nini. Huwezi kua kiongozi shwari tu na wapinga maendeleo unawafutia kesi huku kijana sabaya aliyepambania sera za ccm kujali wanyonge kupata haki na kupingana na fisadi na wakwepa kodi unajidai humuoni. Adui zake wanamsulubisha kwa ushirika na serikali unayoiongoza.
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
Kesi za kina Lema ...zilikuwa za kisiasa zaidi.
 
Dhamira ya Rais sio ya dhati .

Anawatumia tu Chadema kwa manufaa ya kisiasa.

Wenye makosa ndio wanapaswa musamehewa ili msamaha uhesabike.

Kwakua Lema hana kosa basi hajafanya lolote kumsamehe maana tayari hana kosa.

Anayepaswa hapa kusamehewa ni sabaya maana ndiye mkosaji.

Hakuna faida yeyote kumsamehe asiye na kosa.

Ila mtu anapata thawabu kwa kumsamehe mkosaji.

Hapa kama kawaida CHADEMA mnatumika.

Kama rais anawatumia CDM, kwanini asimtumie Sabaya ili kupata hizo sifa?
 
Back
Top Bottom