Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Mwanaume real hafutuwi kesi, Mwanaume anashinda kesi hiyo ndiyo tofauti.

Sabaya will rise like a phoenix!
Sio leo wala kesho Sabaya kushinda kesi kwani Bado tano nyingine pending
The Phoenix rose from the ashes Sabaya still has to be burned yet
Stay tuned
 
Ww ulipokuwa unafanyika uhuni mbona hukusisitiza mahakama zitende haki? Kama mahakama zimeamua kutumikia siasa chafu acha iwe hivyo hivyo mpaka jeshi litakapopindua hawa wahuni.
Kwahiyo hautaki tena mahakama zitende haki ilimradi chadema inatendewa haki?
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
[emoji116]

FqdD3UbWIAMYsUH
Imetamkwa wazi ikiwa kifichoni,walietunga mi watu na inachezewa na watu what u gonna do about it son
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇

FqdD3UbWIAMYsUH
Rais Samia Suluhu hajawai kufanya kinyume na katiba ya nchi anafuata sheria zote na wewe unaongea ukiwa haujui nguvu ya Rais ndio maana unaona siku ya uhuru Rais anauwezo wa kuwatoa watu walio jera kwaiyo japo napo utalalamika?
 
Tatizo linaanzia hapo kwenye kuingilia mahakamani, kama huko nyuma mahakama zilitumika kutotenda haki basi sasa hivi tulitegemea kutoona tena mahakama zikiingiliwa bali tungeona mahakama zikitenda haki huku zikiwa huru.
Mahakama sasa ni hutu na zinatenda haki ndio maana unaona Rais Samia Suluhu anasimamia haki haki kila siku na yeye kufuta kesi za watu jua amefuata utaratibu wote pia katiba ya nchi inampa nguvu hiyo
 
Kilichoingiliwa hapo ni mahakama au legacy? Tunajua kilichowauma MATAGA ni ile statement ya Rai's SSH kuwa "mwanaume ni yule anayejiamini". Moja kwa moja Mwendazake aliguswa. Wacheni povu, tulieni. Au nasema uwongo ndugu zangu?
Kweli kabisa Mama anajiamini ndio maana amefungua mikutano ya kisiasa kwasababu anajiamini anajua hakuna kama yeye kwenye siasa
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇

FqdD3UbWIAMYsUH
Mambo ya hovyo kabisa, japo haya ni matokeo, hiki chama kupitia viongozi wake wamekuwa wa Utamaduni huu toka enzi, kwasababu ni matokeo Leo huwezi kumlaumu sana Mama, yeye Amelelewa hivyo
Screenshot_20230307-163800_Gallery.jpg
 
Kwahiyo hautaki tena mahakama zitende haki ilimradi chadema inatendewa haki?

Mahakama hizi zimeshapoteza uwezo wa kutenda haki, kwa sasa haki wanayoifanyia kazi ni ile wanayoagizwa na watawala.
 
Mambo ya hovyo kabisa, japo haya ni matokeo, hiki chama kupitia viongozi wake wamekuwa wa Utamaduni huu toka enzi, kwasababu ni matokeo Leo huwezi kumlaumu sana Mama, yeye Amelelewa hivyo View attachment 2540715
Ndio maana hata aina ya wanasheria wa kisisiemu kama kina Tulieni, kubugi nawengi ni corrupt, bahati mbaya sana dhulma iliasisiwa mapema hivyo Leo ni matokeo, Tazama mtu kama Pascal Mayalla ni tokeo hilo la wanasheria ubwabwa
 
Sio leo wala kesho Sabaya kushinda kesi kwani Bado tano nyingine pending
The Phoenix rose from the ashes Sabaya still has to be burned yet
Stay tuned
Abanikwe tartiiiibu hadi kufikia kuwa jivu🤔.
 
Wewe umechoka kahangaike na wanaokuchosha... kesi za dhulma tafuta kwa vi ongoz dhalili na manduli. Haki huliinua taifa na Rais tulienae ni muislamu safi asiye na damu mikononi. Mungu mbariki mama Sa100 mpe miaka mingi ya kulitumikia taifa
 
Crimes and politics are two creatures hanging on the same coin as they are two sides of the same coin therefore they are dependent on each other and one can hardly exist without the other. The irony lies in the fact that politicians create laws that THEY take exception to…leaving the general public vulnerable and controlled.
Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema

Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa

Barikiwa sana!
Kesi ya Lengao Ole Sabaya ni ya KISIASA elewa wewe mtu usiye na msimamo na hoja za maana
Jifunze hapa:
POLITICAL CRIMES
Political crimes refer to criminal acts committed for ideological purposes. Rather than being
motivated by private greed or benefit, these offenders sincerely believe they are following a
higher morality that supersedes present society and its laws. Such political criminals may act for
social-political reasons, out of moral-ethical motivations (antiabortion activists), to advance
religious causes (Martin Luther King), to disseminate scientific beliefs, or to publicize political
concerns. Such crime may take one or two forms: crime by the government or crime against the
government.
Crimes by the government include violations of human rights, civil liberties, and constitutional
privileges, as well as illegal behavior that occurs in the process of enforcing the law and maintaining
the status quo. E,g secret police violations, human rights abuses, genocide, crimes by police,
illegal surveillance, disruptions, and experiments.
Crimes against the government may range from protests, illegal demonstrations, and strikes to
political whistle-blowing, assassination, and terrorism

Kitanzania
UHALIFU WA KISIASA

Uhalifu wa kisiasa hurejelea vitendo vya uhalifu vinavyofanywa kwa madhumuni ya kiitikadi. Badala ya kuhamasishwa na tamaa au manufaa binafsi, wahalifu hawa wanaamini kwa dhati kuwa wanafuata maadili ya juu ambayo yanasimamia jamii ya sasa na sheria zake. Wahalifu hao wa kisiasa wanaweza kutenda kwa sababu za kijamii na kisiasa, kutokana na motisha za kimaadili (antiabortion activists), kuendeleza sababu za kidini (Martin Luther King), kusambaza imani za kisayansi, au kutangaza masuala ya kisiasa. Uhalifu huo unaweza kuchukua aina moja au mbili: uhalifu unaofanywa na serikali au uhalifu dhidi ya serikali.

Uhalifu unaofanywa na serikali ni pamoja na ukiukwaji wa haki za binadamu, uhuru wa raia na katiba marupurupu, pamoja na tabia haramu inayotokea katika mchakato wa kutekeleza sheria na kudumisha hali ilivyo. Mfano ukiukwaji wa siri wa polisi, ukiukwaji wa haki za binadamu, mauaji ya kimbari, uhalifu unaofanywa na polisi, ufuatiliaji haramu, usumbufu, na majaribio. Uhalifu dhidi ya serikali unaweza kuanzia maandamano, maandamano haramu, na migomo hadi Kupiga filimbi za kisiasa, mauaji, na ugaidi

*Kwa maana hiyo hapo ni dhahiri Lengai Ole Sabaya amefungwa na kuzidi kushitakiwa kwa sababu za kisiasa tena zenye mlengo wa jamii moja ya Kaskazini na Pwani.

Aachiwe maana ni kutesa mtu kwa makosa yasiyoeleweka
 
Ole Sabaya kafungwa lini ndugu mwerevu?
 
Mahakama hizi zimeshapoteza uwezo wa kutenda haki, kwa sasa haki wanayoifanyia kazi ni ile wanayoagizwa na watawala.
Kwahiyo ndio maana chadema wanatengeneza urafiki na Rais Samia ili wapate haki zao kutoka kwa watawala? Hawapiganii tena haki bali wanatumia urafiki wao na watawala?
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
[emoji116]

FqdD3UbWIAMYsUH
WEWE KAMA NANI? KAMA HURIDHIKI NENDA BURUDI
 
Back
Top Bottom