Mkuu hana mamlakaa na viongozi WA tff kwa BODI ana mamlaka NAYO vizuri tuWaziri hawezi kuingilia mambo ya mpira inaweza kusababisha kama nchi kufungiwa labda a deal nao sio rasmi kwa njia zile walizotumiwa kuwatia ndani kina Kaburu ili wapate adabu.
wazir hawez ingilia hizo mambo per fifa regulations, nchi itafungiwaNi mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU
Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania
Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania
Binafsi kama MH WAZIRI alitakiwa awe amevunja Ile BODI ya wahuni WA LIGI pale tff
Else Tunamwombea mama Samia amuwadabishe waziri HUSIKA WA MICHEZO iwe fundisho kwa wote wanaoleta SIASA kwenye SOKA la tanxania
Ha hahahahaUnakuwa Serious na Nchi iliyojaa viongozi wapumbavu na raia wajinga!!!!!
"Adui ujinga anzadi kulitafuna Taifa"
Capo Delgado.
Wakiamua wanaweza. Zinaandaliwa barua za kujiuzulu kwa kila mhusika, wanaitwa Wizarani au Kijitonyama wanapewa wasaini.wazir hawez ingilia hizo mambo per fifa regulations, nchi itafungiwa
Not that simple mzee baba, nani wa kuandaa hizo barua under mamlaka ya nani?Wakiamua wanaweza. Zinaandaliwa barua za kujiuzulu kwa kila mhusika, wanaitwa Wizarani au Kijitonyama wanapewa wasaini.
Tena kwenye content kuwe na phrase " kwa hiari yangu bila kulazimishwa au kushawishiwa"
Hiv we jamaa unapatikana wapi nije kuchekaa tuuuuuuuuuuuuSasa Waziri mwenyewe wa michezo ndo huyo Mzee Kama Babu yangu mzaa nyanya Angu Unategemea atajua nini? Yani Waziri hawezi kuwa na Update wala Interest na mambo ya Michezo maana kwenye Wizara kapwaya Angebidi apewe Kijana Ambaye Yuko interested na mambo kama hayo
Unadhani Leo hii huyo babu yenu Tena ni Prof. Atoe tamko Gani kwenye mambo ya soka zaidi ya Kulea wajukuu zake anyway Sijui uteuzi wake ulizingatia nini by The Mama Anaupiga Mwingi
Ikumbukwe juzi Prof ametoka kuwaambia Watanzania SINGELI [emoji23][emoji23][emoji23]iwe Nyimbo na Utambulisho wa Burudani za Mtanzania Kimataifaa
Yani Aiiiiii Babaaa wekawekaaa Bahariaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WTF mziki unaohamasisha kupandana na ushenzi really!!
Kweli hii Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo msaidieni Babu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Prof.Bomaaaaa!