NI AIBU SANA KUONA WAZIRI HUSIKA WA MICHEZO AMEKAA KIMYA MPAKA SASA KUONA UPUUZI WA TFF NA BODI YAKE KWENYE SOKA LETU

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU

Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania

Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania

Binafsi kama MH WAZIRI alitakiwa awe amevunja Ile BODI ya wahuni WA LIGI pale tff

Else Tunamwombea mama Samia amuwadabishe waziri HUSIKA WA MICHEZO iwe fundisho kwa wote wanaoleta SIASA kwenye SOKA la tanxania
 
Waziri hawezi kuingilia mambo ya mpira inaweza kusababisha kama nchi kufungiwa labda a deal nao sio rasmi kwa njia zile walizotumiwa kuwatia ndani kina Kaburu ili wapate adabu.
 
Sasa Waziri mwenyewe wa michezo ndo huyo Mzee Kama Babu yangu mzaa nyanya Angu Unategemea atajua nini? Yani Waziri hawezi kuwa na Update wala Interest na mambo ya Michezo maana kwenye Wizara kapwaya Angebidi apewe Kijana Ambaye Yuko interested na mambo kama hayo
Unadhani Leo hii huyo babu yenu Tena ni Prof. Atoe tamko Gani kwenye mambo ya soka zaidi ya Kulea wajukuu zake anyway Sijui uteuzi wake ulizingatia nini by The Mama Anaupiga Mwingi

Ikumbukwe juzi Prof ametoka kuwaambia Watanzania SINGELI 😂😂😂iwe Nyimbo na Utambulisho wa Burudani za Mtanzania Kimataifaa
Yani Aiiiiii Babaaa wekawekaaa Bahariaaa😂😂😂😂 WTF mziki unaohamasisha kupandana na ushenzi really!!

Kweli hii Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo msaidieni Babu yenu😂😂😂😂
Prof.Bomaaaaa!
 
Waziri hawezi kuingilia mambo ya mpira inaweza kusababisha kama nchi kufungiwa labda a deal nao sio rasmi kwa njia zile walizotumiwa kuwatia ndani kina Kaburu ili wapate adabu.
Mkuu hana mamlakaa na viongozi WA tff kwa BODI ana mamlaka NAYO vizuri tu
 
Waziri mwenyewe alitolewa jalalani. Huoni tatizo hapo?
 
Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU

Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania

Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania

Binafsi kama MH WAZIRI alitakiwa awe amevunja Ile BODI ya wahuni WA LIGI pale tff

Else Tunamwombea mama Samia amuwadabishe waziri HUSIKA WA MICHEZO iwe fundisho kwa wote wanaoleta SIASA kwenye SOKA la tanxania
wazir hawez ingilia hizo mambo per fifa regulations, nchi itafungiwa
 
Wakiamua wanaweza. Zinaandaliwa barua za kujiuzulu kwa kila mhusika, wanaitwa Wizarani au Kijitonyama wanapewa wasaini.
Tena kwenye content kuwe na phrase " kwa hiari yangu bila kulazimishwa au kushawishiwa"
 
Wakiamua wanaweza Zinaandaliwa barua za kujiuzulu kwa kila mhusika, waitwa Wizarani au Kijitonyama wanapewa wasaini.
Tena kwenye content kuwe phrase " kwa hiari yangu bila kulazimishwa au kushawishiwa"
Mwambie huyu mkui
 
Ila Mkuu kweli wewe ndio wale Mashabiki Mburula nilikuwa Sijasoma Ulicho andika.

Rais waziri au Kiongozi Yoyote wa Selikali hatakiwi Kuingilia mambo ya Mpira wa Miguu.
FIFA wanakataza Mno
Ni marufuku kabisa kabisa.

Kushinda Jamii Foru muda wote hujui kwamba Marufuku selikali Kuingilia Mambo ya Mpira wa Miguu.
(TFF)

Punguza Ushabiki wa Simba na yanga akili zitakurudika.

NIMESIKITIKA SANA.
 
Wakiamua wanaweza. Zinaandaliwa barua za kujiuzulu kwa kila mhusika, wanaitwa Wizarani au Kijitonyama wanapewa wasaini.
Tena kwenye content kuwe na phrase " kwa hiari yangu bila kulazimishwa au kushawishiwa"
Not that simple mzee baba, nani wa kuandaa hizo barua under mamlaka ya nani?

Reality is soccer la tz lita take the hit
 
Sasa Waziri mwenyewe wa michezo ndo huyo Mzee Kama Babu yangu mzaa nyanya Angu Unategemea atajua nini? Yani Waziri hawezi kuwa na Update wala Interest na mambo ya Michezo maana kwenye Wizara kapwaya Angebidi apewe Kijana Ambaye Yuko interested na mambo kama hayo
Unadhani Leo hii huyo babu yenu Tena ni Prof. Atoe tamko Gani kwenye mambo ya soka zaidi ya Kulea wajukuu zake anyway Sijui uteuzi wake ulizingatia nini by The Mama Anaupiga Mwingi

Ikumbukwe juzi Prof ametoka kuwaambia Watanzania SINGELI [emoji23][emoji23][emoji23]iwe Nyimbo na Utambulisho wa Burudani za Mtanzania Kimataifaa
Yani Aiiiiii Babaaa wekawekaaa Bahariaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WTF mziki unaohamasisha kupandana na ushenzi really!!

Kweli hii Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo msaidieni Babu yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Prof.Bomaaaaa!
Hiv we jamaa unapatikana wapi nije kuchekaa tuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom