Ni aibu sana mwanaume mwenye umri 35 na kuendelea kukosa uwekezaji wa kuanzia millioni 30

Tunaweza kufikirisha bongo zaidi kupata majibu ya maswali yetu tunayojiuliza kama vijana, tena vijana wadogo am 24 too.
 
KFC alitoboa akiwa na miaka mingapi? Tusipangiane umri wa kutoboa tafadhali maana kuna waliotoboa hata hawajazaliwa yaani mimba tu ishatoboa tayari
duh 😂😂😂
 
I am one blessed having something else sisubutu kusema maneno hayo wenye tuhela ni 2% ya watanzania ni kama bahati au baraka fulani tuipatayo hata hivyo pamoja na hela na majengo mazuri hakuna furaha yoyote tuipatayo maana hata hiyo furaha unayoidhania huzoeleka na kuonekana siyo furaha tena eventually tunajiuliza sasa hii yote faida yake ni nini? Kinachobakia ni kuswali tu.
 
kwamba umeamua kujifariji au
 
Reactions: amu
Maandiko kama haya yanaweza kuchukuliwa masikhara lakini ni hatari sana kwa kuwa yanawagusa watu wengi na hupelekea msongo wa mawazo na hata kujiua.....
huwa unawaza kwa nguvu sana mkuu[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666].

hawa wahuni nimesoma sehemu wanasababisha Skorea vijana wanajinyonga sana kwa kuhisi wamekosea,maama muda wote mitandaoni wanapost goodlife.
 
umeendika kitu cha maana sana boss, atakae pitia andiko lako atatambua nguvu iliyopo kwa Mungu
 
huwa unawaza kwa nguvu sana mkuu[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666].

hawa wahuni nimesoma sehemu wanasababisha Skorea vijana wanajinyonga sana kwa kuhisi wamekosea,maama muda wote mitandaoni wanapost goodlife.
Which is not reality, wengine mpaka hupigia picha kwenye nyumba nzurinzuri ambazo sio zao
 
Mchoraji wa hizi cartoon ni nani amemifurahisha sana na ile katumi yake maarufu ya ukraine na wenzie iraq n.k
Hizi zinazungushwa tu na vijana mtandaoni, haijulikani mchoraji original alikuwa nani ila huyo katuni wanamuita "Wojak"
 
Bange
 
Hawa ndio wanawadanganya vijana wa watu wanaishia kupumuliwa . Mambo sio mepesi kiasi hicho na maisha usikariri.

I made millions when I was young and I lost them when I was young then at my forties nikajua makosa yangu pia ujana nikarudisha biashara zangu na pesa ipo ya kutosha Sasa lakini ni sababu Sina mambo mengi .

Kwanza nashukuru nilikula maisha while I was young maana kwa sasa sijui utaniambia nini sanasana nifanye kwa kuqmua sio kupapalika.

So mleta mada asiwakaririshe watu maisha.
 
bila kuwa bust mnajisahau sana
 
bila kuwa bust mnajisahau sana
Hamna kitu, halafu kila mtu na mipango yake, Kuna mtu anahussle hajawahi kushika hata milioni tano Ila anajenga, na anamaliza nyumba mdogo mdogo, na anasomesha etc Sasa ukisema awe na mtaji wa hiyo 30 million nadhani unakosea sana kijana.

Kuna mtu ana biashara haifiki hiyo hela lakini anapata pesa ya kuishi kupitia hiyo biashara so huwezi kumfananisha pia aina ya biashara na uwezo .

Halafu sio lazima kila mtu awe na mtaji wa hicho kiasi life haikaririwi namna hiyo unless you are too young to understand. Ukikua utaelewa hata Kama wewe utakuwa umebarikiwa kupata hiyo hela.
 
Hawezi kuelewa maisha huyu anatafuniwa kila kitu yeye kazi yake kumeza tu........umeongea kitu tunachopitia wengi......usipo wasaidia wadogo zako bado itakuwa mzigo kwako better wapate elimu hata ya ufundi,ili baadaye waweze kusimama na miguu yao......
 
Nyama
Nyamanza hujui chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…