Ulivyo andika tu huu uzi wako ikabidi niende kwenye post zako za nyuma i mean profile lako ili nijue wewe ni mtu wa aina gani.
Uzi wa pili tu kukutana nao sikuona umuhimu wa kuendelea mbele maana majibu nikawa nimeyapata.
Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine.pia tofauti na KIRANGA na wenzake wasio amini uwepo wake mimi na amini yupoo ila utendaji wake wa kazi kidogo inanipa mshaka kama mashabiki wa vyama na mm Kwangu naona huyu shetani ndio mkombozi, kwa fact hizi Pale bustani ya edeni Mungu alimficha Adamu...
www.jamiiforums.com
Ipo hivi, ukimtegemea Mungu wa mbinguni aliyeziumba mbingu na nchi, kufanikiwa huwezi kujipangia ni mpaka Mungu akufungulie mlango huo.
Mungu kujibu maombi ya uchumi huwa haangalii umri bali tunasema Mungu huwa hawahi wala hachelewi bali kila mtu na wakati wake alio kusudia yeye.
Kwenye huo uzi wako nimeona unammwagia sifa shetani kwamba ukitaka utajir ni chapu anakupa kupitia waganga.! Sehemu nyingin unasema amekupa siri ya kujua utamu wa mbususu.!
It is ok kwa staili hiyo nikupe hongera kwa kufanikiwa kwa umri wa miaka 35 kumilik mil 35 inawezekana hicho ni kiwango cha chini inayo zaidi.
Yote tuyafanyayo hapa duniani hutokana na maamuzi, hivyo acha walioamua kuto mkimbilia shetani wafanikiwe kwa muda wao huenda at 40's or 60's haijalishi.
Nimechok kuandik ngoja niishie hapa.!