Ni aibu sana mwanaume mwenye umri 35 na kuendelea kukosa uwekezaji wa kuanzia millioni 30

Umesema miaka 10 ya utafutaji sio? Kuanzia 25 hapo unamaanisha!

Sawa, twende pole pole, mimi ni kijana nilikulia maisha ya kuunga unga, home msosi mmoja kwa siku, nimepita pita shule kwa msaada wa serikali, nimemaliza nikiwa na miaka 24. Sina cha kurithi wala sijaanzishiwa maisha.

Miaka 4 ya kutafuta kazi, sina kitu hapo! Miaka 2 iliyofuata nikiwa na ajira ya mshahara wa 1,000,000/= basic, nikaanza kupanga ghetto na kujiweka sawa!

Ili kuepuka kuwa centre point ya familia, najivisha majukumu, kuvuta wengine ili wajitegemee! Kwa miaka 4 napambana na maisha yangu na ya familia(shule, kula, matibabu na pango)

Miaka 10 ya utafutaji wa halali ndo hiyo hapo na umri ndo huo hapo! Sh 30m inapatikanaje?
- Au kwa mikopo ya riba iliyoshushwa? Poda? Michezo au Mission town? Kuwa chawa? Kulamba midomo?
Tunaweza kufikirisha bongo zaidi kupata majibu ya maswali yetu tunayojiuliza kama vijana, tena vijana wadogo am 24 too.
 
KFC alitoboa akiwa na miaka mingapi? Tusipangiane umri wa kutoboa tafadhali maana kuna waliotoboa hata hawajazaliwa yaani mimba tu ishatoboa tayari
duh 😂😂😂
 
I am one blessed having something else sisubutu kusema maneno hayo wenye tuhela ni 2% ya watanzania ni kama bahati au baraka fulani tuipatayo hata hivyo pamoja na hela na majengo mazuri hakuna furaha yoyote tuipatayo maana hata hiyo furaha unayoidhania huzoeleka na kuonekana siyo furaha tena eventually tunajiuliza sasa hii yote faida yake ni nini? Kinachobakia ni kuswali tu.
 
I am rich, sisubutu kusema maneno hayo wenye tuhela ni 2% ya watanzania ni kama bahati au baraka fulani tuipatayo hata hivyo pamoja na hela na majengo mazuri hakuna furaha yoyote tuipatayo maana hata hiyo furaha unayoidhania huzoeleka na kuonekana siyo furaha tena eventually tunajiuliza sasa hii yote faida yake ni nini? Kinachobakia ni kuswali tu.
kwamba umeamua kujifariji au
 
  • Kicheko
Reactions: amu
Maandiko kama haya yanaweza kuchukuliwa masikhara lakini ni hatari sana kwa kuwa yanawagusa watu wengi na hupelekea msongo wa mawazo na hata kujiua.....
huwa unawaza kwa nguvu sana mkuu[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666].

hawa wahuni nimesoma sehemu wanasababisha Skorea vijana wanajinyonga sana kwa kuhisi wamekosea,maama muda wote mitandaoni wanapost goodlife.
 
Ulivyo andika tu huu uzi wako ikabidi niende kwenye post zako za nyuma i mean profile lako ili nijue wewe ni mtu wa aina gani.
Uzi wa pili tu kukutana nao sikuona umuhimu wa kuendelea mbele maana majibu nikawa nimeyapata.

Ipo hivi, ukimtegemea Mungu wa mbinguni aliyeziumba mbingu na nchi, kufanikiwa huwezi kujipangia ni mpaka Mungu akufungulie mlango huo.

Mungu kujibu maombi ya uchumi huwa haangalii umri bali tunasema Mungu huwa hawahi wala hachelewi bali kila mtu na wakati wake alio kusudia yeye.

Kwenye huo uzi wako nimeona unammwagia sifa shetani kwamba ukitaka utajir ni chapu anakupa kupitia waganga.! Sehemu nyingin unasema amekupa siri ya kujua utamu wa mbususu.!
It is ok kwa staili hiyo nikupe hongera kwa kufanikiwa kwa umri wa miaka 35 kumilik mil 35 inawezekana hicho ni kiwango cha chini inayo zaidi.

Yote tuyafanyayo hapa duniani hutokana na maamuzi, hivyo acha walioamua kuto mkimbilia shetani wafanikiwe kwa muda wao huenda at 40's or 60's haijalishi.

Nimechok kuandik ngoja niishie hapa.!
umeendika kitu cha maana sana boss, atakae pitia andiko lako atatambua nguvu iliyopo kwa Mungu
 
huwa unawaza kwa nguvu sana mkuu[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666].

hawa wahuni nimesoma sehemu wanasababisha Skorea vijana wanajinyonga sana kwa kuhisi wamekosea,maama muda wote mitandaoni wanapost goodlife.
Which is not reality, wengine mpaka hupigia picha kwenye nyumba nzurinzuri ambazo sio zao
 
Mchoraji wa hizi cartoon ni nani amemifurahisha sana na ile katumi yake maarufu ya ukraine na wenzie iraq n.k
Hizi zinazungushwa tu na vijana mtandaoni, haijulikani mchoraji original alikuwa nani ila huyo katuni wanamuita "Wojak"
 
Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti

Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu

Halafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli

Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa

Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna kweeli

Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 nikawekeza sehem nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa ila smat ya m3 na tuvisofa ambayo hatuwezi kuku move on wakati ujao unato,

Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.

Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.

Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa asante
Bange
 
Umesema miaka 10 ya utafutaji sio? Kuanzia 25 hapo unamaanisha!

Sawa, twende pole pole, mimi ni kijana nilikulia maisha ya kuunga unga, home msosi mmoja kwa siku, nimepita pita shule kwa msaada wa serikali, nimemaliza nikiwa na miaka 24. Sina cha kurithi wala sijaanzishiwa maisha.

Miaka 4 ya kutafuta kazi, sina kitu hapo! Miaka 2 iliyofuata nikiwa na ajira ya mshahara wa 1,000,000/= basic, nikaanza kupanga ghetto na kujiweka sawa!

Ili kuepuka kuwa centre point ya familia, najivisha majukumu, kuvuta wengine ili wajitegemee! Kwa miaka 4 napambana na maisha yangu na ya familia(shule, kula, matibabu na pango)

Miaka 10 ya utafutaji wa halali ndo hiyo hapo na umri ndo huo hapo! Sh 30m inapatikanaje?
- Au kwa mikopo ya riba iliyoshushwa? Poda? Michezo au Mission town? Kuwa chawa? Kulamba midomo?
Hawa ndio wanawadanganya vijana wa watu wanaishia kupumuliwa . Mambo sio mepesi kiasi hicho na maisha usikariri.

I made millions when I was young and I lost them when I was young then at my forties nikajua makosa yangu pia ujana nikarudisha biashara zangu na pesa ipo ya kutosha Sasa lakini ni sababu Sina mambo mengi .

Kwanza nashukuru nilikula maisha while I was young maana kwa sasa sijui utaniambia nini sanasana nifanye kwa kuqmua sio kupapalika.

So mleta mada asiwakaririshe watu maisha.
 
bila kuwa bust mnajisahau sana
 
bila kuwa bust mnajisahau sana
Hamna kitu, halafu kila mtu na mipango yake, Kuna mtu anahussle hajawahi kushika hata milioni tano Ila anajenga, na anamaliza nyumba mdogo mdogo, na anasomesha etc Sasa ukisema awe na mtaji wa hiyo 30 million nadhani unakosea sana kijana.

Kuna mtu ana biashara haifiki hiyo hela lakini anapata pesa ya kuishi kupitia hiyo biashara so huwezi kumfananisha pia aina ya biashara na uwezo .

Halafu sio lazima kila mtu awe na mtaji wa hicho kiasi life haikaririwi namna hiyo unless you are too young to understand. Ukikua utaelewa hata Kama wewe utakuwa umebarikiwa kupata hiyo hela.
 
Umesema miaka 10 ya utafutaji sio? Kuanzia 25 hapo unamaanisha!

Sawa, twende pole pole, mimi ni kijana nilikulia maisha ya kuunga unga, home msosi mmoja kwa siku, nimepita pita shule kwa msaada wa serikali, nimemaliza nikiwa na miaka 24. Sina cha kurithi wala sijaanzishiwa maisha.

Miaka 4 ya kutafuta kazi, sina kitu hapo! Miaka 2 iliyofuata nikiwa na ajira ya mshahara wa 1,000,000/= basic, nikaanza kupanga ghetto na kujiweka sawa!

Ili kuepuka kuwa centre point ya familia, najivisha majukumu, kuvuta wengine ili wajitegemee! Kwa miaka 4 napambana na maisha yangu na ya familia(shule, kula, matibabu na pango)

Miaka 10 ya utafutaji wa halali ndo hiyo hapo na umri ndo huo hapo! Sh 30m inapatikanaje?
- Au kwa mikopo ya riba iliyoshushwa? Poda? Michezo au Mission town? Kuwa chawa? Kulamba midomo?
Hawezi kuelewa maisha huyu anatafuniwa kila kitu yeye kazi yake kumeza tu........umeongea kitu tunachopitia wengi......usipo wasaidia wadogo zako bado itakuwa mzigo kwako better wapate elimu hata ya ufundi,ili baadaye waweze kusimama na miguu yao......
 
Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti

Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu

Halafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli

Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa

Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna kweeli

Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 nikawekeza sehem nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa ila smat ya m3 na tuvisofa ambayo hatuwezi kuku move on wakati ujao unato,

Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.

Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.

Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa asante
Nyama

Nyamanza hujui chochote
 
Back
Top Bottom