bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Pana jamaa yangu anajua shortcut chochote zote za winga toka posta hadi makongo hadi vibinti vya church vinamgwaya kwa sababu Hana kitu.ππ
Lipitie kufanya nini sasa.
Hii Dunia haiko fair kabisa
Pana mazingira ukiaply akili unafeliTuzidi kuishi nao kwa akili
Huu msemo una maana kubwa sana uzeeni ni lazima ufe mapema kama hauna pesa,Dunia aina huruma na wewe
Tuapply nn sasaPana mazingira ukiaply akili unafeli
Binafsi siwezi kumpa Mwanamke kitu kinachoitwa PESA hii ni kanuni yangu ambayo nilianza kuishi kabla sijabalehe mpaka leo 26yrs
Sisi wengine starehe zetu nikuzipata hizo pesa na sio wanawake so personal namshukuru Mungu kwa Hilo.
Mkuu katika Lecture zako uliwahi kutuambia tusiwape hela Hawa viumbe na tutafute hela kwa ajili yetu isipokuwa mke halaliNa Mwanamke akijua Jambo hili wengi hupenda kujipa umuhimu hivyo lazima wajigonge, hasa uwe na kijikazi mshenzi cha Kupata tulaki nane, sijui Saba.
Mwishowe wakuchukie alafu wakutafutie target wakuloge ufe
kweli kabisa ukichunguza asilimia kubwa ya wanaonunua ngono kwa Ma sex workers ni watu ambao vipato vyao ni duni hawawezi ku afford kumhudumia mwanamke parmanentPesa huna, mvuto huna utaishia kununua tu
Akili na nguvu kulingana na mazingiraTuapply nn sasa
JamaniπππππHata kanisani wanakutenga kapu la kuchangia halipiti kwako
Mkuu katika Lecture zako uliwahi kutuambia tusiwape hela Hawa viumbe na tutafute hela kwa ajili yetu isipokuwa mke halali
Mimi huwa naandikaga katika diary baadhi ya Lecture zako so naendelea kuzingatia maokoto yangu hayamuhusu Mwanamke labda nikioa tu
Huwezi kuwa na mvuto kama hauna pesa
Maokoto yawepo, bahati mbaya uvute na kigari vuuuuuum
Mwanajeshi inasaidaje mkuuTena ukiwa Mwanaume Maskini usiye na mvuto Hii Dunia inakuwa ngumu zaidi.
Labda uwe Mwanajeshi itasaidia
Mwanajeshi inasaidaje mkuu
Basi akili haikwepekiAkili na nguvu kulingana na mazingira