Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa Hekalu la Daudi 607 BC na 70 CE; Kukombolewa kwa Waisrael na Mfalme Cyrus wa Persia na Kuharibiwa kwa Jiji la Babilon. Na kuna Unabii ambao matokeo yake yangeendelea mpaka kipindi chetu mfano kutojengwa tena kwa Jiji la Babilon, kutojegwa tena kwa Hekalu la Daudi na Unabii wa Taifa gani kuwa World Superpower ktk Nyakati za Mwisho wa Mfumo Huu wa Shetani. Aidha, Unabii mwingi kuhusu hasa Kipindi chetu Ulifunuliwa na Yesu hususan ktk vitabu vya Gospel na Maono aliyompa Mtume Yohana ktk kitabu cha Ufunuo.
Here's the Catch though, kuhusiana na Utimizo wa Unabii wa Mungu ktk Biblia na vile vile kutimizwa kwa Mapenzi yake: katika akili ya kawaida wanadamu huwa hawaoni logic ya mtiririko wa matukio yanayoenda kutimiza mapenzi ya Mungu/Unabii wa Biblia. Nitawapa mfano. Waisrael walipokuwa wanaondoka Egypt ingawa walijua mababu zao walipita njia gani kuingia Egypt bila kukanyaga Bahari, against all odds Mungu aliwaelekeza waende muelekeo wa Red Sea. Kiasi kwamba walipobaini Pharaoh alikuwa anawakaribia baadhi ya Waisrael wakalaumu kuwa kwanini Mungu alituelekeza kuja huku? Ili Pharaoh aje kutuulia baharini!? Kumbe hawakujua mipango ya Mungu.
Dunia ilipokuwa inaukaribia mwaka 2000 karibu kila mtu alizizima akisubiri kwa wasiwasi NINI kingetokea mwaka huo. Kwanini? From History, watu wengi waliaminishwa kuwa kila baada ya miaka 2000, Mungu huwa anatokeza tukio kubwa Duniani. The first 2000 yrs- Gharika ya Noah; the second 2000 yrs kutokea kwa Messiah, Jesus. Nini kingetokea the third 2000 yrs!? LAKINI WANADAMU WALICHOKOSEA ktk hii third 2000 yrs. ni kuhusisha kutokea kwa Messiah Jesus na siku yake ya kuzaliwa, ambayo hata hivyo hakuna anayeijua. Kumbe Biblia inahusisha kutokea kwa Messiah na siku yake ya UBATIZO AMBAYO NI MWAKA 29 CE. Hapa mwenye utambuzi na atumie akili yake!🤔
Sasa tuje kwenye vita ya Marekani-Israel na Iran. Matokeo ya vita hii yatatimiza Unabii ufuatao
1. Habari Njema za Biblia kuwafikia Waislamu wa Iran ambao wamekuwa wakinyimwa UHURU wa kuchagua ibada wanayotakabkuifuata
2. Kuithibitishia Dunia kuwa The Anglo-American Alliance ndiye ataendelea kuwa Superpower wa Dunia mpaka mfumo huu wa Shetani unafikia mwisho wake. Sambamba na hilo fuatilieni kwa karibu nini kitaitokea Serikali ya Uingereza inayoongozwa na Labour Party chini ya Keir Starmer ambaye amejitokeza waziwazi kuipinga Marekani 🙃🙃🙃🙃
3. Kutimiza Unabii wa Biblia ktk kitabu cha Ufunuo kuhusu UN kupitisha Resolution ya kuzipiga Dini zote Marufuku kutokana na Dini hizo kuhatarisha Amani ya Dunia; kwa Maana hiyo Utawala wa kitheokrasi chini ya Ayatollahs huko Iran ni lazima uondoke ama sivyo and especially with the military power it has been gaining ungekuwa kikwazo kutekeleza Azimio hilo la UN
Narudia tena AGAINST ALL ODDS, the Mullahs in Iran are going to fall. Naona wengi humu kutokana tu na chuki zao dhidi ya Israel wameshadadia kujitutumua anakoonyesha Iran kwa kuendelea kurusha makombora yake ya masafa marefu, hadi visiwa vya Diego Garcia.
Matukio ya Dunia yanaenda kwa haraka sana and keep in mind kuwa Unabii wa Yesu kuhusu kuwapo kwake haukutaja vita moja tu, hivyo tutarajie vita NYINGINE YA KUSITUA MIOYO ZAIDI YA HII na vile vile zile Dini zilizokuwa zimejificha kwa kueneza propaganda za Uongo, wakiwaaminisha watu kuwa ni UKWELI zitaaibika kwa Uongo wao kuwekwa WAZI(2Thesalonians 2:3)