Unajuaje endapo unabii umetimia, kama si kwa kuhusisha tukio la wakati huo na kile Biblia ilisema? Read Luke 4:17-21 unabii wa Isiah ulivyotimizwa kupitia Yesu.Kuchukua matukio ya leo kisha kuyahusisha moja kwa moja na unabii bila dalili wazi ni kujenga hitimisho kabla ya ushahidi.
Soma vizuri nilivyoandika; nimesema kuna nabii ktk Agano la Kale tunazisoma kwenye Biblia na zilitimizwa nyakati hizo hizo za kale. The fact kwamba Secular History inatuthibitishia Utimizo wake hiyo inatupa confidence kuwa Unabii wa Biblia ni wa kutegemeka.Ni kweli historia inaonyesha kuanguka kwa falme kama Babeli na kuibuka kwa Koreshi Mkuu, lakini hayo yalikuwa matukio yaliyotajwa kwa muktadha wake maalum. Kuyachukua na kuyahamishia moja kwa moja kwenye siasa za leo kama Iran au Marekani ni kulazimisha ulinganifu ambao haujaandikwa wazi.
You're to shallow Bro! Hata haujui kuwa kulingana na chronology ya Biblia Dunia sasa hivi iko mwaka wa ngapi toka Adam! Biblia huwa haiandiki moja kwa moja mwaka hususa. Mfano ktk Nehemia 2:1 inasema ktk mwaka wa 20 wa Utawala wa Mfalme Ar·ta·xerxʹes. Halafu wewe sasa inabidi uende kwenye secular history ukaone ni mwaka gani, kwa kuchunguza huyo mfalme alianza kutawala liniHakuna sehemu iliyo wazi inayotaja Iran ya leo, Marekani, au muungano wa Anglo-American kama utimilifu wa moja kwa moja wa unabii. Hapa kinachofanyika ni kuunganisha matukio kwa hisia na mtazamo wako binafsi, si kwa msingi wa maandiko yenyewe.
Hoja ya kwamba kuna mzunguko wa miaka 2000 unaoleta matukio makubwa haina msingi thabiti wa kihistoria wala wa kimaandiko. Hii ni pattern iliyotengenezwa na watu, si kanuni iliyoainishwa wazi.
Bro hata wakati wa Noah walikuwa hawaamini kuwa Mungu ataiangamiza Dunia kwa gharika ya Mvua, unajua sababu ya kutoamini kwao? Ni kwa sababu Dunia ya wakati huo haikuwa imewahi kushuhudia Mvua ikinyeesha. Sasa wewe nakwambia kasome ufunuo 17. Ila usiende kusoma na kichwa yako ya panzi. Kitabu hicho kinafunua kuangamizwa kwa Dini za Uongo. Uko huko? Jiandae kwa Maajabu hayo muda si mrefuKusema kwamba UN itakuja kupiga marufuku dini zote duniani ni dhana tu.
Hakuna ushahidi wa sasa wa kisera au kisheria unaoonyesha jambo hilo linaelekea kutokea, hivyo hiyo ni taswira ya kubuni, si uhalisia uliopo.
Mwisho nikusihi tu! Mungu na Yesu wanakupenda sana na hawataki Uangamie na huu Mfumo wa Shetani 2 Peter 3:9 fuatilia matukio yanavyoendelewa ku unfold na uchukue hatua stahiki, utaokoka the imminent destruction of this Satan's systemB
Hata ukitazama kwa mtazamo wa dini kwa ujumla, si sahihi kuchukua kila tukio la vita na kulifanya moja kwa moja kuwa utimilifu wa unabii.
Dunia imekuwa na vita nyingi kabla, na si kila vita ni ishara ya moja kwa moja ya mwisho wa mambo.
Pamoja na islam ideology kuangamizwa kabla ule mwisho haujaja, vingine vitakavyoangamizwa ni ideologies za Kikomunisti na kisoshalisti. MjiandaeWewe mleta uzi unaleta habari za biblia kualalisha ujinga USA 🇺🇸
Hapa umereacts kwa kutumia hisia,chuki,ushabiki na udini,vitu hivi vitakunyima kujua ukweli,jaribu kuelewa mambo kwa kutuliza kichwa..mtoa mada ana hoja nzito tena inayoitaji akili za juu kumuelewa.Wewe mleta uzi unaleta habari za biblia kualalisha ujinga USA 🇺🇸
Tatizo la watanzania wenzetu ni kutoshughulisha akili zao. Wao hupenda kujibu hoja nzito kwa maongezi yao ya vijiweni. Ndiyo maana hatua ya mwisho huwa nawaambia kuwa endapo hoja imeuzidi ubongo wao basi angalau watulie kidogo ili TIME and passing of events ziwape majibu; sijui huwa wanaelewa kuwa nawaonea huruma!?Hapa umereacts kwa kutumia hisia,chuki,ushabiki na udini,vitu hivi vitakunyima kujua ukweli,jaribu kuelewa mambo kwa kutuliza kichwa..mtoa mada ana hoja nzito tena inayoitaji akili za juu kumuelewa.
Mlokole mavi wewe kichwa pumbu brain dead cellNiwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa Hekalu la Daudi 607 BC na 70 CE; Kukombolewa kwa Waisrael na Mfalme Cyrus wa Persia na Kuharibiwa kwa Jiji la Babilon. Na kuna Unabii ambao matokeo yake yangeendelea mpaka kipindi chetu mfano kutojengwa tena kwa Jiji la Babilon, kutojegwa tena kwa Hekalu la Daudi na Unabii wa Taifa gani kuwa World Superpower ktk Nyakati za Mwisho wa Mfumo Huu wa Shetani. Aidha, Unabii mwingi kuhusu hasa Kipindi chetu Ulifunuliwa na Yesu hususan ktk vitabu vya Gospel na Maono aliyompa Mtume Yohana ktk kitabu cha Ufunuo.
Here's the Catch though, kuhusiana na Utimizo wa Unabii wa Mungu ktk Biblia na vile vile kutimizwa kwa Mapenzi yake: katika akili ya kawaida wanadamu huwa hawaoni logic ya mtiririko wa matukio yanayoenda kutimiza mapenzi ya Mungu/Unabii wa Biblia. Nitawapa mfano. Waisrael walipokuwa wanaondoka Egypt ingawa walijua mababu zao walipita njia gani kuingia Egypt bila kukanyaga Bahari, against all odds Mungu aliwaelekeza waende muelekeo wa Red Sea. Kiasi kwamba walipobaini Pharaoh alikuwa anawakaribia baadhi ya Waisrael wakalaumu kuwa kwanini Mungu alituelekeza kuja huku? Ili Pharaoh aje kutuulia baharini!? Kumbe hawakujua mipango ya Mungu.
Dunia ilipokuwa inaukaribia mwaka 2000 karibu kila mtu alizizima akisubiri kwa wasiwasi NINI kingetokea mwaka huo. Kwanini? From History, watu wengi waliaminishwa kuwa kila baada ya miaka 2000, Mungu huwa anatokeza tukio kubwa Duniani. The first 2000 yrs- Gharika ya Noah; the second 2000 yrs kutokea kwa Messiah, Jesus. Nini kingetokea the third 2000 yrs!? LAKINI WANADAMU WALICHOKOSEA ktk hii third 2000 yrs. ni kuhusisha kutokea kwa Messiah Jesus na siku yake ya kuzaliwa, ambayo hata hivyo hakuna anayeijua. Kumbe Biblia inahusisha kutokea kwa Messiah na siku yake ya UBATIZO AMBAYO NI MWAKA 29 CE. Hapa mwenye utambuzi na atumie akili yake!🤔
Sasa tuje kwenye vita ya Marekani-Israel na Iran. Matokeo ya vita hii yatatimiza Unabii ufuatao
1. Habari Njema za Biblia kuwafikia Waislamu wa Iran ambao wamekuwa wakinyimwa UHURU wa kuchagua ibada wanayotakabkuifuata
2. Kuithibitishia Dunia kuwa The Anglo-American Alliance ndiye ataendelea kuwa Superpower wa Dunia mpaka mfumo huu wa Shetani unafikia mwisho wake. Sambamba na hilo fuatilieni kwa karibu nini kitaitokea Serikali ya Uingereza inayoongozwa na Labour Party chini ya Keir Starmer ambaye amejitokeza waziwazi kuipinga Marekani 🙃🙃🙃🙃
3. Kutimiza Unabii wa Biblia ktk kitabu cha Ufunuo kuhusu UN kupitisha Resolution ya kuzipiga Dini zote Marufuku kutokana na Dini hizo kuhatarisha Amani ya Dunia; kwa Maana hiyo Utawala wa kitheokrasi chini ya Ayatollahs huko Iran ni lazima uondoke ama sivyo and especially with the military power it has been gaining ungekuwa kikwazo kutekeleza Azimio hilo la UN
Narudia tena AGAINST ALL ODDS, the Mullahs in Iran are going to fall. Naona wengi humu kutokana tu na chuki zao dhidi ya Israel wameshadadia kujitutumua anakoonyesha Iran kwa kuendelea kurusha makombora yake ya masafa marefu, hadi visiwa vya Diego Garcia.
Matukio ya Dunia yanaenda kwa haraka sana and keep in mind kuwa Unabii wa Yesu kuhusu kuwapo kwake haukutaja vita moja tu, hivyo tutarajie vita NYINGINE YA KUSITUA MIOYO ZAIDI YA HII na vile vile zile Dini zilizokuwa zimejificha kwa kueneza propaganda za Uongo, wakiwaaminisha watu kuwa ni UKWELI zitaaibika kwa Uongo wao kuwekwa WAZI(2Thesalonians 2:3)
Kwa kichwa hiyo ya panzi hata ungesoma usingeambulia kitu. Subiri tu matokeoMlokole mavi wewe kichwa pumbu brain dead cell
Ungekuwa karibu yangu ungekula kelbu kwa kuongea huu upupu ambao hata sijausoma
Uliishia la ngapi mlokole sana sana form4 ya jioni au walikupisha kwa majina ya kilokole na miswaki yakoKwa kichwa hiyo ya panzi hata ungesoma usingeambulia kitu. Subiri tu matokeo
Ugomvi wa kweli unakuaje?Muslim==Kaabah.
Jews==Kabalah
Trump==Blackrock
Masonic==Black cube
bado hajaona kitu.
Wanachokifanya sasa hawa wote kuanika mfumo wa wanaohakikisha wanatumia njia za kutungwa ili wazidi kutawala .
Hapa hakuna uadui wa kweli hawa wote wapo kwenye Jukwaa kuu la maigizo ya ugomvi feki walioficha katika maandiko yao potoshi.
Vita unavyoona walisha iinjinia miaka kibao iliyopita kupelekea Dunia yenye dini yao chafu ( One religion ) or government.
Illuminati 1830 to present.
Albert Pike letter to Mazzini from August 15 1871...... Albert waliwezaje kutabiri vita hivi kati ya Israel na Waislam wakati huo Israel hawasomeki eneo hilo.
Yanayotoka sio tabiri wanatimiza walichokipanga kwenye maandishi yao Meusi.
Dunia toka iumbwe inakuwa kwenye maangaiko ya kila aina ya majanga njaa, vita, vimbunga , mafuriko ya kila aina janga yaliyocost maisha ya maelfu ya viumbe..Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa Hekalu la Daudi 607 BC na 70 CE; Kukombolewa kwa Waisrael na Mfalme Cyrus wa Persia na Kuharibiwa kwa Jiji la Babilon. Na kuna Unabii ambao matokeo yake yangeendelea mpaka kipindi chetu mfano kutojengwa tena kwa Jiji la Babilon, kutojegwa tena kwa Hekalu la Daudi na Unabii wa Taifa gani kuwa World Superpower ktk Nyakati za Mwisho wa Mfumo Huu wa Shetani. Aidha, Unabii mwingi kuhusu hasa Kipindi chetu Ulifunuliwa na Yesu hususan ktk vitabu vya Gospel na Maono aliyompa Mtume Yohana ktk kitabu cha Ufunuo.
Here's the Catch though, kuhusiana na Utimizo wa Unabii wa Mungu ktk Biblia na vile vile kutimizwa kwa Mapenzi yake: katika akili ya kawaida wanadamu huwa hawaoni logic ya mtiririko wa matukio yanayoenda kutimiza mapenzi ya Mungu/Unabii wa Biblia. Nitawapa mfano. Waisrael walipokuwa wanaondoka Egypt ingawa walijua mababu zao walipita njia gani kuingia Egypt bila kukanyaga Bahari, against all odds Mungu aliwaelekeza waende muelekeo wa Red Sea. Kiasi kwamba walipobaini Pharaoh alikuwa anawakaribia baadhi ya Waisrael wakalaumu kuwa kwanini Mungu alituelekeza kuja huku? Ili Pharaoh aje kutuulia baharini!? Kumbe hawakujua mipango ya Mungu.
Dunia ilipokuwa inaukaribia mwaka 2000 karibu kila mtu alizizima akisubiri kwa wasiwasi NINI kingetokea mwaka huo. Kwanini? From History, watu wengi waliaminishwa kuwa kila baada ya miaka 2000, Mungu huwa anatokeza tukio kubwa Duniani. The first 2000 yrs- Gharika ya Noah; the second 2000 yrs kutokea kwa Messiah, Jesus. Nini kingetokea the third 2000 yrs!? LAKINI WANADAMU WALICHOKOSEA ktk hii third 2000 yrs. ni kuhusisha kutokea kwa Messiah Jesus na siku yake ya kuzaliwa, ambayo hata hivyo hakuna anayeijua. Kumbe Biblia inahusisha kutokea kwa Messiah na siku yake ya UBATIZO AMBAYO NI MWAKA 29 CE. Hapa mwenye utambuzi na atumie akili yake!🤔
Sasa tuje kwenye vita ya Marekani-Israel na Iran. Matokeo ya vita hii yatatimiza Unabii ufuatao
1. Habari Njema za Biblia kuwafikia Waislamu wa Iran ambao wamekuwa wakinyimwa UHURU wa kuchagua ibada wanayotakabkuifuata
2. Kuithibitishia Dunia kuwa The Anglo-American Alliance ndiye ataendelea kuwa Superpower wa Dunia mpaka mfumo huu wa Shetani unafikia mwisho wake. Sambamba na hilo fuatilieni kwa karibu nini kitaitokea Serikali ya Uingereza inayoongozwa na Labour Party chini ya Keir Starmer ambaye amejitokeza waziwazi kuipinga Marekani 🙃🙃🙃🙃
3. Kutimiza Unabii wa Biblia ktk kitabu cha Ufunuo kuhusu UN kupitisha Resolution ya kuzipiga Dini zote Marufuku kutokana na Dini hizo kuhatarisha Amani ya Dunia; kwa Maana hiyo Utawala wa kitheokrasi chini ya Ayatollahs huko Iran ni lazima uondoke ama sivyo and especially with the military power it has been gaining ungekuwa kikwazo kutekeleza Azimio hilo la UN
Narudia tena AGAINST ALL ODDS, the Mullahs in Iran are going to fall. Naona wengi humu kutokana tu na chuki zao dhidi ya Israel wameshadadia kujitutumua anakoonyesha Iran kwa kuendelea kurusha makombora yake ya masafa marefu, hadi visiwa vya Diego Garcia.
Matukio ya Dunia yanaenda kwa haraka sana and keep in mind kuwa Unabii wa Yesu kuhusu kuwapo kwake haukutaja vita moja tu, hivyo tutarajie vita NYINGINE YA KUSITUA MIOYO ZAIDI YA HII na vile vile zile Dini zilizokuwa zimejificha kwa kueneza propaganda za Uongo, wakiwaaminisha watu kuwa ni UKWELI zitaaibika kwa Uongo wao kuwekwa WAZI(2Thesalonians 2:3)
Kwanza, nakubaliana na msingi mmoja muhimu ulioutoa: ndiyo, mara nyingi utambuzi wa utimilifu wa unabii huhusisha kulinganisha maandiko na matukio halisi. Mfano ulioutoa wa Injili ya Luka kuhusu utimilifu wa unabii wa Isaya kupitia Yesu ni sahihi kwa muktadha wake. Lakini tofauti kubwa ipo hapa.Unajuaje endapo unabii umetimia, kama si kwa kuhusisha tukio la wakati huo na kile Biblia ilisema? Read Luke 4:17-21 unabii wa Isiah ulivyotimizwa kupitia Yesu.
Soma vizuri nilivyoandika; nimesema kuna nabii ktk Agano la Kale tunazisoma kwenye Biblia na zilitimizwa nyakati hizo hizo za kale. The fact kwamba Secular History inatuthibitishia Utimizo wake hiyo inatupa confidence kuwa Unabii wa Biblia ni wa kutegemeka.
Aidha, nikakuambia kuwa pia zipo nabii za Biblia ambazo matokeo yake tunayaona mpaka leo. Mfano ni Unabii wa Daniel 8 kuhusu Taifa gani litakuwa Superpower kwa wakati Gani. Hapo ndiyo nikakutajia the Anglo-American Alliance. Inaelekea wewe huwa unaangalia Azam TV pekeyake! Utaishia kujua habari za simba na yanga pekee. Bro kuna hii kitu inaitwa special relationship between US & UK jijuze!
You're to shallow Bro! Hata haujui kuwa kulingana na chronology ya Biblia Dunia sasa hivi iko mwaka wa ngapi toka Adam! Biblia huwa haiandiki moja kwa moja mwaka hususa. Mfano ktk Nehemia 2:1 inasema ktk mwaka wa 20 wa Utawala wa Mfalme Ar·ta·xerxʹes. Halafu wewe sasa inabidi uende kwenye secular history ukaone ni mwaka gani, kwa kuchunguza huyo mfalme alianza kutawala lini
Bro hata wakati wa Noah walikuwa hawaamini kuwa Mungu ataiangamiza Dunia kwa gharika ya Mvua, unajua sababu ya kutoamini kwao? Ni kwa sababu Dunia ya wakati huo haikuwa imewahi kushuhudia Mvua ikinyeesha. Sasa wewe nakwambia kasome ufunuo 17. Ila usiende kusoma na kichwa yako ya panzi. Kitabu hicho kinafunua kuangamizwa kwa Dini za Uongo. Uko huko? Jiandae kwa Maajabu hayo muda si mrefu
Mwisho nikusihi tu! Mungu na Yesu wanakupenda sana na hawataki Uangamie na huu Mfumo wa Shetani 2 Peter 3:9 fuatilia matukio yanavyoendelewa ku unfold na uchukue hatua stahiki, utaokoka the imminent destruction of this Satan's system
KirangaNiwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa Hekalu la Daudi 607 BC na 70 CE; Kukombolewa kwa Waisrael na Mfalme Cyrus wa Persia na Kuharibiwa kwa Jiji la Babilon. Na kuna Unabii ambao matokeo yake yangeendelea mpaka kipindi chetu mfano kutojengwa tena kwa Jiji la Babilon, kutojegwa tena kwa Hekalu la Daudi na Unabii wa Taifa gani kuwa World Superpower ktk Nyakati za Mwisho wa Mfumo Huu wa Shetani. Aidha, Unabii mwingi kuhusu hasa Kipindi chetu Ulifunuliwa na Yesu hususan ktk vitabu vya Gospel na Maono aliyompa Mtume Yohana ktk kitabu cha Ufunuo.