Ni Bahati Mbaya Wengi Hawajui Utimizo wa Unabii wa Biblia Kuhusu Matukio ya Dunia, Mfano hii Vita-Iran

Umebase zaidi kwenye propaganda.

Umelipwa na WAZAYUNI(ZIONIST)!?

Mimi ni Mkristo ila Wazayuni ni mashetani.
 
Dini ukiiwekea vikwazo ndio unaipa uhai... wafuasi wake watazidi kuiona ni Imani ya kweli!!

Kwahyo hao mashetwan wanaijua hiyo mbinu,
Dini ukitaka kuiua unatakiwa kuiondoa kwenye vifua vya watu ibaki pambo✍️

Ndio maana unaona nchi kubwa zinahamasisha ushoga, haki sawa, democracy, feminism n.k

Yani unatengenezwa uhasi wa Imani kuonekana n kawaida,,,, na siraha Yao kubwa ni technology!!

Na kwahili jamaa wanafanikiwa kwa kasi sana.....
Hii hoja yako ya UN kuzuia harakati za kidini Dunian, ni dhahifu sana fikiria upya.

Dini ndio inafanya Dunia iweze kutawalika, maana ndio kitu pekee ambacho mwanaadam anaweza amini ujinga licha ya kuuona na kuuthibitisha
 
Hivi unabii ukiambiwa huu ulitabiri kitu kwenye Biblia halafu kitu kikatokea miaka hiyoo, utajuaje huo unabii ulitokea kabla ya jambo kutokea na si editing iliyofanyika kwenye Biblia baada ya hilo jambo kutokea?
Kujua kama unabii ulitokea kabla ya tukio au ni editing ya baadaye, wataalamu hutumia ushahidi wa nakala za kale za Biblia zilizopo kabla ya tukio husika.

Kwa mfano, Gombo la Isaya la Qumran liliandikwa karne ya 2 KK, lakini linayo unabii unaodaiwa kutimia mwaka 70 BK au karne ya 1 BK, hivyo haiwezekani kuwa uliongezwa baada ya tukio.

Pia, tafsiri ya Septuagint (250 KK) ina unabii huo huo, na waandishi kama Josephus (karne ya 1 BK) wanathibitisha maandiko hayo yalikuwepo kabla ya Ukristo.

Kwa mantiki hiyo, kama nakala za kabla ya tukio zina unabii huo, basi si editing ya baadaye.
 
Ccm sijui walipandikiza Nini kwenye vichwa vya watoto wetu 🤣🤣😄
 
Reactions: Lax
Huu unabii gani unaouongelea hapa?

Josephus is not a reliabke source this has been documented.

Tatizo ni kwamba Biblia tangu mwanzo inekuwa edited mara nyingi sana, kuna tabiri za Daniel zilisemwa zimefanyika kabla ya mambo kutokea, lakini watu wakivyoangalia kwa undani wakaona kuwa ni mambo yaliyoandikwa baada ya kutokea.

Hili jambo linaharibu habati zote za utabiri katika Biblia.

Naweza kukuwekea hapa specific proohecies ambazo zikiangakiwa zikakutwa ziliandikwa baada ya kutokea.

Tushajadili sana kwenye uzi mmoja hapa.
 
Huu unabii gani unaouongelea hapa?
Nakala ya Isaya 53 ndiyo unabii nilioutumia kama mfano katika jibu langu la awali.
Hii ndiyo sababu, Ushahidi wa Nakala za Kabla ya Tukio,

Gombo la Isaya la Qumran liliandikwa 202-107 KK na lina Isaya 53 kamili.

Hii inamaanisha unabii huo ulikuwepo karne mbili kabla ya Yesu kuzaliwa, achilia mbali kusulubiwa kwake.

Ulinganisho wa gombo hili na nakala za karne ya 10 BK unaonyesha tofauti ndogo tu, kati ya maneno 166 katika Isaya 53, herufi 17 tu zinatofautiana, nyingi zikiwa ni tahajia tu.
 
Tajiri anasubiri makusanyo changamka wewe boda

 
Isaya 53 imeandikwa na nani?
 
Pamoja na islam ideology kuangamizwa kabla ule mwisho haujaja, vingine vitakavyoangamizwa ni ideologies za Kikomunisti na kisoshalisti. Mjiandae
Jesus is a socialist, do you know that?
 
Utimizo wa Unabii katika Luke 4:16-21 unatokana na Unabii wa Isiah 61:1-2 The spirit of the Sovereign Lord is upon me, Because God anointed me to declare good news to the meek…, To proclaim liberty to the captives.Unabii huu Pamoja na Nabii nyingine za agano la kale zililenga kumtambulisha mtu ambaye atakuwa Masihi. Kumbuka Yesu aliishi maisha ya kawaida kabisa. Na wayahudi ktk kipindi hicho kupitia unabii ndani ya Agano la Kale walijua fika kuwa ni majira ambayo Masihi anatakiwa atokee. Luke 3:15 inasema watu walikuwa wakitarajia na walijiuliza Mioyoni mwao kuhusu Yohana; “Je labda huyu ndiye Kristo?” Kwa hiyo Yesu alipoanza Utumishi wake (kuhubiri Habari njema ya ufalme na kuponya wagonjwa na kufufua wafu) ilibidi pia ahusishe matendo anayofanya na Unabii wa Agano la kale unaomtambulisha mtu atakaye kuwa Masihi. Madai yako kuwa unabii huo una muktadha wa kipekee siyo sahihi. Angalia kwamba siyo wote waling’amua jinsi yesu alivyofafanua utimizo wa unabii huo. Mfano wayahudi wengine walimkataa kuwa ni Masihi kwa sababu tafsiri yao To proclaim liberty to the captives wao walichukulia kuwa Lazima huyo mtu atakaye kuwa Masihi ataongoza harakati za kuwakomboa toka ukoloni wa Waroma (Soma 6:15 na Acts 1:6).

Ndivyo hivyo hivyo leo hii mko nyinyi mnaopinga utimizo wa Unabii wa Biblia kwa sababu mko na tafsiri yenu ya ubinafsi kuhusu unabii huo.
Unabii unabaki unabii na kuuthibitisha inahusisha kwanza tukio litokee na baada ya hapo watambuzi wanapitia mrorongo wa features za tukio hilo na kuzioanisha na unabii husika. Mfano ni Unabii katika Agano la Kale Kuhusu Mtu atakayekuwa Masihi (Kristo) Mungu alihakikisha unakuwa na features nyingi ambazo ukizileta kwa Pamoja ilitakiwa zi point kwa mtu mmoja kumthibitisha kuwa ndiye masihi. Mfano wa Unabii hizo ni:

1. Born to a Virgin (Isaiah 7:14; Matthew 1:18, 22, 23)

2. Born in Bethlehem (Micah 5:2; Luke 2:4-7)

3. Protected as a Child (Hosea 11:1; Matthew 2:13-15)

4. Called a Nazarene (Isaiah 11:1, 2; Matthew 2:23)

5. Arrived at the Appointed Time (Daniel 9:25; Luke 3:1, 2, 21, 22)

Kwa maana hiyo Unabii ninaokuambia sasa, mpaka wakati huu unabakia kuwa Unabii na ndiyo maana ninakwambia kama hauniamini basi tusubirie matokea. Aidha, ninaku challenge wewe utoe tafsiri yako ya matukio yanayotokea sasa
Mr. Aristotle, umesoma vizuri hiyo Daniel 8?! Au unakimbilia tu kututisha na Philosophical Jargons zako anachronism!? Hapo anaonyeshwa vision of the ram (Medo-Persia) and the goat (Greece i.e. Alexander the Great himself and the four divided Hellenistic kingdoms). Lakini pay attention to verse 23 ambapo pana mtambulisha a fierce-looking king who would arise in the final part of the above metioned Kingdoms. Hii Kingdom ni ipi?

Kuuelewa huu unabii inakubidi Mr.
Aristotle usome pia nabii nyingine za Daniel na ikiwezekana soma pia Reveletion 13.

1. Daniel 2: the statue representing Babylon → Medo-Persia → Greece → Rome

2. Daniel 7 of the Four Beasts representing: Lion (Babylon) → Bear (Medo-Persia) → Leopard (Greece) → Fourth Beast (Rome) with ten horns and a little horn

Hivyo madai yako kuwa nimefanya kosa anachronism siyo sahihi. Unabii huo ulihusisha pia matukio ambayo yangetukia karne za mbele sana. Sasa nikuelimishe: Roman empire na baadae Pope akihusishwa ndiyo foundation ya Falme zote za Western Europe. Maandiko yaposema pembe kumi (Daniel 7:7) inamaanisha kwa ukamili wake. Kwa muktadha huu inamaanisha Ulaya yote. Ona pia baada ya kutamka hizo pembe kumi unabii unaongezea kuwa na pembe nyingine ndogo itachomoza miongoni mwao. Hiyo pembe ndogo ni British Empire. Kabla ya kufikia karne ya 16, Ufalme wa Uingereza ulikuwa insignificant as compared to others like Spain, Netherlands and France. Lakini kama ilivyotabiriwa kwenye Unabii huu baada yah apo Uingereza ilikuja kuzishinda kivita Falme hivi nyingine na kujiweka kama World superpower. Kuanzia Vita Kuu ya Kwanza, America akawa Mshirika wa Karibu wa Uingereza na hatimaye Baada ya Vita Kuu ya Pili ndipo Kinachoitwa Anglo-American Alliance kikaundwa.

Nne, hoja yako ya “chronology ya Biblia tangu Adam” pia ina tatizo la msingi. Ni kweli Biblia hutumia mifumo ya miaka ya wafalme na matukio, lakini wataalamu wa historia ya Biblia wanakubaliana kuwa hakuna makubaliano moja thabiti ya mwaka kamili wa dunia kwa kutumia Biblia pekee.
Hivyo kudai kwa uhakika kwamba “tuko mwaka fulani tangu Adam” ni kudai usahihi ambao maandiko yenyewe hayajautoa kwa uwazi. Hapa kuna kosa la overconfidence katika tafsiri ambayo kiasili ina utata.
Hoja yako ya kupinga ukadiriaji wa miaka tangua Adam alivyoumbwa, nafikiri tukubaliane kuwa hakuna hakuna makubaliano moja kwa moja ya mwaka kamili wa dunia kwa kutumia Biblia pekee. Hiyo inaeleweka. Namimi wala sikusema Biblia ndiyo iliweka hilo. Bali mimi nilisema watu waliaminishwa hilo.

Sasa ni hivi: According to the Masoretic genealogy: Adam to the Flood = 1,656 years; According to the Septuagint chronology: from Adam to the Flood is approximately 2,242 years. However, using Masoretic chronology the creation of Adam was in the year 4004 BCE and Jesus’ Birth was in the year 4BCE. Hence, Time from Adam creation to Jesus’ birth is approximately 4,000 years
Kuhusu gharika msisitizo wangu ulikuwa kwamba watu wa wakati wa Noah walishindwa kuhusisha unabii alioutoa kuhusiana na maangamizo kutokana na gharika kwa sababu mvua kwao ilikuwa ni jambo geni kabisa. Vivyo hivyo, kuna unabii mwingi utakaotimizwa nyakati zetu watu watashindwa kutilia maanani kwa sababu matukio yatakayohusisha utimizo hu oni mambo mageni kabisa kwao hivyo kuona kama mzahaa. Sasa wewe unayesema haiwezekani kama kosa lilifanywa na watu wa kale likarudiwa na watu leo hii hiyo ni akili yako. SUBIRI MAAJABU.
Kuhusu kuangamizwa kwa DINI yako ya UONGO kama ilivyosemwa katika Ufunuo 17, ni kwambie kwamba hayo ndiyo mojawapo ya Maajabu mtakayositukizwa. Kama ilivyokuwa wakati wa Noah walivyoshindwa kughamua unabii unaohusisha mvua nanyi mtasitukizwa na kupigwa marufuku DINI yako ya Uongo. Inaelekea wala haujui kuitafakari Biblia vizuri. Ufunuo unamzungumzia Mwanamke Kahaba. Ukisoma Agano la Kale pale ambapo Taifa la Israel lilifanya Ushirika na Wafalme wa Dunia hii, Wakati wao walidai kumtumikia Mungu, Basi walitambuliwa kama Kahaba (Ezekiel 16:28-30. Aidha, huyo Mwanamke Kahaba pia anatambuliwa kama Babylon Mkuu. Sasa wakati wa Kale baylon ilitambuliwa kama Kitovu cha dini za Uongo. Hivyo Tafsiri yake kwa Dini zote za Uongo na ambazo zina USHIRIKA WA KARIBU NA SERIKALI ZA KIDUNIA AMBAZO KWA UJUMLA WAKE NI SERIKALI DHALIMU KWA WANANCHI WAO. Pole sana Dini yako iko huko. SIKU inakuja Hao viongozi wa serikali watawageuka na kuwatafuna kama ilivyosimuliwa katika Ufunuo 17.
Kwa kuhitimisha kama ulivyosema wewe mwenyewe kwamba haukatai uwezekano wa Unabii kutimia, mimi nakuambia kwamba Tuuachie muda utupe majibu. Kwani unabii huthibitishwa baada ya kutimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…