Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

Nakubali kaka. umenipa neno
 
Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.
Biashara hii Ina faida ya kuanzia 50% hadi 100% na kuendelea.

 
Biashara gani tuambie na wenzio
 
[emoji3516]
NIMEUCHUKUA HUU MWONGOZO,
NATAFUTA FOMULA YA KUUMUA DONA NIINGIE MZIGONI.
 
Biashara gani mkuu?
 
Kama hivyo commission ni ndogo mno.

Hili African Bonanza/ dubu katika kila 60,000 ya kwako 9000 na bado mi nikaona ni hela ndogo nikatemana nalo.
Hii inalipa mkuu Mimi KWA mwez tu Napata faida sio chini ya million 1 . Kitu cha kuzingatia uwe na mtaji na hakikisha wateja hawaondoki na machenji ili wachina wakija kufungua wakutee mifuko Mingi . Mfano Mimi jana tu jumamos wamefunga mifuko 5 (Sawa na 45000) na hii ni makusanyo ya siku 2 tu haya jana nimeingiza mifuko 4 leo nimewambia wafungue 36000 . Kwahiyo jana na leo tu faida nimeingiza 81000.

Tahadhari ili ufaidi hii biashara hakikisha wewe au msimamizi wako hachez kabisa kamari akicheza tu ndugu yangu umeumia


Na hapa ni KWA kuwa mzunguko umekuwa mdogo zaman nilikuwa naweza kuuza hata mifuko zaidi ya 10 KWA siku
 
Inaonesha biashara ya ukweli sana hio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…