Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Tatizo wabongo kukwambia anachofanya sahau! Ila yupo radhi akuringishie hivyo hivyo ndio furaha yake! Mafanikio ya kubebana wabongo hatunaga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wabongo kukwambia anachofanya sahau! Ila yupo radhi akuringishie hivyo hivyo ndio furaha yake! Mafanikio ya kubebana wabongo hatunaga!
Uko sahihi kabisa.Hii inalipa mkuu Mimi KWA mwez tu Napata faida sio chini ya million 1 . Kitu cha kuzingatia uwe na mtaji na hakikisha wateja hawaondoki na machenji ili wachina wakija kufungua wakutee mifuko Mingi . Mfano Mimi jana tu jumamos wamefunga mifuko 5 (Sawa na 45000) na hii ni makusanyo ya siku 2 tu haya jana nimeingiza mifuko 4 leo nimewambia wafungue 36000 . Kwahiyo jana na leo tu faida nimeingiza 81000.
Tahadhari ili ufaidi hii biashara hakikisha wewe au msimamizi wako hachez kabisa kamari akicheza tu ndugu yangu umeumia
Na hapa ni KWA kuwa mzunguko umekuwa mdogo zaman nilikuwa naweza kuuza hata mifuko zaidi ya 10 KWA siku
Basi bro share na mimi michongo univushe hapa.Tatizo wabongo kukwambia anachofanya sahau! Ila yupo radhi akuringishie hivyo hivyo ndio furaha yake! Mafanikio ya kubebana wabongo hatunaga!
Mie kwa sasa sidhani kama niko na ishu ya kukuvusha hio! Nikikaa kwenye lane nzuri ntakuelekeza bado naganga njaa tu najitafuta!Basi bro share na mimi michongo univushe hapa
enzi zangu kwenye 2010 nilimuwa na camera yangu nikon nilinunua around 1.8m kwa jamaa yngu toka southWALIOFANYA YA PHOTOGRAPHY NA PHOTOSHOOT NAOMBA MUONGOZO JAMAN WAKUU
enzi zangu kwenye 2010 nilimuwa na camera yangu nikon nilinunua around 1.8m kwa jamaa yngu toka south
kazi yangu kubwa ilikuwa ikifika jioni natafuta kumbi za harusi iwe diamond jubilee au kokote kule nampa mlinzi 10k yake
naingia napiga watu picha na picha moja nlikuwa nauza kuanzia elf 3 mpka 5 kutokana na size nilikua na mashine ya kusafishia hapo hapo nikitoka hapo naweza kuondoka na hata laki kama faida sjui sku hizi wnafanyaje japo kuna sku unaweza kupta ndogo au kukosa kazi kabisa kama wenye shughul wakiwa wakuda
Atakuambia biashara ya kuuza kahawa [emoji1787][emoji1787]Biashara gani tuambie na wenzio
Unauza viungo vya binadamu nini?Biashara yangu ina copyright issues hivyo samahani jamani sitaitaja maana naifanya mwenyewe tu huku Zanzibar watu wengine bado hawajapata mechanism ya kucopy.
Na soon baada ya wao kucopy nahamia kwenye phase 2.
Mtanisamehe! [emoji120]
Mkuu naona sasa premier betting wana mawakala wana fremu vilivyopakwa rangi na kubrandiwa na vi machine fulani vya ku touch vya kubeti.. taratibu zikoje kwa wakala wa namna ile?Premier bet buku saba unapata ukiuza laki moja.....sasa ivi raia hawana ela mie nilikua nauza laki nne per day mpaka tano wikiend sasa ndio balaa nagonga laki nane mpaka 1M.......nilikua na mashine mbili moja ya vibosile kuanzia mkeka wa buku kumi na kuendelea hawa walikua balaa mtu anakuja na laki tatu anatoa mkeka mmoja tu mashine nyingine ya hawa wenzangu na mie mikeka ya jero buku mpaka buku tisa.....
Nilikua nafunga kijiji balaa pale mtaani nikikosekana masaa tu natafutwa kwenye simu na wafanya biashara wa lile eneo huwa wananiambia nasie tunauza vinywaji na vyakula sana kupitia wewe mimi mwenyewe sikuwahi kuwaza kabisa kama kuwa kwangu pale ni faida kwa wengine......
Nilisoma chuo miaka mitatu kupitia ile biashara nilimaliza 2015 kizaazaa alipoingia huyu bwana wateja wakaanza kupungua mdogo mdogo mwishowe hakuna kabisa umeuza sana laki tena wikiendi kufika 2017 mwishoni nikafunga rasmi biashara........
Daah... na kweli jamaa katuringishia ...yupo radhi akuringishie hivyo hivyo ndio furaha yake!
Mkuu ichanganue hii ya movie libraryNilianza biashara ya kukopesha pesa. Nilikuwa na milion moja na nusu mwaka 2018 leo nina mtaji wa milioni 35. Kuna maelezo marefu kidogo ni jinsi gani nilifanikiwa hapa. Nikipata muda naweza kuelezea.
Pia mwaka 2014 nilifungua library ya movie nilikuwa na laptop moja tuu yenye hdd ya gb 160. Leo nina desktop tano na jumla ya terabyte 48. Studio inalaza 300,000/= kwa wiki. Mfanyakazi anajilipa mwenyewe, analipa kodi, umeme na kununua movie.
Haya mafanikio ni matamu sana kuyasoma na kufurahi ila haikuwa rahisi kabisa. Natamani nielezee kwaundani. Ila niseme jambo moja.. Biashara yoyote ile ilimradi iwe halali ukiifanya kwa moyo na kujituma utafanikiwa sana sana...
Haya mawazo yasiwachanganye watu. mtu afanye anachoweza kwa moyo mmoja atafanikiwa tuu piga ua.
Kubetisha
Anahongwa na mabwana huyo, shituka Mkuu. Kuna mtu alileta uzi humu USHUHUDA wa jinsi anavyowala wake za watu kwa hongo ya 200,000 na 250,000. Fuatilia huko kwenye chipsi zenu.Mimi nafanya ya chips, sijaanza muda mrefu, nimemuweka wife asimamie kama biashara yake, kwa siki analaza sio chini ya 20, weekend kama jumapili analaza hata 60
Nimetoka huko muda sana miaka zaidi ya minne sina lolote ninalolifahamu....Mkuu naona sasa premier betting wana mawakala wana fremu vilivyopakwa rangi na kubrandiwa na vi machine fulani vya ku touch vya kubeti.. taratibu zikoje kwa wakala wa namna ile?
Sawa mkuuNimetoka huko muda sana miaka zaidi ya minne sina lolote ninalolifahamu....
Kulipata hilo dubu ni bei gani?Hii inalipa mkuu Mimi KWA mwez tu Napata faida sio chini ya million 1 . Kitu cha kuzingatia uwe na mtaji na hakikisha wateja hawaondoki na machenji ili wachina wakija kufungua wakutee mifuko Mingi . Mfano Mimi jana tu jumamos wamefunga mifuko 5 (Sawa na 45000) na hii ni makusanyo ya siku 2 tu haya jana nimeingiza mifuko 4 leo nimewambia wafungue 36000 . Kwahiyo jana na leo tu faida nimeingiza 81000.
Tahadhari ili ufaidi hii biashara hakikisha wewe au msimamizi wako hachez kabisa kamari akicheza tu ndugu yangu umeumia
Na hapa ni KWA kuwa mzunguko umekuwa mdogo zaman nilikuwa naweza kuuza hata mifuko zaidi ya 10 KWA siku
Hata hiyo pia ni biasharaMimi sifanyi biashara mkuu,Mimi naunganisha mteja na mfanyabiashara.