Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

Anakuletea hesabu ya elfu 20 na siku nyingine hadi elfu 60 kwa biashara ya chipsi, amka toka usingizini Mkuu. Unakula pesa haramu ya mkeo kupigwa miti hiyo.
Mmh kwahiyo mkuu unabisha kwamba biashara ya chips haiwezi kuleta faida ya sh 20k to 60k? Why, Faida inabidi iwe sh ngapi?
 
Mmh kwahiyo mkuu unabisha kwamba biashara ya chips haiwezi kuleta faida ya sh 20k to 60k? Why, Faida inabidi iwe sh ngapi?
Si bishi best angu, najaribu tu kumuelekeza huyu jamaa yangu asiamini sana kila anachoambiwa na "my wife wake", dunia imebadilika sana. Sisi sote ni mashahidi wa hili kundi la MAMLUKI wanaojitokeza hapa jukwaani kila kukicha na kuelezea namna ya wanavyokula wake za watu "ki masihara" huko.
 
Mkuu unaweza shusha nondo kwenye io biashara ya kukopesha.
Shukrani
 
Mkuu huwezi vipi? [emoji16], kama inakushinda ,Nipe location nifanye kazi. Ninashida nayo Sana hiyoo....! ATA nyanya nitakata shida ni pesa bwana
 
Kwa aliewahi Fanya biashara ya maziwa fresh , mtindi.
Naomba mwanga wa hii biashara, nataka nifungue maeneo ya GoBa centre (Dar) kama ni watu wapo. . shida sijafahamu Kama huko makwao wanafuga mang'ombe ikadhiri wazo langu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi safari yangu ndefu sana baada ya kuachana na kufundisha watoto tuition ambapo nilikuwa ninatengeneza laki tano kwa mwezi.

Mwaka 2016 niliomba uwakala wa kampuni zote za kubetisha, ule uwakala wa online, affiliate partners.

Bahati nzuri nikapata kampuni mbili, Meridianbet na Playmaster, kwa upande wa Playmaster nikawapa namba ya mke wangu ili malipo yote yafanyike kwake iwe ya matumizi ya nyumbani ambapo huwa ninapata angalau laki moja kwa mwezi, kwa Meridianbet nikashikilia mwenyewe kila kitu.

Nilipiga sana promosheni kwenye makundi sogozi huko na nikaajiri vijana wanne kwa kazi kazi, ninakumbuka nilikuwa ninatembea ninasinzia kwa sababu ya kukesha kutafuta wateja mitandaoni, nikafahamika sana sana, mpaka leo hii ninapata faida ya angalau euro 30 kwa siku, kwa mwezi hupata mpaka euro 1000 sometimes, nikilipa niliowaajiri, nikanunua bundles za wiki na umeme, baod ninazidi kuwaza namna nzuri ya kufikia wateja zaidi.

Pia, nimejiunga Upwork ambapo ninapata kazi za translations na editing/proofreading kwa neno moja ninachaji 0.01 euro, ninazidi kupambana nijulikane zaidi niwafikie wale wanaopata mpaka euro 4000 kwenye Upwork na Fiverr

Hapo juu nimeona mdau anazungumzia dubu, ngoja nikalitafute wikiendi hii nianze biashara hiyo piana nitarudi kufundisha tena huku nikifanya kazi hizo za online, wadau nimeshukuru sana kwa michango yenu, JF idumu!
 
Utafika mbali sana mkuu, mtaani tunasema una "mkono" wa biashara, ika kiuhalisia una juhudi na uthubutu.
 
Mimi nafanya ya chips, sijaanza muda mrefu, nimemuweka wife asimamie kama biashara yake, kwa siki analaza sio chini ya 20, weekend kama jumapili analaza hata 60
Mkuu umenikumbusha mbali niliwah fanya biashara ya hivyo nikamueka mke wangu kila siku ananiletea faida ya 25k nilifurah.kumbe Kuna mzee mmoja alikuw anamchukua anampa pesa inakuja kwangu Kama faida nakuja kugundus wife Yuko anabeba mizigo anahamishwa mkoa mwingine.

NB:ukimuweka mwanamke kwenye biashara tambua akuna mamende watamfukuzia na watakula .
 
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 

Jaribu kuifuatilia UTT Amis
 
Si Sheria ina
Vipi swala la kibali kwa sababu Sheria inalazimu hivo kama mtu unakopesha kwa riba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…