Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

Anakuletea hesabu ya elfu 20 na siku nyingine hadi elfu 60 kwa biashara ya chipsi, amka toka usingizini Mkuu. Unakula pesa haramu ya mkeo kupigwa miti hiyo.
Mmh kwahiyo mkuu unabisha kwamba biashara ya chips haiwezi kuleta faida ya sh 20k to 60k? Why, Faida inabidi iwe sh ngapi?
 
Mmh kwahiyo mkuu unabisha kwamba biashara ya chips haiwezi kuleta faida ya sh 20k to 60k? Why, Faida inabidi iwe sh ngapi?
Si bishi best angu, najaribu tu kumuelekeza huyu jamaa yangu asiamini sana kila anachoambiwa na "my wife wake", dunia imebadilika sana. Sisi sote ni mashahidi wa hili kundi la MAMLUKI wanaojitokeza hapa jukwaani kila kukicha na kuelezea namna ya wanavyokula wake za watu "ki masihara" huko.
 
Nilianza biashara ya kukopesha pesa. Nilikuwa na milion moja na nusu mwaka 2018 leo nina mtaji wa milioni 35. Kuna maelezo marefu kidogo ni jinsi gani nilifanikiwa hapa. Nikipata muda naweza kuelezea.

Pia mwaka 2014 nilifungua library ya movie nilikuwa na laptop moja tuu yenye hdd ya gb 160. Leo nina desktop tano na jumla ya terabyte 48. Studio inalaza 300,000/= kwa wiki. Mfanyakazi anajilipa mwenyewe, analipa kodi, umeme na kununua movie.

Haya mafanikio ni matamu sana kuyasoma na kufurahi ila haikuwa rahisi kabisa. Natamani nielezee kwaundani. Ila niseme jambo moja.. Biashara yoyote ile ilimradi iwe halali ukiifanya kwa moyo na kujituma utafanikiwa sana sana...

Haya mawazo yasiwachanganye watu. mtu afanye anachoweza kwa moyo mmoja atafanikiwa tuu piga ua.
Mkuu unaweza shusha nondo kwenye io biashara ya kukopesha.
Shukrani
 
Hii idea nilikuwa nayo jana tu hapa. Nilitaka kuweka laki 6 kwenye kakibanda ka chips baada ya kufatilia nikaona miyeyusho kwanza vibanda vingi na chips zina usumbufu. Nikafikiri nikiweka pungufu ya hiyo kwenye kibanda cha mamantilie si napata hela ingawa siwezi kamwe kufanya hiyo kazi mpaka niweke wadada.

Bado niko dilemma.
Mkuu huwezi vipi? [emoji16], kama inakushinda ,Nipe location nifanye kazi. Ninashida nayo Sana hiyoo....! ATA nyanya nitakata shida ni pesa bwana
 
Kwa aliewahi Fanya biashara ya maziwa fresh , mtindi.
Naomba mwanga wa hii biashara, nataka nifungue maeneo ya GoBa centre (Dar) kama ni watu wapo. . shida sijafahamu Kama huko makwao wanafuga mang'ombe ikadhiri wazo langu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi safari yangu ndefu sana baada ya kuachana na kufundisha watoto tuition ambapo nilikuwa ninatengeneza laki tano kwa mwezi.

Mwaka 2016 niliomba uwakala wa kampuni zote za kubetisha, ule uwakala wa online, affiliate partners.

Bahati nzuri nikapata kampuni mbili, Meridianbet na Playmaster, kwa upande wa Playmaster nikawapa namba ya mke wangu ili malipo yote yafanyike kwake iwe ya matumizi ya nyumbani ambapo huwa ninapata angalau laki moja kwa mwezi, kwa Meridianbet nikashikilia mwenyewe kila kitu.

Nilipiga sana promosheni kwenye makundi sogozi huko na nikaajiri vijana wanne kwa kazi kazi, ninakumbuka nilikuwa ninatembea ninasinzia kwa sababu ya kukesha kutafuta wateja mitandaoni, nikafahamika sana sana, mpaka leo hii ninapata faida ya angalau euro 30 kwa siku, kwa mwezi hupata mpaka euro 1000 sometimes, nikilipa niliowaajiri, nikanunua bundles za wiki na umeme, baod ninazidi kuwaza namna nzuri ya kufikia wateja zaidi.

Pia, nimejiunga Upwork ambapo ninapata kazi za translations na editing/proofreading kwa neno moja ninachaji 0.01 euro, ninazidi kupambana nijulikane zaidi niwafikie wale wanaopata mpaka euro 4000 kwenye Upwork na Fiverr

Hapo juu nimeona mdau anazungumzia dubu, ngoja nikalitafute wikiendi hii nianze biashara hiyo piana nitarudi kufundisha tena huku nikifanya kazi hizo za online, wadau nimeshukuru sana kwa michango yenu, JF idumu!
 
Nikiwa shule kidato cha kwanza, siku moja babu yangu alinitembelea kunisalimia tukaongea alipokuwa anatoka akaniachia pesa ya matumizi 20,000/-(hii siku itabaki kwenye kumbukumbu zangu). Nilichukua elfu 10 nikaihifadhi kwa ajili ya bajia na maandazi, elfu 10 nyingine nikanunua boksi mbili za peni, niliuza peni, nilikuwanachukua kwa boksi Tsh 5,000/- zinakaa peni 50 kwenye boksi moja, peni 1 niliuza Tsh 200/- faida ilikuwa sawa na mtaji, kwa mwezi mmoja niliuza si chini ya boksi 3..
Nilipof
Utafika mbali sana mkuu, mtaani tunasema una "mkono" wa biashara, ika kiuhalisia una juhudi na uthubutu.
 
Mimi nafanya ya chips, sijaanza muda mrefu, nimemuweka wife asimamie kama biashara yake, kwa siki analaza sio chini ya 20, weekend kama jumapili analaza hata 60
Mkuu umenikumbusha mbali niliwah fanya biashara ya hivyo nikamueka mke wangu kila siku ananiletea faida ya 25k nilifurah.kumbe Kuna mzee mmoja alikuw anamchukua anampa pesa inakuja kwangu Kama faida nakuja kugundus wife Yuko anabeba mizigo anahamishwa mkoa mwingine.

NB:ukimuweka mwanamke kwenye biashara tambua akuna mamende watamfukuzia na watakula .
 
mkuu umenikumbusha mbali niliwah fanya biashara ya hivyo nikamueka mke wangu kila siku ananiletea faida ya 25k nilifurah.kumbe Kuna mzee mmoja alikuw anamchukua anampa pesa inakuja kwangu Kama faida nakuja kugundus wife Yuko anabeba mizigo anahamishwa mkoa mwingine.

NB:ukimuweka mwanamke kwenye biashara tambua akuna mamende watamfukuzia na watakula .
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Kuna biashara uchwara nimeifugua Zanzibar mtaji laki 2 na nusu, lakini hadi sasa Nimetengeneza zaidi ya milion tatu kwa siku kadhaa tu na kila siku nalaza faida ya laki Kama net profit.

Hela hata sipeleki benki natunza chini ya kapeti tu. Leo ndo napeleka benki milion 2.

I'm happy
emoji4.png

Niko chuo sina muda mwingi wa kukaa mtaani. Kila biashara ninayofikiria inataka muda wangu mwingi. Nina options mbili, either nimuamini mtu nimkabidhi biashara badala yangu, au nisimamie kazi ila operations zote ziwe mikononi mwa anayefanya kazi.

Nishapoteza hela nyingi kula bata kwa sababu ya kufeli katika uchaguzi wa options hizi nikapata hasara na kukata tamaa ya kuwekeza.
Jaribu kuifuatilia UTT Amis
 
Nilianza biashara ya kukopesha pesa. Nilikuwa na milion moja na nusu mwaka 2018 leo nina mtaji wa milioni 35. Kuna maelezo marefu kidogo ni jinsi gani nilifanikiwa hapa. Nikipata muda naweza kuelezea.

Pia mwaka 2014 nilifungua library ya movie nilikuwa na laptop moja tuu yenye hdd ya gb 160. Leo nina desktop tano na jumla ya terabyte 48. Studio inalaza 300,000/= kwa wiki. Mfanyakazi anajilipa mwenyewe, analipa kodi, umeme na kununua movie.

Haya mafanikio ni matamu sana kuyasoma na kufurahi ila haikuwa rahisi kabisa. Natamani nielezee kwaundani. Ila niseme jambo moja.. Biashara yoyote ile ilimradi iwe halali ukiifanya kwa moyo na kujituma utafanikiwa sana sana...

Haya mawazo yasiwachanganye watu. mtu afanye anachoweza kwa moyo mmoja atafanikiwa tuu piga ua.
Si Sheria ina

Vipi swala la kibali kwa sababu Sheria inalazimu hivo kama mtu unakopesha kwa riba
 
Back
Top Bottom