stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 887
Inalipa sana hii..Mchanganuo wa Biashara ya mishkaki ya mia mbili mbili pamoja na ndizi za kukaangaa kwa aliewahi kufanya hii naomba anipe mwongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inalipa sana hii..Mchanganuo wa Biashara ya mishkaki ya mia mbili mbili pamoja na ndizi za kukaangaa kwa aliewahi kufanya hii naomba anipe mwongozo
Wewe endelea tu kuchekelea hizo pesa za hongo unazoletewa, shauri yako Mkuu.Ficha upumbavu wako!
Mmh kwahiyo mkuu unabisha kwamba biashara ya chips haiwezi kuleta faida ya sh 20k to 60k? Why, Faida inabidi iwe sh ngapi?Anakuletea hesabu ya elfu 20 na siku nyingine hadi elfu 60 kwa biashara ya chipsi, amka toka usingizini Mkuu. Unakula pesa haramu ya mkeo kupigwa miti hiyo.
Si bishi best angu, najaribu tu kumuelekeza huyu jamaa yangu asiamini sana kila anachoambiwa na "my wife wake", dunia imebadilika sana. Sisi sote ni mashahidi wa hili kundi la MAMLUKI wanaojitokeza hapa jukwaani kila kukicha na kuelezea namna ya wanavyokula wake za watu "ki masihara" huko.Mmh kwahiyo mkuu unabisha kwamba biashara ya chips haiwezi kuleta faida ya sh 20k to 60k? Why, Faida inabidi iwe sh ngapi?
Akili za kuambiwa, achanganye na zake. Hivyo tu, simple (in a language of our beloved SSH).Mmh kwahiyo mkuu unabisha kwamba biashara ya chips haiwezi kuleta faida ya sh 20k to 60k? Why, Faida inabidi iwe sh ngapi?
Nini kilienda vibaya tupe funzi kiongozi.Mimi nilianza na hiace 3,sivuti sigara,siendi club sio mtu wa mademu lakini sasa hivi sina hata baiskeli
Mkuu unaweza shusha nondo kwenye io biashara ya kukopesha.Nilianza biashara ya kukopesha pesa. Nilikuwa na milion moja na nusu mwaka 2018 leo nina mtaji wa milioni 35. Kuna maelezo marefu kidogo ni jinsi gani nilifanikiwa hapa. Nikipata muda naweza kuelezea.
Pia mwaka 2014 nilifungua library ya movie nilikuwa na laptop moja tuu yenye hdd ya gb 160. Leo nina desktop tano na jumla ya terabyte 48. Studio inalaza 300,000/= kwa wiki. Mfanyakazi anajilipa mwenyewe, analipa kodi, umeme na kununua movie.
Haya mafanikio ni matamu sana kuyasoma na kufurahi ila haikuwa rahisi kabisa. Natamani nielezee kwaundani. Ila niseme jambo moja.. Biashara yoyote ile ilimradi iwe halali ukiifanya kwa moyo na kujituma utafanikiwa sana sana...
Haya mawazo yasiwachanganye watu. mtu afanye anachoweza kwa moyo mmoja atafanikiwa tuu piga ua.
Mkuu huwezi vipi? [emoji16], kama inakushinda ,Nipe location nifanye kazi. Ninashida nayo Sana hiyoo....! ATA nyanya nitakata shida ni pesa bwanaHii idea nilikuwa nayo jana tu hapa. Nilitaka kuweka laki 6 kwenye kakibanda ka chips baada ya kufatilia nikaona miyeyusho kwanza vibanda vingi na chips zina usumbufu. Nikafikiri nikiweka pungufu ya hiyo kwenye kibanda cha mamantilie si napata hela ingawa siwezi kamwe kufanya hiyo kazi mpaka niweke wadada.
Bado niko dilemma.
Nilifanya nyingine mkuu ambayo sio ya kutumia muda mwingiMkuu huwezi vipi? [emoji16], kama inakushinda ,Nipe location nifanye kazi. Ninashida nayo Sana hiyoo....! ATA nyanya nitakata shida ni pesa bwana
Anafanya TOURISM SECTOR sijui Angle ganiHuu uzi bado upo na yule wa Zanzibar kagoma kule anachokifanya 😁😁😁
Utafika mbali sana mkuu, mtaani tunasema una "mkono" wa biashara, ika kiuhalisia una juhudi na uthubutu.Nikiwa shule kidato cha kwanza, siku moja babu yangu alinitembelea kunisalimia tukaongea alipokuwa anatoka akaniachia pesa ya matumizi 20,000/-(hii siku itabaki kwenye kumbukumbu zangu). Nilichukua elfu 10 nikaihifadhi kwa ajili ya bajia na maandazi, elfu 10 nyingine nikanunua boksi mbili za peni, niliuza peni, nilikuwanachukua kwa boksi Tsh 5,000/- zinakaa peni 50 kwenye boksi moja, peni 1 niliuza Tsh 200/- faida ilikuwa sawa na mtaji, kwa mwezi mmoja niliuza si chini ya boksi 3..
Nilipof
Mkuu umenikumbusha mbali niliwah fanya biashara ya hivyo nikamueka mke wangu kila siku ananiletea faida ya 25k nilifurah.kumbe Kuna mzee mmoja alikuw anamchukua anampa pesa inakuja kwangu Kama faida nakuja kugundus wife Yuko anabeba mizigo anahamishwa mkoa mwingine.Mimi nafanya ya chips, sijaanza muda mrefu, nimemuweka wife asimamie kama biashara yake, kwa siki analaza sio chini ya 20, weekend kama jumapili analaza hata 60
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]mkuu umenikumbusha mbali niliwah fanya biashara ya hivyo nikamueka mke wangu kila siku ananiletea faida ya 25k nilifurah.kumbe Kuna mzee mmoja alikuw anamchukua anampa pesa inakuja kwangu Kama faida nakuja kugundus wife Yuko anabeba mizigo anahamishwa mkoa mwingine.
NB:ukimuweka mwanamke kwenye biashara tambua akuna mamende watamfukuzia na watakula .
Hapo umehesabu na keep-change?Mimi nafanya ya chips, sijaanza muda mrefu, nimemuweka wife asimamie kama biashara yake, kwa siki analaza sio chini ya 20, weekend kama jumapili analaza hata 60
Mentormimi safari yangu ndefu sana baada ya kuachana na kufundisha watoto tuition ambapo nilikuwa ninatengeneza laki tano kwa mwezi.
Kuna biashara uchwara nimeifugua Zanzibar mtaji laki 2 na nusu, lakini hadi sasa Nimetengeneza zaidi ya milion tatu kwa siku kadhaa tu na kila siku nalaza faida ya laki Kama net profit.
Hela hata sipeleki benki natunza chini ya kapeti tu. Leo ndo napeleka benki milion 2.
I'm happy![]()
Jaribu kuifuatilia UTT AmisNiko chuo sina muda mwingi wa kukaa mtaani. Kila biashara ninayofikiria inataka muda wangu mwingi. Nina options mbili, either nimuamini mtu nimkabidhi biashara badala yangu, au nisimamie kazi ila operations zote ziwe mikononi mwa anayefanya kazi.
Nishapoteza hela nyingi kula bata kwa sababu ya kufeli katika uchaguzi wa options hizi nikapata hasara na kukata tamaa ya kuwekeza.
Si Sheria inaNilianza biashara ya kukopesha pesa. Nilikuwa na milion moja na nusu mwaka 2018 leo nina mtaji wa milioni 35. Kuna maelezo marefu kidogo ni jinsi gani nilifanikiwa hapa. Nikipata muda naweza kuelezea.
Pia mwaka 2014 nilifungua library ya movie nilikuwa na laptop moja tuu yenye hdd ya gb 160. Leo nina desktop tano na jumla ya terabyte 48. Studio inalaza 300,000/= kwa wiki. Mfanyakazi anajilipa mwenyewe, analipa kodi, umeme na kununua movie.
Haya mafanikio ni matamu sana kuyasoma na kufurahi ila haikuwa rahisi kabisa. Natamani nielezee kwaundani. Ila niseme jambo moja.. Biashara yoyote ile ilimradi iwe halali ukiifanya kwa moyo na kujituma utafanikiwa sana sana...
Haya mawazo yasiwachanganye watu. mtu afanye anachoweza kwa moyo mmoja atafanikiwa tuu piga ua.
Vipi swala la kibali kwa sababu Sheria inalazimu hivo kama mtu unakopesha kwa ribaNilianza biashara ya kukopesha pesa. Nilikuwa na milion moja na nusu mwaka 2018 leo nina mtaji wa milioni 35. Kuna maelezo marefu kidogo ni jinsi gani nilifanikiwa hapa. Nikipata muda naweza kuelezea.