Ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?

Kuna muda wa kufanya kazi na muda wa kuomba Mungu. Kuna nyakati kwenye maisha zitahitaji ufanye kazi sana na kuna nyakati utahitaji usali sana Mungu akuvushe. It's only a matter of time and timing.
Kipi kinachotufanya tuishi, chakula au imani?
 
Kusali /kuswali sana sio kufanikiwa kwa maana mungu na rehema mbili hapa dunia anamgawia anayemtii na asiye mtii
Ila siku ya qiama (siku ya malipo) atakuwa na rehema moja atamgawia yule ambaye alikuwa akimtii peke yake

Hivyo tufanye vyote.
 
Imeandikwa

Imeandikwa baada ya ibada mtawanyike kutafuta riziki. That means the two should be balanced. Simple.
Sasa kuna wengine muda mwingi wanakesha kwenye ibada; je, hawa watakuwa wamegeuza ibada kuwa kazi?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…