Ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?

Ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?

chagua.jpg

Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
 
Kusali /kuswali sana sio kufanikiwa kwa maana mungu na rehema mbili hapa dunia anamgawia anayemtii na asiye mtii
Ila siku ya qiama (siku ya malipo) atakuwa na rehema moja atamgawia yule ambaye alikuwa akimtii peke yake

Hivyo tufanye vyote.
 
Imeandikwa

Imeandikwa baada ya ibada mtawanyike kutafuta riziki. That means the two should be balanced. Simple.
Sasa kuna wengine muda mwingi wanakesha kwenye ibada; je, hawa watakuwa wamegeuza ibada kuwa kazi?​
 
Back
Top Bottom