Legrema2050
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 606
- 708
Kwamba JF ni ya matajiriHeeee nyie mmetokea wapi mbona wanajf hatupo hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba JF ni ya matajiriHeeee nyie mmetokea wapi mbona wanajf hatupo hivo
Naaaaam sheikhKwamba JF ni ya matajiri
Walijua jinsi wanakusevu! R.I.P huyo rafikiyo.Ili kuimarika kuna mapitio mengine ni muhimu kuyapitia ili yawe ukumbusho wa kukosa pale ukipata.
Ila kiukweli kabisa hakuna faraja kwenye ufukara.
Nakumbuka kuna kipindi nilipigika ikawa natembelea washkaji mida ya misosi kiasi cha kujua ratiba ya mlo wa masela wote.
Kuna msela wangu (Mungu amlaze mahala pema) ilikuwa ikifika jioni ananipigia simu kuniita tukapige story, kumbe alishajua hali yangu na ule wito ulikuwa ni msaada indirectly maana alihakikisha nakula ndio naondoka.
Na kila nikiondoka mkewe ananipa kikontena cha msosi ananiambia shem naona chakula cha leo umekipenda beba na hiki utakula baadae.
Hawakujua jinsi gani walikuwa wakinisevu.
Huyu alikuwa rafiki wa ukweli.Ili kuimarika kuna mapitio mengine ni muhimu kuyapitia ili yawe ukumbusho wa kukosa pale ukipata.
Ila kiukweli kabisa hakuna faraja kwenye ufukara.
Nakumbuka kuna kipindi nilipigika ikawa natembelea washkaji mida ya misosi kiasi cha kujua ratiba ya mlo wa masela wote.
Kuna msela wangu (Mungu amlaze mahala pema) ilikuwa ikifika jioni ananipigia simu kuniita tukapige story, kumbe alishajua hali yangu na ule wito ulikuwa ni msaada indirectly maana alihakikisha nakula ndio naondoka.
Na kila nikiondoka mkewe ananipa kikontena cha msosi ananiambia shem naona chakula cha leo umekipenda beba na hiki utakula baadae.
Hawakujua jinsi gani walikuwa wakinisevu.
Mwalimu acha weed [emoji1787][emoji1787]Nlishavutag bangi ming sana mixer sigara nyota baada ya kumalizia chuo Ili niweze copy maisha ya kuwa saidia fundi
At that time mother na father wote nlishawazika
Nkapewa jina la a.k.a" Motherfucker "
Big up kwenu mafundi wote wa Dar Kwa support yenu,Kwa Sasa npo vizur na weed Bado naendelea kulinyonya as usual
Ni noma sana mkuu, hivi visa vipo sana.Hakuna chai hapa ndugu yangu tena mnalala vizuri tu watoto usiku ni kulalamika maana usingizi hamna kisa njaa!
Kweli aseeeeeeeee. Now nimetoka kula hapa kwa mgahawa wa mmama hivi ambaye amenifadhiri msosi kwa siku 3 tuu mpka ntakapo pata pesa aseee now narudi kuzunguka mtaaani nkatafute chochote aseeeeeeKaza ndugu yangu
Haki! story yako imenitoa machozi. Kuna kipindi mtu unapitia maisha ya hatari sana.Mama yangu alikuwa mpika na muuza gongo kule Gongo la mboto mapolisi waliweka informer kila tukiwa tunaenda kupiga gongo wanakuja wanamkamata mama analia tukiwa mapolini kule kinyerezi(enzi hizo kinyerezi kulikuwa pori la kukamata hadi sungura na digi digi kabisa) sasa mama alikamatwa mfuluzo mbaya zaidi wakati mahita anatawazwa kyakula vinaharibika.SIJITAPI NAONGEA UKWELI TUPU NIMEJIFUNZA SHIDA NI ELIMU NZURI SANA KAMA UKIWEZA KUZITOROKA.
Bro mi mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo huwa nashangaa nilitokaje kwenye shimo kule.Haki! story yako imenitoa machozi. Kuna kipindi mtu unapitia maisha ya hatari sana.
Ila Mungu mwema.
Hili somo la Behavioral science mimi pia nlisoma chuo ni michosho sana aseeKuna Mwalimu wa somo la Behavioral science alituambia kua mojawapo ya alama ya kua umeelimika ni kutomaliza chakula unapokula
Mpaka leo hua nadhani yule mwalimu na wenzake wenye mtazamo huo ni wapumbavu
Unaposoma shuhuda kama hizi halafu anachezea chakula kwa kukimwaga ili aonekane ameelimika na kustaarabika ,pumbavu kabisa
indeedAnd when poverty enters through the door, love escapes through the window
Kabisa Kaka! Inabaki kuwa ni story isiosahaulika maishani, kuna kipindi tuliokula msoto tukikutana tunahadithiana huku tukiucheka/ kuuchukia wakati wa msoto tulioupitia.Bro mi mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo huwa nashangaa nilitokaje kwenye shimo kule.
Hilo ni somo la kipuuzi sana.Hili somo la Behavioral science mimi pia nlisoma chuo ni michosho sana asee
wanasema tema mate chiniOmba sana yasikukuteee
masikini akipata makalio ulia mbwiii.Kuna Mwalimu wa somo la Behavioral science alituambia kua mojawapo ya alama ya kua umeelimika ni kutomaliza chakula unapokula
Mpaka leo hua nadhani yule mwalimu na wenzake wenye mtazamo huo ni wapumbavu
Unaposoma shuhuda kama hizi halafu anachezea chakula kwa kukimwaga ili aonekane ameelimika na kustaarabika ,pumbavu kabisa
Yani nimecheka atari,hawa ni wavamiziHeeee nyie mmetokea wapi mbona wanajf hatupo hivo
mzee na shida zote hizo unapata wapi ujasiri wa kutomba na kusimamisha uume?? unapenda sana uchi utakufa umesimamishaMimi pia nimewahi kushindia kipande Cha mua Cha sh.100 na nilikinunua Kutoka Kwa akina ya sh.300 niliyokuwa nayo..
Pili nikiwa Dar nilipigika kiasi kwamba Chakula na makazi nilikuwa nakula Kwa mama wa rafiki yangu..
Siku Moja Jamaa alisema Kila mtu aondoke akapange ,hapo Sasa ndipo Kilio kichwa kilijaa gas,ilifika mahala nikaomba Msaada wa nauli Kwa broo Fulani ambae niliwahi soma nae O level,yule ndio alinisaidia nauli nikarudisha Mpira Kwa kipa mkoani ambako Nako maswaibu yaliendelea ikiwemo Hilo la kushindia Mua huku nasaka kazi za saidia fundi niweze ku survive..
Siku Moja nikiwa kwenye kazi za saidia fundi ukiacha kejeli vilaza wale mafundi Kwa vile walishajua mie ni msomi,nikapata demu huko huko basi wakaanza kumponda akanikacha,nikapata mwingine nikajiroga kumleta geto ,getoni Kulikuwa na jiko la Mkaa,ndoo 2 ndogo ya kuogea na ya kawaida na visufuria viiwili,godoro la wanafunzi nimetandika chini na geto ni single jirani na vyoo..
Demu alivyoingia nadhani alichoka ,akaomba atoke Nje uani,aisee alisepa maxima na akaniblock na Namba yangu 🤪🤪🤪🤪
Ila Maisha yanabadilika siku huko tena Mungu anawajali watu wake.Dar sikutoka Bure nilipata Mke.