Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 23, 2024 #121 Satoh Hirosh said: Sasa mtu umeondoka kwako umeacha msiba kisa tu uwahi kikao huko majuu. Hao jamaa wamemdharau,hakuna haja ya kukwepesha maneno. Click to expand... Tena kaenda kuomba hata siyo mjumbe na kaenda na watu wengi kuliko hata nchi tajiri
Satoh Hirosh said: Sasa mtu umeondoka kwako umeacha msiba kisa tu uwahi kikao huko majuu. Hao jamaa wamemdharau,hakuna haja ya kukwepesha maneno. Click to expand... Tena kaenda kuomba hata siyo mjumbe na kaenda na watu wengi kuliko hata nchi tajiri
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 7,557 Reaction score 20,477 Nov 23, 2024 #122 Ndo mana siendagi kwa matajiri mimi unakaa kwenye sofa Junior : TOKA KWETU
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 24,844 Reaction score 29,126 Nov 23, 2024 #123 IIS said: Lakini kuna mtu alisema humu kwamba kaushangaza ulimwengu kwa hotuba yake na mwingine alienda mbali zaidi kusema kwamba ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa.Sasa hapa mbona unatueleza tofauti kiongozi Click to expand... Atakua Lucas mwashamba 🤣na wenzie
IIS said: Lakini kuna mtu alisema humu kwamba kaushangaza ulimwengu kwa hotuba yake na mwingine alienda mbali zaidi kusema kwamba ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa.Sasa hapa mbona unatueleza tofauti kiongozi Click to expand... Atakua Lucas mwashamba 🤣na wenzie
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 24,844 Reaction score 29,126 Nov 23, 2024 #124 spidernyoka said: Ndo mana siendagi kwa matajiri mimi unakaa kwenye sofa Junior : TOKA KWETU Click to expand... 🤣🤣🤣
spidernyoka said: Ndo mana siendagi kwa matajiri mimi unakaa kwenye sofa Junior : TOKA KWETU Click to expand... 🤣🤣🤣
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 23, 2024 #125 spidernyoka said: Ndo mana siendagi kwa matajiri mimi unakaa kwenye sofa Junior : TOKA KWETU Click to expand... Mbaya zaidi unaenda kuomba huku una rasilimali za kila aina hapa duniani lakini kwa sababu ya kukosa akili unashindwa kuzitumia
spidernyoka said: Ndo mana siendagi kwa matajiri mimi unakaa kwenye sofa Junior : TOKA KWETU Click to expand... Mbaya zaidi unaenda kuomba huku una rasilimali za kila aina hapa duniani lakini kwa sababu ya kukosa akili unashindwa kuzitumia
britanicca JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 16,295 Reaction score 33,994 Nov 30, 2024 Thread starter #126 Benjamini Netanyahu said: Mbaya zaidi unaenda kuomba huku una rasilimali za kila aina hapa duniani lakini kwa sababu ya kukosa akili unashindwa kuzitumia Click to expand... Haha
Benjamini Netanyahu said: Mbaya zaidi unaenda kuomba huku una rasilimali za kila aina hapa duniani lakini kwa sababu ya kukosa akili unashindwa kuzitumia Click to expand... Haha
MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,747 Reaction score 2,977 Nov 30, 2024 #127 EMACHA said: Kumbe 'matajiri' nao wana njaa ya chakula! Click to expand... Ushawahi kuona meza zao za chakula wakati wa chakula!
EMACHA said: Kumbe 'matajiri' nao wana njaa ya chakula! Click to expand... Ushawahi kuona meza zao za chakula wakati wa chakula!
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 1, 2024 #128 britanicca said: Haha Click to expand... Tunateswa na laana tupu maana tuna kila aina ya utajiri lakini tumeshindwa kuutumia hatuna tofauti na nyani
britanicca said: Haha Click to expand... Tunateswa na laana tupu maana tuna kila aina ya utajiri lakini tumeshindwa kuutumia hatuna tofauti na nyani