Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

DJ John Dilinga, DJ Bonny Luv, DJ Steve B wengine wengi wa siku hizi uwezo wao unafafana sana. Wana vitu vile vile ni ngumu sana kuwatofautisha.

Ila mikoani kuna wadudu wanakamua bana basi tu Dar ndio kila kitu. Nimewahi kuingia club moja huko Bukoba nilibumbwaa majamaa wanavyokamua tena walikuwa wanapokeza ngoma moja moja, huyu old skool huyu anajibu na new skool ....hatari ....na mixing/Scratching ziko perfect!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale sumbawanga enzi za Upendo vile yule jamaa Dj Devi bado yupo, redio ya Chemchem vipi huwa haina dj..?
 
Unazungumzia Club Mint..?
 
Nimepitia thread nzima sijaona mtu amemtaja Dj D White alikuwa akigonga ngoma pale Club Billcanas enzi hizo alikuwa na top 20 yake matata sana wajanja wote wa town ulikuwa huwakosi ijumaa pale, sijui yuko wapi siku hizi huyu mwamba. Na kuna wale walikuwa wanajiita kwa fujo Dj wakiongozwa na kina Abubakar Sadick wa radio one na Majizo huyu jamaa wa EFM nao walikuwa njema sana
 
Bonaventure amefariki kitambo
Alukuwa anajiita Dj Boy Nature, kabla ya kuja Dar alikuwa akipiga club moja huko Songea inaitwa Buhemba alikuwa vizuri sana. Siku moja moja alikuwa anapiga pale micasa lounge ubungo alikuwa anapenda sana kupiga wimbo wa What luv wa Phat Jo na Always on time wa Ja rule alikuwa akija club hawezi maliza playlist yake bila kupiga hizo nyimbo angalau hata mmoja. RIP Boy Nature
 
Kuna Dj alikuwaga Kiss fm anaitwa Dj Davy sijui mwamba yuko wapi siku hizi alitisha sana kipindi kile, pia Dj mmoja anaitwa Dj Dhifa sikumbuki ilikuwa Mbeya au Iringa kuna Club nilizamia mida mibovu alikuwa anapiga pia alinibamba
Hao ndio ma Dj bora...unajua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…