Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

Forex trade kwenye exchange kama mexc hiyo 5000 unaipata ndani ya dak 20
 
Ngoja tuje Maafisa Ubashiri.... Tukwambie weka odds za uhakika....
 
Ndio iko hvo kk? Kwani ni asilimia ngap?
Sasa Mzee unawekeza 15,000,000/=
Unapata gawio 123,000/= Kwa mwezi Kwa mwaka ni 1,476,000/= . Mpaka kupata break-even (yaani kutopata hasara Wala FAIDA yaani umerudisha tu gharama zako za Uwekezaji ni miaka 10. baada ya miaka 10 ndio unaanza kupata FAIDA ya 123,000 kwa mwezi na hapo inategemea na Speculative motives za huo uwekezaji.
 
Pombe za kienyeji na nyama kwasukwasu supu na mapande ya kitimoto
 
mkuu unafanyia mkoa gani hii mambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…