wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Mkuu tukiwaambia watu Yale Ni magari ya matajiri huwa wanabisha sana, Ile ngoma inatakiwa warranty ikiisha unachukua Chuma kingine chap.Sijui alikua na BMW mode gani labda langu lina mkosi. Sio langu tu, na za washkaji zangu zetu zina mikosi.
BM common sana Tanzania ni 3 series. Sana sana sahivi naona E90 za kutosha. Ambazo zina share platform na X3 1st generation E83 ambazo nazo zipo za kutosha.
Mzee bab, German engineering gari kali 5 years tu tokea likiwa jipya. Baada ya hapo umiza kichwa.
Hahah Mimi huko nilikimbia zamani mkuu, bimmer mziki ulianziaga hapo kwny ku-overheat Gari nikaichukia mazima.
Na walivyowajinga, hawajaweka gauge ya temperature.Hahah Mimi huko nilikimbia zamani mkuu,bimmer mziki ulianziaga hapo kwny ku-overheat Gari nikaichukia mazima.
Mchaga wa Marangu ee
Magari ya full electric ndio the future. Auto makers wote wanahamia huko ni vile tu sisi Afrika tuko miaka 10 nyuma.Gari yoyote inayotumia umeme mtupu (full electric). Mbali na vipuri umeme nao haina guarantee.
Una ugomvi na @PRONDO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama maisha ya kuunga unga nitamkataza haya:
BMW
BMW
BMW
BMW
BMW
Harrier shockups zinauzwa 1.4M pale Toyota tz.
Nilijua tu lazima umuweke juke sijui alikukosea niniWill VS, Fun Cargo, Nissan Juke, CH-R hizo gari hata kama zawadi siwezi kuikubali
Mambo mtaani na huko jf ni mbingu na ardhi, wanaosemaga spare za toyota hazisumbua sijui wanapataga waapi hiliHarrier shockups zinauzwa 1.4M pale Toyota tz.
Nyingine zinauzwa 490k hizo toka Japan.
Na nyingine 180k toka Malaysia.
Inategemea unanunua spare toka wapi?
Yes Ni kweli mm pia nimeshatumia old model Nissan xtrail inazima ghafla na changamoto za kuchemsha kwa safari ndefuNissan Xtrail generation ya kwanza. Binafsi nimemiliki na waliomiliki ambao nipo nao karibu wamepatwa na mauza uza.
Inaweza chemsha isionyeshe kwenye dash, inaweza amua isiwake tu bila sababu ukaita fundi akifika akawasha tu ikawaka na asione tatizo. Unaishia kumlipa usumbufu.
Kuna moja iligoma kuwaka ikashtakia sensor, sensa mpya ikawekwa ikagoma, kila sensor ikiwekwa inagoma ikarudishiwa ya kwake iliyokuwepo mwanzo ikakubali.
Sijui zina fault gani zile. Nahisi kuna shida kwenye umeme.Yes Ni kweli mm pia nimeshatumia old model Nissan xtrail inazima ghafla na changamoto za kuchemsha kwa safari ndefu
🤣🤣🤣 wazee wa masafa marefu. Wanamtetea mjerumani hatari.Una ugomvi na @PRONDO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
30 nyuma. Maana miaka 30 iliopita wenzetu walianza Hybrid.Magari ya full electric ndio the future. Auto makers wote wanahamia huko ni vile tu sisi Africa tuko miaka 10 nyuma.
Ninaamini mwishoni mlikujankujua tatizo ni electric fuel pump kuwa ilikuwa imekufa. Mlipobadili tu, tatizo likaishaHii shida ilikua kwenye X5. Unatoka home vizuri tu unafika mahali unapaki.
Ikifika muda wa kuondoka kimbembe kinaanza. Unawasha inasusa for no reason...
Inabidi usubiri kidogo tena uwashe.. Unawaza kufanya attempt mara tatu hadi 4 ndio inakubali...
Ikawa sasa ukienda mahali inabidi Ukikaribia muda wa kuondoka unatoka unatest ikigoma unarudi kuendelea na mambo mengine... Ikikubali ndio hapo hapo inabidi uondoke
Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
Duuh...Kuna mshikaji katoka Moshi kwendo Dom njiani kamevuja rejeta akaamua kufosi kwenda nayo...duuh oil na maji vikachanganyika ...jamaa akawa amekaanga engine...ni hatari!!Nissan march a.k.a ndoa ya kikristo.
Ufafanuzi tafadhaliNissan march a.k.a ndoa ya kikristo.