Virginity means purity mama kubwa. Ndio maana tunasema nyie kizazi cha nyoka hamuelewi coz you ain't virgin na hamuoni maana yake, vijana waliwahadaa mkiwa wadogo hamuwezi kuelewa.Ukimpata mwenye bikira unaongezeka kitu gani?
Je kabla ya kumpata uliwahi kukutana nayo? je ulimuoa? mie nilijitunza hd miaka 28 na sikuolewa inawezekana aliniacha mie akaenda kwa screpa.Virginity means purity mama kubwa. Ndio maana tunasema nyie kizazi cha nyoka hamuelewi coz you ain't virgin na hamuoni maana yake, vijana waliwahadaa mkiwa wadogo hamuwezi kuelewa.
Na ww kwanini ukubali kumpa kabla hajakuoajiulize pia ni halali kututoa bikra kabla hamjatuoa,pia no halali kutulala siye tulikwisha tolewa bikra.coz ninachokiona hapo unathaminisha.....bas kama unayemvulia nguo akaona uume wako je ni halali kumfanyia ivo be4 marriage?
Umeniuliza maswali too personal. Lakini Mungu aliyeweka hymen kwa mwanamke alikuwa na maana kubwa, nyie ndio mmeamua kumfundisha kazi.Je kabla ya kumpata uliwahi kukutana nayo? je ulimuoa? mie nilijitunza hd miaka 28 na sikuolewa inawezekana aliniacha mie akaenda kwa screpa.
Umeona ilivyo ngumu ht sie tunapotolewa tunaamini tutaolewa watoaji ni nyie na mnaotaka mzikute ni nyie yote mawili hayawazekani Bye.Umeniuliza maswali too personal. Lakini Mungu aliyeweka hymen kwa mwanamke alikuwa na maana kubwa, nyie ndio mmeamua kumfundisha kazi.
We mbona kiherehre? Mwache ajibu mwenyewe yeye si anataka kulipiwa mahari mwache alipiwe basi!!!Aone aibu kwa lipi? Hapo katolewa mahari au kachukua mzigo bure?
labdaHujaelewa mada wewe
Usikariri mkuu...Wewe hujaelewa mada. Ishu hapa ni kulipia mahari
Kwani wapi kaidai? Kaoneshwa tu kutokuridhika kulipia mahari kitu used. Kama yeye hailipiwi mahari kwa nini mwanamke alipiwe!!
Kama ni screpa unamuoa wa nn???
Maongezi ya kutafutia ucngz haya. Emb nikuulize, maana umenizindua, litaka kucnzia.
Ukishabikiri nini kinafuatia? Acha hiyo mahari 2ml. Watu wanajenga mahekalu kuhonga ama kwa lugha nyingine 'kuboresha penzi' huwa wanawajengea mabikira kuwatolea shukrani, ama ninini kinawasukuma kuangukia?
Af wewe wa wapi?
Pwani penyewe kwenye msemo wa 'harusi imesema' huwa unachezwa mchezo pale hata mtu ashazaa, harusi husema! Hata huyo mchumbaako akitaka hata kesho unambikiri.
Hivi wewe mbumbumbu wa mapenzi, ukioa bikra ndiyo hatakusaliti akawa wa kwako daima dumu? Ama ukitoboa unapata raha gani labda?
mimi ni injinia usiwe na shaka na elimu yangu, nazumngumzia dhana zima ya kutoa mahari kama zawadi ya kumtunza binti haipo tujichukulie tu.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. (Scriptures)
Nina mashaka na kiwango cha elimu au uelewa wa mleta mada.
Kwanini binadamu tupo so selfish? Binti ajitunze wewe ujichapie, Hao uliotoa waolewe na nan??
Mwanamke bikira sitaki. Akitokea "God knwos" Ila ntaoa hawa hawa tulionao huku uswazi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ila mimi kwa maoni yangu ni kwamba Tanzania tunavaa mitumba, tunaendesha magari mitumba, tunafunga mashine mitumba viwandani kwetu na vyote hivi hatuvipati bure tunalipia. Hivyo basi mkuu kalipie tu kwakuwa uko Tanzania ukienda nchi zinazotumia vipya tuu ibua hii hoja yako ni nzuri sana mkuu ila si kwa Tanzania yetu.
mkuu unawapa hasira wadau waliooa used kwa gharama.Kuna raha yake aisee kuoa Bikra,.....hamu ya kuchepuka inakata.....una mheshimu na kumthamini mkeo kuliko yeyote.....Mwanaume ukipata mke bikra unakuwa na huruma sana kwake.....hata akikufanyia kosa utamsamehe kirahisi tu maana ukikumbuka alivyojitunza kwaajili yako, unapata kaufahari flani.
Lakini kuoa Used material yakupasa uwe na moyo!....Ukivuta picha kuwa alikuwa mtu wa 'blow job', alafu wewe ukalipe mamilioni kama mahari dah! noma sana.....Inabidi ucalculate depression cost.