Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

CHAKO CHETU SOTE , Hi Tanganyika yetu sote. Ndo maana Serka li ya Tanga Nyika ni yetu soto kwa jina La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
CHANGU CHANGU PEKE YANGU-Hi Zanzibar yetu peke yetu Wazanzibari, ndo maana Tuna serikali yetu peke yetu
This is not fair at all! πŸ™
 
Duh, inatisha!
Tanganyika imekuwa shamba la bibi tena lisilo na mlinzi..
Acha wavune tu hadi pale Watanganyika watakapozinduka usingizini
 
Hii ndio hoja ya msingi ya serikali tatu, rais wa muungano na wa Zanzibar wote ni wazanzibari, nani anatetea maslahi ya Bara ndani ya Muungano? Bara inaporwa tu hakuna wa kuitetea, waliopigania Uhuru wa Tanganyika wanadhihakiwa mno
Inashangaza sana kuona leo Mtanganyika analalamikia muungano kwa hoja za kibaguzi kiasi hiki, tena baada ya kuwa kimya kwa miaka yote sitini ya muungano! sababu ni moja tu, raisi wa muungano ni Mzanzibari!
 
Inashangaza sana kuona leo Mtanganyika analalamikia muungano kwa hoja za kibaguzi kiasi hiki, tena baada ya kuwa kimya kwa miaka yote sitini ya muungano! sababu ni moja tu, raisi wa muungano ni Mzanzibari!
Hiyo sio sababu!
Ilaha wahenga wanaseme unapokula na kipofu usimshike mkono....
 
Kulingana na historia yetu mawazo yako hayana tofauti na Iddi Amin Dada pale alipotaka kuichukua Kagera.
 
Hiyo sio sababu!
Ilaha wahenga wanaseme unapokula na kipofu usimshike mkono....
Kipofu gani unamuongelea? mpaka rais wa Zanzibar anawekwa kwa nguvu ya Tanganyika. Hoja ya msingi ni kujadili kero za muungano kwa nia ya kuweka haki na sio leo watanganyika kujifanya wanaonewa ikiwa wao ndo walioshikilia mpini miaka yote sitini ya muungano. Muungwana hasubiri kuikiri haki pale anapoikosa yeye tu bali hata jirani yake anapoikosa pia hukiri na kuwa tayari kusaidia ipatikane.

Ukweli ni kwamba kero za muungano zipo basi zijadiliwe kwa haki. Busara na misingi ya haki lazima itumike ili tuende mbele na sio upuuzi wa kuanza buguana au kuleta chochoko za kuvunja muungano.
 
ww unaonaje kero zipo au hazipo
 
Ndio ujue uonevu na maumivu ya mme ambapo wote mme na mke wameajiriwa. Mshahara wa mme ni wa wote na mshahara wa mke ni kwake peke yake.
 
Hujajibu hoja za mleta mada
 
Mbona watanganyika wengi wapo mahotelini Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…