Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Nenda Zanzibar kama utapewa hata cheo cha VEO!Acheni hizi mambo sisi wote ni watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Zanzibar kama utapewa hata cheo cha VEO!Acheni hizi mambo sisi wote ni watanzania
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii unaelewaje? Mtu kutoka Zanzibar sio mmoja wa mwananchi ya Jamhuri ya Muungano.Hii ni mojawapo ya kero kubwa ya Muungano, ambapo kuna wazanzibari wameanza kujazwa kwenye nafasi na vyeo kwa Wizara na Taasisi zisizo za mungano. Capo Wakuu wa Wilaya, Ma RAS, DAS na DED. Mfano Mkuu wa Wilaya Mkuranga yule dada ni mzanzibari mtoto wa Rafiki yake Kiongozi wa Juu wa nchi. Haki za Wabara zinazulumiwa sana awamu hii.
Sasa ni muungano gani huo ambao moja ya mwana muunganl hajabadili jina lake na badoba ajiendesha kama nchi halafu huyu mwingine kaachana na jina lake anatumia jina la muungano?Ni halali kwa sababu hatuna utabganyika wala tanganyika, tuna tanzania!
Afya siyo ya Muungano. Lakini kuna watumishi wengi tu wazanzibar wapo huku Bara na wanafanya kazi. Lakini sisi watanganyika haturuhusiwi kukaa na kufanya kazi Zanzibar. Hii siyo sawa kabisaHivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
KATIBA IHESHIMIWEHivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
Watanganyika wamekuwa kama watoto waliomkana Baba yao sasa laana inaanza kuwatafuna.Afya siyo ya Muungano. Lakini kuna watumishi wengi tu wazanzibar wapo huku Bara na wanafanya kazi. Lakini sisi watanganyika haturuhusiwi kukaa na kufanya kazi Zanzibar. Hii siyo sawa kabisa
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hii ndio hoja ya msingi ya serikali tatu, rais wa muungano na wa Zanzibar wote ni wazanzibari, nani anatetea maslahi ya Bara ndani ya Muungano? Bara inaporwa tu hakuna wa kuitetea, waliopigania Uhuru wa Tanganyika wanadhihakiwa mno
Katiba ipi? Visiwani nao wanayo katiba yao.KATIBA IHESHIMIWE
The Age of Enlightenment or the Enlightenment, also known as the Age of ReasonHivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
CHAKO CHETU SOTE , Hi Tanganyika yetu sote. Ndo maana Serka li ya Tanga Nyika ni yetu soto kwa jina La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Hao jamaa ni waumini wakubwa wa ile kitu inayoitwa changu changu, chako changu. Na kama huamini, basi jaribu kufuatilia kwa kina! Halafu utaniambia.
Aliyekuwa, Wakili wa Mahakama Kuu Msomi, Tundu A. Lissu.Akifafanua kitu.Kwa Mfano , mimi wa kutoka Kajunjumele Kyela ninaweza kukubaliwa kugombea Ubunge Chake chake , Mchambawima au kisiwandui kama Husein Mwinyi alivyogombea Mkuranga ?
Kwani issue ya ajira si ni km free market, mwenye vigezo ndiyo anapata? Au mimi ndiyo sielewi mambo?!Juzi shirika la POSTA limetangaza kutenga Asilimia 25 ya AJIRA zake Kwa wazanzibar labda ndio wakati watu wenyewe hawazidi Asilimia moja ya watanzania wote
Ukienda Zanzibar nako ni free market au ni huku TanganyikaKwani issue ya ajira si ni km free market, mwenye vigezo ndiyo anapata? Au mimi ndiyo sielewi mambo?!
Wanaosema Tanganyika 'ilipotea' kwa sababu ya Muungano hawako sahihi. Tanzania ndio Tanganyika. Kinachoitwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kiuhalisia ni Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika iliyonyakua madaraka ya Zanzibar katika yale yanayoitwa 'Mambo ya Muungano.'Sasa ni muungano gani huo ambao moja ya mwana muunganl hajabadili jina lake na badoba ajiendesha kama nchi halafu huyu mwingine kaachana na jina lake anatumia jina la muungano?