Unapotoa taarifa kwamba unajua vyanzo vya habari unayozungumzia na ushahidi unaoutumia ili kuunga mkono hoja zako, ni wajibu wako kuweka vyanzo hivyo.Sawa mkuu. Najua unataka spoon feeding.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapotoa taarifa kwamba unajua vyanzo vya habari unayozungumzia na ushahidi unaoutumia ili kuunga mkono hoja zako, ni wajibu wako kuweka vyanzo hivyo.Sawa mkuu. Najua unataka spoon feeding.
Huwa nakuheshimu sana mkuu ila kwa hili hapana. Hiyo elimu usiilete maana utaharibu atmosphere kabisa bora tubaki hv hv km hatujui, ukiuchimba muungano na mambo yake unatamani uwe rais wa jamhuri na jambo la kwanza uitishe uchaguzi wa rais wa tanganyika.Mkuu Allen Kilewella , kwanza kazi ni kazi, hakuna kazi ya mtu, hivyo hakuna kazi za Mtanzania wala kazi ya Mzamzobari, kazi ni ya wote. Pili hiki ulichokileta ni ubaguzi wa kutaka kuwabagua Wazanzibari!. Mwalimu Nyerere alisema hii ni dhambi!. Kiukweli somo la uraia linahitajika sana Tanzania kwa watu kama wewe!. Tanzania ni nchi moja, ya JMT, yenye uraia mmoja tuu wa Tanzania, kila Mtanzania ana haki sawa na haki zote za raia wa Tanzania.
Ndani ya uraia wa Tanzania kuna uraia mmoja tuu wa Mtanzania.
Kwa vile Tanzania ni nchi moja ya JMT, ndani ya JMT kuna sehemu moja ya Zanzibar ina utawala wake wa ndani ambao Wazanzibari licha ya kwanza kuwa ni raia wa JMT wenye haki zote za uraia wa JMT, hawa wamepewa haki za ziada za ukaazi wa Zanzibar. Kitambulisho cha ukaazi wa Zanzibar sio kitambulisho cha uraia, hakuna uraia wa Zanzibar kuna uraia mmoja tuu wa JMT na ziada ya ukaazi wa Zanzibar.
Hivyo Wanzanzibari wana haki zote za uraia wa Tanzania na ziada ya haki za ikaazi wa Zanzibar.
Lile jambo langu likitimia, nafungua darasa la bure la Haki, kuwaelimisha Watanzania haki zao mbalimbali zikiwemo haki za uraia.
P
Alikuambia Nani kwamba huko nyuma walikuwa wakiwasikiliza , Sasa mbona waliwafukuza?Ndio wenye amri kwenye jeshi hilo sasa hivi; na huko nyuma viongozi wa CCM toka Tanganyika walisikiliza hao hao wezao wa CCM kutoka Zanzibar wanataka nini kifanyike.
Naona huelewi ninachokiandika.Alikuambia Nani kwamba huko nyuma walikuwa wakiwasikiliza , Sasa mbona waliwafukuza?
Kwamba wasomeshwe bure halafu wadidimizwe?Liliongezwa ili kuwadidimiza Wazanzibari. Walijua Wazanzibari wakiendelea kuwa na elimu watakuwa ni tatizo.
Ni Mzanzibar gani aliyepo madarakani au kazini hakunufaika na elimu ya bara?Mkuu sio Wazanzibari wamesoma Bara. Weka kumbukumbu sawa. Kuhusu HESLB kudhamini Wazanzibari tafadhali toa takwimu. Hata ikitokea hivyo unavyosema, ni wajibu wa HESLB kudhamini Watanzania.
?Bandari haijawahi kuwa ya muumgano. Bandari ya Bagamoyo inaweza kuwa ni tatizo kwa Zanzibar nayo ilifanywa hivyo ili Zanzibar iwe tegemezi. Mara nyingi ndivyo inavyotakiwa Bara.
?Tunazungumzia JMT kwa hivyo haijalishi Katiba ya Zanzibar kutambua waziri mkuu. Waziri Mkuu ni wa JMT.
?Mkuu hivi ndivyo ilivyo hivi sasa kwa 21%. Nayo hakuna siku imetekelezwa kwenye ajira.
Naona unajichanganya huku umesema waliofukuzwa hawakulinda maslahi ya Chama, halafu unasema Hao walio pande zote Za Muungano walilinda maslahi yao wenyeweNaona huelewi ninachokiandika.
Hao watu wa CCM wa pande zote mbili walilinda maslahi yao bila kujali wanakotokea.
Hao unaowazungumzia wewe waliofurumshwa ni wale ambao hawakulinda maslahi ya chama.
Kwa hiyo nielewe ninachozungumzia hapa.
Hao viongozi wa CCM toka visiwani walikuwa na madaraka yote bila kuingiliwa na wenzao wa Tanganyika, mradi tu maslahi yanalindwa.
...na bado wanapata 4.5% ushuru kila mwaka. Ndiyo sababu rais wa zanzibar kila siku anadai yeye si muumini wa kodi kubwa, hata VAT zanzibar ni 15% anajua pesa itatoka Tanganyika.............gharama ya muungano anayeibeba ni mtanganyika.Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
Ukitaka kulijua hili fuatilia maoni ya Wazanzibari baada ya CCM kuirejesha elimu ya juu kwenye muungano baada ya rasimu ya Warioba kuliondoa.Mzanzibar gani aliyepo madarakani au kazini hakunufaika na elimu ya bara?
Nitajie kiongozi yoyote wa CUF au ACT aliyewahi kulaani elimu ya juu kuwa suala la muungano
Hapa sielewi unachozungumza.Nadhani ni wale wa ''... Zanzibar na TV za rangi Afrika '.
Masalamu.
Hiyo 4'5% uliitowa wewe ?...na bado wanapata 4.5% ushuru kila mwaka. Ndiyo sababu rais wa zanzibar kila siku anadai yeye si muumini wa kodi kubwa, hata VAT zanzibar ni 15% anajua pesa itatoka Tanganyika.............gharama ya muungano anayeibeba ni mtanganyika.
Duh,Naona unajichanganya huku umesema waliofukuzwa hawakulinda maslahi ya Chama, halafu unasema Hao walio pande zote Za Muungano walilinda maslahi yao wenyewe
Wacha kukimbia kiaina , unajichanganyaDuh,
Mada imekuwa nzito kwako. Pumzika akili itulie kidogo.
Ndungai ni mtetezi wa Tumbo lake , myahudi koko yuleMtetezi wa muungano alikuwa ndugai, kitendo cha kutoka basi hatuna mtetezi mwingine. Ajira in sehemu ndogo sana, anaglia na maeneo mengine
mama anawapa. wewe mtoto, mimi siandiki kutokea hewaniHiyo 4'5% uliitowa wewe ?
Unajua toka 1970s Tanganyika haijalipa kitu? Na imefika matrilioni?
Akiamua kutupa Si mtatozwa tozo mpaka Za kujambamama anawapa. wewe mtoto, mimi siandiki kutokea hewani
Sina muda wa kupoteza na kupiga porojo.Wacha kukimbia kiaina , unajichanganya
Mara urukie Samia ,mara waliofukuzwa CCM hawakulinda maslahi ya Chama , hapo hapo unasema Hao walio pande zote Za Muungano walilinda maslahi yao wenyewe, Sasa Kama walilinda maslahi yao wenyewe, hayo maslahi ya Chama waliyalinda wakati gani?
Kweli kijana umechanganyikiwa
wewe unadhani kwa nini tayari bara watu wamejamba mpaka amewaonea huruma?🤣🤣🤣Akiamua kutupa Si mtatozwa tozo mpaka Za kujamba
Lakini muda wa kujichanganya unao?Sina muda wa kupoteza na kupiga porojo.
Hata hiyo hewa ya kujambia hamnayo matumboniwewe unadhani kwa nini tayari bara watu wamejamba mpaka amewaonea huruma?🤣🤣🤣