Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
CCM wakishindwa hoja wanaanza kuchochea ubaguzi. Nchi imewashinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili halina nguvu. Sisi tunaongozwa na katiba na haijalishi rais ni kutoka upande gani kwani bado kuna taasisi za JMT ambazo hata raisi apende apendavyo, hana budi kufuata sheria na katiba.Wazanzibar wamepiga kelele miaka mingi wanakaliwa na majeshi, wanaonewa na viongozi wa Tanganyika
Mwenyezi mungu kaleta neema, Rais wa JMT ni Mzanzibar na wa SMZ ni Mzanzibar! REFERENDUM inashindikanaje?
Mfano mahsusi ambao wewe huna ni huu hapa.Duh!
Hata Jumbe mwenyewe niliyemtaja hapo juu; si ni akina Maalim waliomchomea utambi?
Kwa hiyo mambo yanaanzia huko huko kwa waZanzibari wenyewe?
Hata hivyo, sina mfano, na sijui kama unao mfano wewe, mahsusi wa waZanzibari walioko CCM, waliokomalia jambo ambalo CCM ya waTanganyika hawakulitaka na wakafanikiwa kulipitisha walivyotaka wenyewe bila ya baraka za CCM Tanganyika.
Bendera na Katiba ya Zanzibar?
Hapa unalinganisha vitu visivyofanana. Ndugai ni mwanachama wa CCM. Wakuu wa vyombo vya ulinzi hawatakiwi kuwa wanachama wa chama cha siasa. Ni vivyohivyo G55. Kama unakumbuka mwalimu alisema serikali tatu siyo sera ya CCM na ndipo wahusika wakaufyata wakihofia kukosa kula.Nope! hupo informed. Kama taasisi ni muhimu BUNGE ni taasisi na mhimili. Unakumbuka yaliyomkuta JOB.
Rais kutoka upande fulani ana matter sana. Rejea hoja za G55 Vs AH Mwinyi.
Hapa ndo kwenye hoja yangu. Kama ni referandum ifanywe na Wstanzania wote. Matokeo yatakavyokuwa mafuatwe ya Wazanzibari kama ilivyofanywa kwa ripoti ya Nyalali. Hii itaondoa dhana kwamba ni Wazanzibari ndo wameenda kwenye referandum.Tanganyika anaweza akahitimisha muungano. Ili kuwa fair kwa wananchi wa pande mbili wale wenye Manung'uniko ya muda mrefu( Wazanzibar) wasikilizwe.
Mikopo yote inalipwa na JMT ambayo imekopa na sio Tanganyika.kwasababu ya kujiona bora, Zanzibar wanataka mikopo lakini deni linalipwa na Mtanganyika
Hili ama hulijui au unapotosha makusudi. 21% ni kwa nafasi za taasisi za muungano na hili limeanza 2017 wakati muungano huu upo tangia 1964.kwasababu ya kujiona ni bora, wanataka ajira 21% hata
Na hili unapotosha kwa makusudi. Swala la 4.5% lilikuja wakati wa kugawana mali za EAC iliyovunjwa na Nyerere na Kenyatta, ndipo JMT ikatafuta mshauri elekezi kushauri ambapo alishauri hiyo 4.5%. JMT ikaamua huo utakuwa ndo utaratibu kwa mgao wa muungano. Zanzibar haina lake kwenye hili.kwasababu ya kujiona bora Wazanzibar wanataka apewe 4.5% ya rasilimali za bara
Hili ni la kila mmoja. Na Wabara kama hawataki waondokeKama hawataki waondoke kwa amani, tutaishi nao kama Majirani
Haya yametoka kinywani mwa Lukuvi lkn pia ndo msimamo wa Wabara wengi.Maneno ya Lukuvi ni ya Lukuvi ikiwa tutaenda kudonoa maneno ya watu na kuyafanya ya jumuiya tunayo maneno na video ya Akina Ally Salehe wakiombea mabaya Tanzania bara, akina Jusa , OMO etc
Mkuu nguruvi; hili ndo nilitakalo. Hemu fungua tuone. Haya mabox yapo mawili.Unataka tufungue pandora box?
Kwanini Zanzibar wanaogopa referendum? Si wanataka kuachana na Mkoloni?Hapa ndo kwenye hoja yangu. Kama ni referandum ifanywe na Wstanzania wote. Matokeo yatakavyokuwa mafuatwe ya Wazanzibari kama ilivyofanywa kwa ripoti ya Nyalali. Hii itaondoa dhana kwamba ni Wazanzibari ndo wameenda kwenye referandum.
Wabara waendoke wapi? Tanganyika imebeba Wazanzibar wengi duniani.Hulijui hili?Hili ni la kila mmoja. Na Wabara kama hawataki waondoke
Haya yametoka kinywani mwa Lukuvi lkn pia ndo msimamo wa Wabara wengi.
Mkuu nguruvi; hili ndo nilitakalo. Hemu fungua tuone. Haya mabox yapo mawili.
"Mfano mahususi?"Mfano mahsusi ambao wewe huna ni huu hapa.
Kabla ya kurudishwa kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania 1992, Rais wa Zanzibar automatically alikuwa ni Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Watanganyika wakabadilisha Katiba kimabavu kumuondoa Rais wa Zanzibar asiwe Makamo wa Rais kwa kuhofia kuwa iko siku Zanzibar itaongozwa na Upinzani, Sasa itakuwaje mpinzani awe Makamo wa Rais.
Wazanzibar hawakuliafiki hili wala hawakuridhia, ulitumika ubabe tu chini ya Spika Pius Msekwa kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano kwa kupindisha utaratibu wa kulipigia kura jambo kama lile.
Katiba inatamka utaratibu wa kura ni kuwa jambo kama lile ili liwe limepita lazima ni lazima likubaliwe na thuluthi 2 ( two third) ya Wabunge wa kila upande wa Muungano.
Walichofanya ni kuchukua 2/3 ya kijumla wakijua kuwa Wabunge wote wa Upande wa Zanzibar hawafiki 2/3.
Lillobaki kwa watu kama wewe, ambao kwa kweli siyo wawakilishi wa waTanzania wengi waliko Zanzibar ni kuacha kuwabembeleza na kuwazawadia kila mnapopiga vikelele vyenu vya kipuuzi kuhusu MuunganoPili, zile ajira asilimia 21% zilizotengwa kwa Wazanzibar ni pamoja na mambo yasiyo ya muungano, je hiyo ni kuwatendea haki Watanganyika ambao hawana fursa hiyo Zanzibar kwa ubaguzi wao
Kwa lugha rahisi Wazanzibar wanalaani kuongezwa kwa mambo ya muungano kama elimu ya juu, lakini hao hao wapo bodi ya mkiopo ya elimu ya juu na wanapewa bure (hawakopi) kutoka HESLB
Nimegundua una chuki zilizopitiliza kwa Wazanzibar sijui walikufanya nini hawa watu.
Unaandika uongo hata aibu huoni ili kufitinisha Watanzania?
Enzi za awamu ile watu kama vyinyi ndio mnaookotwa kwenye viroba au kuwa wakimbizi wa Ethiopia na kuokotwa mto Ruvu.
Iko siku haya yatakwisha tu ni suala la muda tu.Wewe ndiyo mbaguzi. Kwa nini hupigi kelele Wakenya, Wanyarwanda, Waganda, na wengineo hawajitambulishi kama Waafrika wenzako? Wanajitambulisha tu kama Wakenya, Wanyarwanda, Wanaigeria, n.k. Wazanzibari wakijitambulisha kama Wazanzibari kinakuuma. Huo ni ubaguzi. Kukataa kuutambua Uzanzibari wa Wazanzibari ni ubaguzi.
Free Zanzibar.
Wazanzibari hawaogopi na hawatoogopa muungano. Hoja ni kwamba Tanzania ni Bara na Zanzibar, kwanini Wazanzibari pekee ndo waende kwenye referendum? Wabara wao wafanyeje?Kwanini Zanzibar wanaogopa referendum? Si wanataka kuachana na Mkoloni?
Hapa nazungumzia Tanzania. Wabara ikiwa hawataki muungano waondoke kwenye muungano na Wabaki na Bara yao au Tanganyika yao; uamuzi ni wao. Ukisoma soma kwa umakiniWabara waendoke wapi? Tanganyika imebeba Wazanzibar wengi duniani.Hulijui hili?
Tanganyika imebeba muungano. ''Muulize'' Jumbe, Salimin Amour na Amani Karume
Kama nilivyosema kuwa kauli ya Lukuvi ndo msimamo wa Wabara wengi ni vivyohivyo kwa kauli ya Ali Saleh ni msimamo wa Wazanzibari wengi sio wote.Dakika ya 9.48 anasema Wazanzibar hawana mapenzi na Muungano. Je hiyo ndiyo kauli ya Wazanzibar?
Nakubaliana nayeDakika ya 5, Ally anasema mchango wa mapato ya Zanzibar katika muungano ni 2% na Tanzania bara 98%.
Mapato ya TRA hayavuki bahari hivyo mchango wa Zanzibar ni 0, hiyo 2% ni nominal
Yuko sahihi. Hivi fedha hizo zote zinahudumia muungano tu? Ie taasisi za muungano? Bakaa ktk matumizi ya muungano inaenda wapi?Dakika ya 8.56, anasema pesa za muungano zinatumika bara.Muungano unaendeshwa na mapato gani?
Anasema kweli si tu inapuuza katiba bali pia inaenda kinyume na makubaliano ya muungano.Dakika ya 3.31 Ally anasema JMT inapuuza katiba. Ally alikuwepo katiba ya Zanzibar 2010 ikipuuza ya JMT.
Ukizungumza Ali na wenzake sisemi kitu kwani hili ni LAKE NA WENZAKE. Sipaswi kumuamulia mawazo yake. Niulize yangu.Dakika ya 9.48 Ally na wenzake hawataki na hawana mapenzi na muungano
Je, kauli ya Ally ni ya Wazanzibar kama ile ya Lukuvi?
Narudia tena: kama ni swala la referandum ni kwa Watanzania wote na hapa nadhani kama kuna unafiki basi wewe ndo unaongoza.Referendum kwa Wazanzibar watoe maduku duku, tuachane na unafiki
Unapunguzwaje Sheikh?Huu uzi unapunguzwa kila dk , kuna nini ?
Sasa Wazanzibar wakifanya watakuwaje wasaliti wakati nyie mnadai wanadai haki yao?. Who cares nani atawaira wasaliti, as long as wao wanaona ni jambo la kheri basi wao wenyewe watajiita mashujaa badala ya wasaliti.Hili halina nguvu. Sisi tunaongozwa na katiba na haijalishi rais ni kutoka upande gani kwani bado kuna taasisi za JMT ambazo hata raisi apende apendavyo, hana budi kufuata sheria na katiba.
Kumbuka vyombo vya usalama ndivyo vinavyosimamia usalama wa JMT. HIVI rais atafanya kitu gani ambacho kinatoshia usalama alafu aachiwe? Kumbuka kilichotokea baada ya kifo cha Magufuli.
Huu ukidogo Wazanzibari ndo unaofanya hilo kuwa gumu. Nadhani unachotaka wewe Wazanzibari wafanye alafu Bara waseme Wazanzibari wamekuwa wasaliti nawe nna hakika utakuwa wa kwanza.
Kumbuka sana maneno ya Lukuvi ambayo nayachukulia ndo msimamo wa Wabara na sitarajii kwamba Wazanzibari wataingia kwenye mtego, iwe wananchi au maraisi, kama unavyodai, kwa sababu tu wao ni Marais.
Kwa mfano , jana waliochangia walikuwa zaidi ya 300 lakini leo wako 290 !Unapunguzwaje Sheikh?
Hili neno 'nyie' umekusudia akina nani?Sasa Wazanzibar wakifanya watakuwaje wasaliti wakati nyie mnadai wanadai haki yao?.
They care as long as they are Tanzanians. Watanzania wenzao wakiwemo viongozi na vyombo vya usalama baada ya kuwaita wasaliti watawashughulikia. Kwa sasa kwa kuwa Wabara wanalalamika kwanini wao wasifanye hiyo referandum? Kwanini iwe wazanzibari?Who cares nani atawaira wasaliti, as long as wao wanaona ni jambo la kheri basi wao wenyewe watajiita mashujaa badala ya wasaliti
Hivi umewahi kujiuliza kwanini Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kwanini walishindwa? Ikiwa hukuwahi kujiuliza au kama unajua sababu za kushindwa kwao, basi sababu hizohizo ndo zinamfanya Samia ashindwe.Rais wa nchi ana nguvu, anaweza kuiamuru serikali yake iitishe referendum, sasa najiuliza kwa nini Samia asiitishe Referendum. Wenzake walishindwa, kwa nini yeye ashindwe?
Aisee!! Ngoja nifuatilie...Kwa mfano , jana waliochangia walikuwa zaidi ya 300 lakini leo wako 290 !
Hizi ni porojo na upindishaji kama ilivyokawaida ya watu kama wewe.Katiba inatamka utaratibu wa kura ni kuwa jambo kama lile ili liwe limepita lazima ni lazima likubaliwe na thuluthi 2 ( two third) ya Wabunge wa kila upande wa Muungano.
Kwa hiyo unakubaliana na wazo kwamba 'referendum' juu ya Muungano ni muhimu kwa sasa, na kwamba pande zote mbili zishiriki katika referendum hiyo?Wazanzibari hawaogopi na hawatoogopa muungano. Hoja ni kwamba Tanzania ni Bara na Zanzibar, kwanini Wazanzibari pekee ndo waende kwenye referendum? Wabara wao wafanyeje?
Hao uliowataja ni marais waliotoja Tanganyika(including mzee Ruksa). Ambao Wazanzibari hudai imevaa koti la muungano kwa hiyo nisingetegemea wafanye chochote cha maana kulivua koti hiloHili
Hili neno 'nyie' umekusudia akina nani?
They care as long as they are Tanzanians. Watanzania wenzao wakiwemo viongozi na vyombo vya usalama baada ya kuwaita wasaliti watawashughulikia. Kwa sasa kwa kuwa Wabara wanalalamika kwanini wao wasifanye hiyo referandum? Kwanini iwe wazanzibari?
Hivi umewahi kujiuliza kwanini Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kwanini walishindwa? Ikiwa hukuwahi kujiuliza au kama unajua sababu za kushindwa kwao, basi sababu hizohizo ndo zinamfanya Samia ashindwe.
Try to be fair.
Zawadini