Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Upo sahihi
 
kwa dunia tunayoelekea, hayo mambo utayasikia tu kwenye historia. ndio maana hata ukienda kariakoo sasaivi, anayesifika ni mkinga na mbena, mchaga anatafutwa.
 
kwa dunia tunayoelekea, hayo mambo utayasikia tu kwenye historia. ndio maana hata ukienda kariakoo sasaivi, anayesifika ni mkinga na mbena, mchaga anatafutwa.
Mwambie huyo yeye alishakariri story za maiaka ya nyuma huko! Saizi kila mtu anapata mafanikio bila kujali anatokea wapi wala kabila gani!
Wao wanajionaga Superior kuliko wengine lakini hawana maajabu ni kawaida tu na kwa sehemu kubwa mfumo wa miaka ya nyumba uliwafanya wabebane lakini saizi lazima wapambane sana!
 
elimu na kuona mwanga mapema ndio kulifanya yote hayo. it is good for them kufanikiwa kwasababu kufanikiwa kwao ndio kulileta mwanga kwa wengine kuja kufanikiwa pia. kwa sasahivi, kila mkoa ukiondoa ile ya pwani watu wanasoma na ukiona kuna mahali watu wanaenda sana shule, competition ya maisha hapo haitajalisha kabila. wakinga kwamfano, hata kama wanatumia sana uchawi kwenye biashara, lakini wanapeleka sana watoto wao kusoma, na kwa sasa wanapeleka sana watoto kusoma china na uturuki, na watoto wakimaliza hawaombi kazi serikalini, wanaenda kwenye biashara zao, inakuwa rahisi kwao kusafiri kwenda china walikosoma. kuna wakinga niliwasikia wamefungu amakampuni watoto wao wanaishi china kabisa iwe rahisi kufunga mzigo kule na kuutuma huku ili waswahili msambaziwe. itafika mahali, hata hao watu wa pwani watafumbuka macho hawatafanya biashara za kuridhika tena, kutakuwa na competition kila kona kwasababu kila mtu amepata mwanga.
 
kwa dunia tunayoelekea, hayo mambo utayasikia tu kwenye historia. ndio maana hata ukienda kariakoo sasaivi, anayesifika ni mkinga na mbena, mchaga anatafutwa.

Huu mjadala wa mkinga na mbena dhidi ya mchaga hapo kkoo na dar mzima ulishafungwa ni kwamba hawana ubavu wa kushindana na kina mangi wao ni wachuuzi tu ndio maana utawakuta kwene nguo tu kwingine hawapo. Kkoo wakumkalisha mchaga ni mhindi na mwarabu basiii wengine tia maji tia maji.
 

Sambulugu kwa kichaga ni “mavi ya mchawi”. Kamwe wasukuma hawatakaa wawazidi wachaga maendeleo na utajiri kamwe. Hizo sijui dhahabu sijui kilimo na ujinga mwingine bado hauwafaidisha na ndio maana kanda ya Ziwa licha ya migodi lakini wananchi wake kwa 90% ni hoe hae hawana maisha. Wachaga kwa sasa ni wamiliki wa viwanda mbalimbali nchini. Kwasasa wanamakampuni China [emoji630], ulaya, uturuki na huko UAE [emoji1256] subsidiaries wa hizo kampuni wanaishi huko pia. Fuatilia trends za wafanya biashara wa nje na walio na ubia wa viwanda vya huko china utagundua kitu hata kwene mataasisi ya kimataifa. Madini ya tanzanite yamewanufaisha sana wachaga kuwa mabillionaire kuliko gold ya huko usukumani. Kilimo chenyewe mnacholima ni upuuzi mtupu wenzenu tunalima mbogamboga na matunda tunauza ulaya na kwene mahotel ya kitalii nchini. Chai na kahawa tunaexport nje ya nchi. Kwasasa tupo uchumi wa viwanda na mabiashara makubwa makubwa huku duniani. Wasukuma ni jamii masikini zaidi mchini. Ukitoa mhindi na mwarabu anaefuatia kwa umiliki wa viwanda vikubwa ni wachaga huko logistic na cargo ndio balaa, transports je. Broo acha ujinga acha kulalia ngozi, mavi ya n’gombe na mikojo kama babu zako.
 
Wachaga ni lile kabila kati ya 12 la Israel lililopotea (Lost tribe of Israel).

Kwa kifupi wachaga ni wayahudi wa Africa.

Tafiti za DNA zimethibisha kabisa.
Yaani watu wanakula damu unasema ni mmoja ya makabila 12 ya Israeli?
Wale ni Wabantu.
 
Wewe tukana ujuavyo nikwambie tu! utajiri sio kujisifu! Hizo ni projo tu kama porojo zingine! Nitajie biashara wanayofanya Wachaga wasukuma hawafanyi?
Hizo takwimu za asilimia 90 umezipata wapi? Nyinyi bakini na maneno yenu ya kufarijiana wakati hali ilishabadilika na hamtaki kukubali ukweli!
Nyinyi mna sifa za kijinga tu na upumbavu hao wachimabaji wa dhahabu na wauzaji unawaona hawana maana wewe mwenye duka uchwara unajiona unajua sana!
Wasukuma tokea lini mkawakubali maana mna wivu hamtaki wengine wapate maendeleo!
 
Acha porojo Mkinga ameshawazidi ndio maana huwa nawaambia nyie growth rate yenu kwenye biashara ni ya kawaida na hamna maajabu!
Zamani mlikuwa na akicess ya kuibia serkali kipindi nchi imelala!
 
Kamkoa kenyewe ukitoa upareni kadogooo. Sasa utasemaje wana maendeleo! Huko sasa hivi ni njaa tupu. Inabidi watangetange mikoani kutafuta walau wapate mlo. Sasa hayo ndio maendeleo ?
 
Mimi pia ni Manka.Kitu kimoja kuhusu sisi ni umakini katika issue za maana iwe biashara,kazi au chochote kile.Kingine kilichotusaidia ni dini wachaga ni watu wanaoamini katika neema za Mwenyezi Mungu ndio maana unaweza pita vijijini ukakutana na majority ya wabibi wamevaa rozari,wengine hupenda sana kwenda kanisani nk
 
Wewe ndiye uliyotoa sababu ya ukweli. Ni historia yetu. Kuna wanaosema sijui wezi, wengine wanasema wachawi, watambikaji. Haya yote ni uposhaji. Ukweli ni kuwa wakoloni walipokuja East Africa, walikimbilia kuishi yale maeneo yenye hali ya hewa nzuri. Huko walianzisha shule, hospital na makanisa ambayo yalitumiwa na wenyeji kujiendeleza. Na wanasema ukikaa karibu na waridi, unanukia kama waridi. Sehemu kama pwani kulikuwa na joto na mbu wengi hivyo hawakupendelea.
 
Wachaga wako kama wahindi, wanaharibu watoto wao, utakuta mmoja dishi limeyumba huwezi kumjua kirahisi...

Huyo ndio anawapa utajiri...

Kingine ni watu wa kafara za damu za wanyama kwa wafu/mizimu...
Fallacy!!
 

Maadui wa mchaga nchini ni wasukuma wewe hapa jukwaani comments zako huwa naziona hata idd amini wa chato alizihirisha hilo. Sisi hatuna maadui bali adui wetu ni kupigana sana ili kuwa na mafanikio. Hatushindani na wachawi. Dhahabu gani mnachimba nyinyi kwanza nyinyi ni wachimbaji wadogo hamna impact yoyote kwene uchumi. Hamna uwekezaji wowote wa maana kwene migodi. Kwene takwimu za madini kwa mtu mmoja mmoja kaskazini tunatisha hata masai laizer ulimsikia sasa huko mamigodi ya GGM ndio uyatolee mfano au manamba wanaookota okota gram 2 au tano ndio uwaseme hapa eti wasukuma wanadhahabu, pumbafu. Msukuma hata kkoo hayupo wala dar kwene profile za wababe hayupo. Hamna jipya wachawi nyinyi hata yulee mpuuzi aliharibu nchi mkawa mnabweka bweka. Mama samia piga spana pimbi hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…