Ni ishara gani au mambo gani utamfanyia mwanamke agundue unampenda bila ya wewe kumtongoza?

Wanawake aina hii mmebaki wachache sana sokoni. Soko limejaa matapeli na wafanyabiashara wa papuchi [emoji16][emoji16][emoji16]!
Kama uko na unayaishi maneno yako basi hakika unafaa, umekidhi kigezo muhimu
Ha ha ha ha nimejifunzaga penye miti hakuna wajenzi.

Mapenzi matamu sana hasa mtu akaielewa nafasi yake. Unless akawa hajakuoenda kama ambavyo thread zinavyosema humu watu wako na watu kwa huruma tu ama kwakua wanawasaidia mambo yao yanaenda vyedi.
 
Usitie shaka we uniambie unapendelea nini tu ili nikusortie ka suprise [emoji16]
[emoji28][emoji28] mwanaume unapaswa kuwa mbunifu. Yaan mimi ni mbunifu. Na sipendi kutooa out of fassion. I will do my best. Utundu ni muhimu ndo maana tunajichanganya. Na wewe unapaswa jiongeza
 
Babe, uko kama mimi kwakweli mwanaume avae kiajabu ajabu hata kusimama kumsikiliza asahau.
 
Ha ha ha ha nimejifunzaga penye miti hakuna wajenzi.

Mapenzi matamu sana hasa mtu akaielewa nafasi yake. Unless akawa hajakuoenda kama ambavyo thread zinavyosema humu watu wako na watu kwa huruma tu ama kwakua wanawasaidia mambo yao yanaenda vyedi.
Kuna msemo mmoja niliusikia kwa Linex Sunday Mjeda. Niliupenda sana maana uko factual.

"Wengi wetu tunaishi na wapenzi wa watu wengine"

Hii ina maana kubwa sana, unaweza kuwa na mpenzi ila sio wako indeed ila unafosi tu kuwa nae au yeye anafosi kuwa na wewe ila kuna mtu ambaye wewe unampenda sana ila wala hana habari. Mmoja anamvumilia mwenzie au kumuonea huruma ndio maana cycle ya ku cheat haitakaa ikome.

Wachache sana hubahatika kupata wapenzi wakweli ambao they become so attached kama soulmates. Inatokea mara chache sana. Most of the times tunapenda tusipopendwa
 
mwandende umekutana na maskini jeuri. Anataka heshima yake na pesa yako atakula vilevile. πŸ™‚
 
[emoji28][emoji28] mwanaume unapaswa kuwa mbunifu. Yaan mimi ni mbunifu. Na sipendi kutooa out of fassion. I will do my best. Utundu ni muhimu ndo maana tunajichanganya. Na wewe unapaswa jiongeza
ni kweli ila mpaka ujue exactly kama mwenzio ni foodie au mpenda jewelleries otherwise unaeza mpelekea kitu asichopenda au kitu cheap akakuona umefeli. Maana wengine hawatakagi zawadi ilimradi tu anataka umpelekee kitu cha aghali ndio aone umempenda
 
Hahahahahah unapenda boy child awe yuko kijentromen na mamoka na kuchomekea full time🀩
 
cha kushangaza, ma SHE wa JF, watajidai hawapendi 'hela'
 
Kila ukimuona mpe hela
Jitahidi kutoa pesa
Yaani wewe mwanga mkwanja
 
Yaani inaumizaga sana aisee.
Unajua haya mafake id's watu wanajiachia wawezavyo.ndipo unapoujua uhalisia. Mpaka tena unajikuta unaogopa kujiengage ktk magusiano
 
ni kweli ila mpaka ujue exactly kama mwenzio ni foodie au mpenda jewelleries otherwise unaeza mpelekea kitu asichopenda au kitu cheap akakuona umefeli. Maana wengine hawatakagi zawadi ilimradi tu anataka umpelekee kitu cha aghali ndio aone umempenda
Uko sahihi kabisa. Unatakiwa uangalie na taste za mhusika. Mwanzon unaguess zile za general. As time goes unamjua zaidi
 
Yaani inaumizaga sana aisee.
Unajua haya mafake id's watu wanajiachia wawezavyo.ndipo unapoujua uhalisia. Mpaka tena unajikuta unaogopa kujiengage ktk magusiano
Yani pale umepeenda unajiachia unajua huyu sasa tutafika hata Dodoma kumbe maskini hata Chalinze tu hamtoboi 😁😁😁

Kumbe ana taste tofauti kabisa katika mapenzi.
 
Hahahahahah unapenda boy child awe yuko kijentromen na mamoka na kuchomekea full time[emoji2956]
Hapana. Unaweza vaa kwamfano ile mikato ya wasapu ile[emoji28][emoji28] ile sasa ile unanichukua bila mahari.

Ila unaeeza vaa cardet ama jeans yako na tishirt na ukawa nadhifu. Hata kaptula lkn uko smart. Simaaishi kuchomekea kila mara hapana. Mavazi huendana na muda na mazingira hivyo inaeleweka.
 
Yani pale umepeenda unajiachia unajua huyu sasa tutafika hata Dodoma kumbe maskini hata Chalinze tu hamtoboi [emoji16][emoji16][emoji16]

Kumbe ana taste tofauti kabisa katika mapenzi.
Ni hatari sana mkuu. Hatari kweli. Unatumia nguvu kuwekeza kumbe mwenzako ameshahamisha uwekezaji kama manji[emoji28]
 
Hahahahah nimekusoma, kumbe sintopata shida kuopoa jiko basi 😝😝😝 yale ndio mavitu yangu most of the times
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…