Ni ishara gani au mambo gani utamfanyia mwanamke agundue unampenda bila ya wewe kumtongoza?

Kuna sehemu uliniambia ni muhimu sana ili kupata penzi.. mbona tena hapa unasema hivi
Pesa sio mapenzi ila ni Muhimu katika mapenzi..nadhani nilikuambia hivyo.


Na tukisema mapenzi sio pesa hatumaanishi Sasa uwe mvivu,kila muda unalialia tu.
Wewe ulichokuwa unajaribu kutetea ni kutokutafuta pesa kabisa,huwezi ukampa mtu care kama hujui kutafuta pesa..pesa inatumika kununua vizawadi utakavyompa mtu..hapo unampa zawadi hujampa pesa.
 
It's right..
But kwa upande wangu I want you to love me because you love me.. sio kwasababu naweza kukupa zawadi..sio kwasababu naweza kukuhudumia. Upendo pekee ndio uwe kiungo chetu kikuu kilichotuunganisha. No strings attached.

Hivyo basi nitafanya kika kitu ujue sina uwezo wa kuhudumia au kukupa zawadi maana nina falsafa yangu inasema "Muonyeshe watu upande wako mbaya ili uone nani atabaki nawe richa ya ubaya huo..sio umuonyeshe upande mzuri ili abaki nawe"
That's me
 
Focus kwenye masomo,hakikisha mtihani wako wa mock unapiga one nzuri alafu muombe muwe mnadiscuss pastpaper pamoja,huu ushauri utakua unaendana na umri wako..swine
Dah [emoji1787][emoji1787]
 
mkuu umenikumbusha OOP in java
 
Huyo ni wewe na kwa mtazamo wako uko sawa.

Mada inauliza ishara itakayomuonyesha mwanamke upendo wako..na ndiyo maana tupo kutaja hivyo vitu.

Sasa mtu atajuaje unampenda pasi na kufanya chochote?
Hujampa zawadi,hujampa muda,humjali na hujamwambia chochote,ataota tu km unampenda?
 
Sasa kabla hujatamka,utatumia njia gani ajue kuwa unataka tamka??

Mimi hivyo vitu vinachangia nimkubali mtu..
Sasa nitamkubali vipi mtu hata muda hawezi kunipa??wa nini Sasa?
Kumkubali bila sababu na yeye hata muda haupo si ntakuwa naanza kuumwa kichaa jamani.
 
utashauriwa mengi ila cha msingi tafuta pesa watakuja wenyeweee huoni Daimond wanatoka Kenya, Uganda na kwengineko ? tafuta pesa au kawafulie nguzo zao za ndani utawapata wengi sana.
 
Sasa si ndio hivyo tumevitaja hapa.
Halafu mbona kama unajichanganya tena[emoji848],umesema mtu akupende bila sababu..huko kumjali tayari ni sababu.
 
Huyu manz ni mlokole bruh, she has a different philosophy when it comes to relationship. Her perspective aint money ila kuna wengine bila pesa they think you are a joke. Lazma utoboke kweli kweli ili wa prove seriousness yako.

I understand situations bruh. No offense lakini walokole wengi hawanaga experince na the streets, I am wrong ?..I am talking about whats n the grounds...ila kusema ukweli wanawake wote wangekuwa na namna ya kufikir kama huyu dada, then hii dunia ingekuwa sehemu nzuri sana kuishi, instead planet earth is full of monsters...
 
My niggah, hii planet made up of full of bastards left n right tusingekuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…