Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Pole .yatapita Tu
Giza halidumu
Giza halidumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaumiza sana Mkuu. inabidi ushinde mtaani maana kila ukiitazama familia machozi yanashuka.Najua vile unavyohisi najua hata usingizi wako ni shida na huenda ukishtuka usingizini unaweza usilale tena kwani hujui watoto wako watakula nini,nimepitia hayo nayajua vizur sana
Jambo dogo sana. --Shukurani.--Ni jambo gani la hekima sana unaloweza kufanya Ili upite salama kwenye Kipindi cha aina Hii.
nashukuru hajanikimbia Tupo nae kwenye mapambano. Matatizo yanaitana hata ukipata laki leo utashangaa mtoto anaumwa, mama yake. vinatokea tokea Vitu hadi hela ianisha yote. Biashara haziendi maana mtaji wote umekatikia Hospi. imebidi frem ibaki na shelvu tu yaani na Chupa Tupu.Vipi kuhusu mkeo ?
mmeungana kwenye haya mapito au nae kakikumbia?
kama mpo pamoja mpaka mida hii na misukosuko yote hiyo mshukuru Mungu sana.
Panga na mkeo Nini mnaweza Fanya,mkeo anaweza anzisha biashara ndogo kama kukaanga maandazi,chapati akazungusha na wewe kuwa tayari kufanya kazi ambazo hukuzizoea jua hiki ni kipindi cha kudharirika uza hata genge Kwa kipindi hiki huku ukiaikilizia issue za maana huku mke nae anapambana mtatoboa kipindi hicho kigumu,maisha ndio yalivyo Yana ups and. downs .
Kweli kabisa.Pole .yatapita Tu
Giza halidumu
Shukrani.Jambo dogo sana. --Shukurani.--
Ukikopa, ukila, ukiumwa, ukitukanwa, ukisaidiwa... Shukuru. Kwa kutumia shukrani utatoka hiyo level haraka sana
Kama mtu angeijua kesho yake kuna vitu huwezi kufanya. Kufilisika ni jambo dogo sana Mkuu. Ila asante kwa ushauri mzurUkishaleta mtoto kwenye hii dunia au kuwa na familia wakati uwezo wako bado ni wa mpeche mpeche, Matatizo na umaskini lazima vikutwange kisawasawa.
Hadi akili ikukae sawa sawa.
Kabla ya kuleta kiumbe kwenye hii dunia hakikisha utaweza kukihudumia mahitaji yake yote pamoja na kujihudumia wewe binafsi.
Hakuna Mungu wa kukutatulia matatizo yako.shukran kwa Ushauri. Mungu tunamwita sana Mkuu ila mambo yanazidi kuongezeka kila siku vitu vipya
Chanzo cha kufilisika ni nini?Kama mtu angeijua kesho yake kuna vitu huwezi kufanya. Kufilisika ni jambo dogo sana Mkuu. Ila asante kwa ushauri mzur
Tuko pamoja.pole sana mkuu.
Dalali sio shida zakoWeka namba PM nikutumie japo 5k.
Hakuna Mungu wakuitwa kwenye matatizo. Mungu huyo hayupo.Ukipitia kipindi ambacho juhudi na maarifa ya kibinadamu vimeshindwa mwite Mungu.
Ikiwezekana jifungie mahali umwite Mungu.
Hiyo ndio njia pekee ya kutoka kwenye jambo lililokwama kibinadamu
Wafilipi 4 : 6
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
For read more download the Bible using this link:
Swahili English Bible - Apps on Google Play
Nina mtoto ana Clinic Hospital aliambiwa asibadili Hospitali kwanzaKama mjini unatumia tu, huzalishi; rudi kijijini.
Kuna shughuli naifanya ila mambo ya kuuguza yamemaliza Uchumi na yameniacha na madeni sana Na bado naendelea Kuuguza. Shughuli inakuwa Ngumu sana bado matatizo ya hapa na pale yanajitokeza.Ukiona mwanaume amekuja kuelezea yanayomsibu ujue hali sio hali ,,,, ! Mkuu Pole jipe moyo, sijajua status yako before, lakini kwa hiki kipndi kigumu jikite kwenye shughuli ambazo pengine hukuwahi kufanya/kuzizoea mwanzo mfano udalai, uwinga, saidia fundi n.k huku ukipata kipato kwa ajili ya kujikimu wewe na familia,,,, baada ya mda mambo yatakaa sawa tu