Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

Salini maana baadhi ya matatizo yenu yanatokana na watu wanaowazunguka au ni kipindi kigumu ambacho umeandikiwa kukipitia.Ikiwa ni option ya 2 yatapita na hali itakaa sawa na utarudi kuwa bora kuliko mwanzo ikiwa ni option ya 1 utateseka maisha yako yote hadi siku unaingia kaburini.Ingia kwenye maombi kwa imani yako sali Mungu atafungua njia.Mimi nilipitiwa wakati kama wako kwa nguvu za Mungu niliwashinda na mmoja wapo alikuja kwangu usiku kaingia hadi ndani kasogea pembeni ya kitanda na kushika mkono wangu wa kulia ila alinishidwa,shida zilipita na kazi nilipata tena dakika nne kutoka ninapokaa.Sali Mungu atafungua njia
 
Ingelikuwa ndio hivyo huku Africa watu wachache wangezaa. Usimkatishe tamaa mwenzio kama huwezi kumtia moyo basi
Sikatishi mtu tamaa bali naeleza uhalisia.

Mungu ni kichaka tu "illusion" cha kujifariji na matatizo.

Mungu huyo aliyeshindwa kukusaidia hadi matatizo yakakukuta, Ndio Mungu huyohuyo ambaye hawezi kukusaidia pindi matatizo yamekukuta.

Chanzo cha matatizo yako ni wewe mwenyewe na jibu la matatizo yako ni wewe mwenyewe.

Hakuna Mungu wa kusaidia chochote kile.

Mungu ni illusion tu ya kukupa matumaini uchwara. Sawa na pombe.
 
Cheka sana
Kejeli sana
Simulia sana
Ila usiombe yakukute
Ukifikia kipindi hiki kigumu faraja Pekee inatoka kwa mke labda na wazazi pekee
Mimi mke wangu alikua anashangaa kila mvua ikinyesha usiku Mimi ndio wa kwanza kwenda kukinga maji hata iwe saa ngapi mpaka ananiuliza hivi wewe hulali?
Kweli nilikua silali hata ustuke saa tano usiku basi huwezi kupata usingizi mpaka majogoo yanawika.
Hakuna kitu kinatia uchungu kama kuona watoto wako wamelala kitandani lakini baba yao hujawaandalia future yao yoyote
Mtoa post kama mkeo yuko pamoja na wewe kipindi hiki kigumu unachopitia ni ushindi tosha
Mungu akupe subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu unachopitia
Upo sahihi jmn hiki kipindi nilikipitia nashukuru sana Mungu nilikuwa naongea na mama akili yangu ilikuwa inapata ahueni nilikuwa nahisi dunia inaniangukia.Nilikuwa na sali na mama yangu pia alikuwa ananiombea ile shida iliisha
 
Cheka sana
Kejeli sana
Simulia sana
Ila usiombe yakukute
Ukifikia kipindi hiki kigumu faraja Pekee inatoka kwa mke labda na wazazi pekee
Mimi mke wangu alikua anashangaa kila mvua ikinyesha usiku Mimi ndio wa kwanza kwenda kukinga maji hata iwe saa ngapi mpaka ananiuliza hivi wewe hulali?
Kweli nilikua silali hata ustuke saa tano usiku basi huwezi kupata usingizi mpaka majogoo yanawika.
Hakuna kitu kinatia uchungu kama kuona watoto wako wamelala kitandani lakini baba yao hujawaandalia future yao yoyote
Mtoa post kama mkeo yuko pamoja na wewe kipindi hiki kigumu unachopitia ni ushindi tosha
Mungu akupe subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu unachopitia
Kwa nini unazaa watoto bila kuandaa future yao kwanza?

Unajua watu matatizo mnayatafutaga wenyewe.

Halafu matatizo yakiwapata mnaanza kumtaja Mungu.
 
Cheka sana
Kejeli sana
Simulia sana
Ila usiombe yakukute
Ukifikia kipindi hiki kigumu faraja Pekee inatoka kwa mke labda na wazazi pekee
Mimi mke wangu alikua anashangaa kila mvua ikinyesha usiku Mimi ndio wa kwanza kwenda kukinga maji hata iwe saa ngapi mpaka ananiuliza hivi wewe hulali?
Kweli nilikua silali hata ustuke saa tano usiku basi huwezi kupata usingizi mpaka majogoo yanawika.
Hakuna kitu kinatia uchungu kama kuona watoto wako wamelala kitandani lakini baba yao hujawaandalia future yao yoyote
Mtoa post kama mkeo yuko pamoja na wewe kipindi hiki kigumu unachopitia ni ushindi tosha
Mungu akupe subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu unachopitia
Nashukuru nipo nae napambana. Imekua ni kipndi cha miezi mitano lakini hekaheka za mabalaa zinaumiza sana. Kama umewahi kupitia Hiki kipindi najua unaelewa. Yaani akiba zinakata zote na matatizo bado yanagonga Hodi.

Nimeamka asubuh Dogo akataka Buku aende kanisa sadaka Asee Nimekosa Roho imeniuma sana nimekaa sehemu nimetafakari sana maisha yana nini.

Ila Hatuwezi kukata tamaa maana Ni kipindi na yanapita
 
Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia.

Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana.

Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana Tangu mwezi wa saba Nimeuza baadhi ya Mali zangu hadi sasa Hivi nimesihiwa kabisa ni kama matatizo yanaitana Likiisha hili linafuata Lingine.

Imefika wakati sasa Nikitazama watoto wangu wachanga Roho inaniuma sana maana ninawaza Vitu ambavyo Viko nje kabisa .

Unakopa hadi unaogopa Kukopa au Kuomba tena, unadhalilika.

Umasikini ni Mbaya sana, Umasikini ni fedheha na Aibu Kubwa.

Hivi ni nji gani unayoweza Kuitumia au unaweza kufanya nini unapopitia kwenye Changamoto Kama Hizi.

Ni jambo gani la hekima sana unaloweza kufanya Ili upite salama kwenye Kipindi cha aina Hii.
No situation permanent mkuu,mimi kuna kipindi hata buku ilikuwa ni million na ukicheki nimepanga na nina mke na watoto wananiangalia kwa kila kitu,hapo kuna mmoja wa chuo, wengine wawili darasa la tatu na mwingine nursery zote za kulipia (usishangae wawili darasa moja ni watoto wa mama tofauti wamezaliwa mwaka mmoja),Kuna muda nilikuwa natafuta sehemu tulivu natulia peke yangu nalia nafuta machozi narudi nyumbani,kila harakati zangu ziligoma kabisa kuwa sawa,ila Mungu ni mwema baada ya msoto mwingi nikaanza kurudi mdogo mdogo mpaka nikawa sawa,nikajenga kibanda cha kwanza nikapata na cha pili na ada za watoto hazinipi tabu sana kama zamani.Magumu unayopitia yatakujenga utarudi imara zaidi, trust me bro!!
Keep going blood!!!
 
Aisee pole mkuu na Hongera sana. Situation hii ndio niko nayo kabsa saa hii buku tu naiona kama milioni.

Mungu ni mwema tunavuka
 
Ukipitia kipindi ambacho juhudi na maarifa ya kibinadamu vimeshindwa mwite Mungu.
Ikiwezekana jifungie mahali umwite Mungu.
Hiyo ndio njia pekee ya kutoka kwenye jambo lililokwama kibinadamu
Wafilipi 4 : 6

Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
For read more download the Bible using this link:
Swahili English Bible - Apps on Google Play

Amen,Hii ni kweli kabisa mkuu.anayosema mleta mada ndo nayopitia kwa sasa
 
Salini maana baadhi ya matatizo yenu yanatokana na watu wanaowazunguka au ni kipindi kigumu ambacho umeandikiwa kukipitia.Ikiwa ni option ya 2 yatapita na hali itakaa sawa na utarudi kuwa bora kuliko mwanzo ikiwa ni option ya 1 utateseka maisha yako yote hadi siku unaingia kaburini.Ingia kwenye maombi kwa imani yako sali Mungu atafungua njia.Mimi nilipitiwa wakati kama wako kwa nguvu za Mungu niliwashinda na mmoja wapo alikuja kwangu usiku kaingia hadi ndani kasogea pembeni ya kitanda na kushika mkono wangu wa kulia ila alinishidwa,shida zilipita na kazi nilipata tena dakika nne kutoka ninapokaa.Sali Mungu atafungua njia
Asee
 
Kubari upo kwenye kipindi cha ugumu na mapito... Kama mwenza hakuelewi.. Acha Mungu akuelewe. Kuna maisha marefu Zaid ya iyo changamoto maana haitovuka mwaka
 
nashukuru mwenza yupo bega kwa bega katika Kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.
 
Rudisha mpira kwa Mungu ,pia mimi napitia situation kama hiyo husuda kwenye utafutaji ,jamaa kwenye ofisi yangu walinikunjia sana .unafanya kazi ila kuna muda hata buku inakua issue ,usiache kufanya maombi muombe Mungu akuvushe kwenye kipindi hiki kigumu.Dunia ina mapito mengi sana ,wengi tunapitia hali kama hizo
 
Back
Top Bottom