Salini maana baadhi ya matatizo yenu yanatokana na watu wanaowazunguka au ni kipindi kigumu ambacho umeandikiwa kukipitia.Ikiwa ni option ya 2 yatapita na hali itakaa sawa na utarudi kuwa bora kuliko mwanzo ikiwa ni option ya 1 utateseka maisha yako yote hadi siku unaingia kaburini.Ingia kwenye maombi kwa imani yako sali Mungu atafungua njia.Mimi nilipitiwa wakati kama wako kwa nguvu za Mungu niliwashinda na mmoja wapo alikuja kwangu usiku kaingia hadi ndani kasogea pembeni ya kitanda na kushika mkono wangu wa kulia ila alinishidwa,shida zilipita na kazi nilipata tena dakika nne kutoka ninapokaa.Sali Mungu atafungua njia