Ni jambo gani watu wanalifanya sana lakini wewe huwezi?

Kuuza nyumba yangu niweke mtaji wote kwenye biashara!
Kuna risk takers nawajuwa na wameweza na sasa wana senti ile mbaya! Nawaonea wivu na kuwa heshimu kwa ujasiri wao!
Jilipue tu mdau!!
 
Aisee siwezi kula miguu na kichwa cha kuku hata ushikie kisu..
😞😞
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…