Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
upiAsante,mpaka leo yananitafuta ila niliweka chuki kubwa sana na Wana wa adamu.
Watu mbalimbali unafanya kazi kwa juhudi na maarifa ukipongezwa wanakuhujumu,walitakiwa kukutendae mazuri wanazuia nkaona binaadamu ni uchafu.WALIO WENGIIlikuwaje kwa uf
upi
Umeniona wapi mpk unifananishe? 😹Lamomy, nakufananisha na pisi moja hapo Makumbusho
😂🙌Watu mbalimbali unafanya kazi kwa juhudi na maarifa ukipongezwa wanakuhujumu,walitakiwa kukutendae mazuri wanazuia nkaona binaadamu ni uchafu.WALIO WENGI
Hahaha umetisha mkuu! Kuna maeneo yana kelele ila naweza kwenda kutokana na faida ninayoweza kuipataMi maeneo yote yenye kelele au msongamano wa watu niko allergic nayo sana mfano mikutano ya siasa, mbio za mwenge, maonyesho yoyote mfano ya nane nane au sabasaba, matamasha yoyote mfano ya injili pia kwenda viwanjani au vibanda umiza kuangalia mpira.Huwa napata wakati mgumu sana kwenda sokoni au stendi.
Kwa ujumla mi na kelele mbali kabisa, hata humu niishipo sina tv , sab woofer wala radio, Smartphone kwangu ndo kila kitu
Moja kati ya kipimo cha kukosa mshipa wa aibu ni hiki3. Kumsimamisha mwanamke barabarani/kuomba namba, nilishashindwa....
Tuendelee...
Kweli mie mbususus zote nazipatia tinder badoo hi5 na jf😃😃 ni sawa na mbuzi kushindwa kula nyasi.
Kale kabomba kanatosha au sioBinafsi mimi nimeshindwa kabisa kujamiiana hii kitu siwezi
huyu mwamba anatuaibisha wanaume wenye ndevu aisee...unaweza kudhani anaimba vitu vya maana kumbe upupu tu
Kutanguliza shukrani kwa kumtaja Mungu kunakuuma ila ukisiamma kutanguliza shukrani kwa viongozi wa chama na serikali unaona ndio sahihi?Hahahaha umenifanya nimecheka, wanakuwaga wanafiki hao hamna mnyazi wanaemshukuru
Kwa hiyo unatumia mrija kunywea maji ?Siwezi kunywa maji moja kwa moja yaani ile unaweka glass au chupa mdomoni for a while maji yaishe sijawahi kuweza aisee,.
Na kila mtu ananishangaaga na sijui kwanini siwezi na nyie mnawezaje kwanza huwa naona kama nabanwa pumzi
Utanyonya tu🤣🤣kunyonya papuchi, siwez na sitaki kabisaa
watu wananyonya mpk vinyeo unashangaa papuchiKunyonya papuchi huo ujasiri sjui watu wanautoa wap